Mimi nilikunywa pep wiki 1 tu (dose ni mwezi 1)nikazichoma moto.Hii ni habari njema sana, dose ya amoeba siku tano tu nilikiona cha moto sasa kubugia hizo ARV daily ni changamoto kubwa.
Pole sana mkuu huu ugonjwa noma sana ukienda bukoba vijijini ndio utaelewa ukiona makaburi mbele ya nyumba,tuliobaki hai tumshukuru Mungu,sote tutakufa ila angalau watoto wawe wamekua kua,pole sanaNiliachwa yatima nikiwa na miaka 12..
Baba akafa kwa ukimwi,baada ya miaka mitatu mama akafata..badae kidogo kumbe baba alizaa wawoto nje ya ndoa naye huyo mama akaenda kwa ugonjwa huo huo..Kwa upande wa mama walizaliwa kumi(6 like afu 4 wanaume)ila tunavoongea mda huu wakike wote sita walifyekwa na ugonjwa huu..kiufupi huu ugonjwa ulibadili kabisa mausha yangu.nauchukia sn[emoji26]
Ahaaa sasa ukiambiwa ubugie maisha ysko yoteMimi nilikunywa pep wiki 1 tu (dose ni mwezi 1)nikazichoma moto.
Kabisa aisee sina hamu nao[emoji114]Pole sana mkuu huu ugonjwa noma sana ukienda bukoba vijijini ndio utaelewa ukiona makaburi mbele ya nyumba,tuliobaki hai tumshukuru Mungu,sote tutakufa ila angalau watoto wawe wamekua kua,pole sana
Baada ya kunywa pep wiki 1 .Nawaheshimu sana ndugu zetu wanaotumia hizi dawa.Ahaaa sasa ukiambiwa ubugie maisha ysko yote
Pole sana Ndugu, Mungu akupe faraja na nguvu za moyo wako.Niliachwa yatima nikiwa na miaka 12..
Baba akafa kwa ukimwi,baada ya miaka mitatu mama akafata..badae kidogo kumbe baba alizaa wawoto nje ya ndoa naye huyo mama akaenda kwa ugonjwa huo huo..Kwa upande wa mama walizaliwa kumi(6 like afu 4 wanaume)ila tunavoongea mda huu wakike wote sita walifyekwa na ugonjwa huu..kiufupi huu ugonjwa ulibadili kabisa mausha yangu.nauchukia sn[emoji26]
duuh, noma sana, na poleNiliachwa yatima nikiwa na miaka 12..
Baba akafa kwa ukimwi,baada ya miaka mitatu mama akafata..badae kidogo kumbe baba alizaa wawoto nje ya ndoa naye huyo mama akaenda kwa ugonjwa huo huo..Kwa upande wa mama walizaliwa kumi(6 like afu 4 wanaume)ila tunavoongea mda huu wakike wote sita walifyekwa na ugonjwa huu..kiufupi huu ugonjwa ulibadili kabisa mausha yangu.nauchukia sn[emoji26]
Form 3 shule gani?daaa sijui kwann nimeufungua huu uzi maana muda si mrefu hili li toto la form 3 limetoka kuifinyia kwa ndani.alafu linakatika kama pangaboi.
e mola mbele yako naiweka roho yangu. amen
pole kiongozi wakati ule wengi tulifikwa na hali kama hiyo hali ilitisha sana. unakuta kama hujazika wazazi basi ni jirani au ndugu wengine wa karibu.Niliachwa yatima nikiwa na miaka 12..
Baba akafa kwa ukimwi,baada ya miaka mitatu mama akafata..badae kidogo kumbe baba alizaa wawoto nje ya ndoa naye huyo mama akaenda kwa ugonjwa huo huo..Kwa upande wa mama walizaliwa kumi(6 like afu 4 wanaume)ila tunavoongea mda huu wakike wote sita walifyekwa na ugonjwa huu..kiufupi huu ugonjwa ulibadili kabisa mausha yangu.nauchukia sn[emoji26]
Watu wanakufa na vitambi vyao siku hizipole kiongozi wakati ule wengi tulifikwa na hali kama hiyo hali ilitisha sana. unakuta kama hujazika wazazi basi ni jirani au ndugu wengine wa karibu.
saivi na hizi dawa hizi hakuna anayejua ugonjwa huu unaweza kumfanya binadam ateseke kiasi gani. taswira za mifupa inayotembea hazipo tena. watu wananenepeana fulu manyama uezijua hali ya mtu. eeh mola tunusuru
Zimeboreshwa lini mkuu? Mimi nilimeza 2019Ulimeza PEP sio, siku hizi zimeboreshwa hazina mawenge.
Dawa zinaboreshwa kila mara jaribu za sasaZimeboreshwa lini mkuu? Mimi nilimeza 2019
Duh aisee huu uzi ndio nauona leoNioe ya nini wewe bwana? Condom natumia najikinga na nini wakati kama ngoma tayari ninayo
Naona umeshtuka na tamko la mwenyekitiDuh aisee huu uzi ndio nauona leo