Kama una miaka 40+ na hauna maambukizi ya HIV/AIDS mshukuru Mungu marijali tumepitia kipindi kigumu sana

Niliachwa yatima nikiwa na miaka 12..
Baba akafa kwa ukimwi,baada ya miaka mitatu mama akafata..badae kidogo kumbe baba alizaa wawoto nje ya ndoa naye huyo mama akaenda kwa ugonjwa huo huo..Kwa upande wa mama walizaliwa kumi(6 like afu 4 wanaume)ila tunavoongea mda huu wakike wote sita walifyekwa na ugonjwa huu..kiufupi huu ugonjwa ulibadili kabisa mausha yangu.nauchukia sn[emoji26]
 
Hii ni habari njema sana, dose ya amoeba siku tano tu nilikiona cha moto sasa kubugia hizo ARV daily ni changamoto kubwa.
Mimi nilikunywa pep wiki 1 tu (dose ni mwezi 1)nikazichoma moto.
 
Niliachwa yatima nikiwa na miaka 12..
Baba akafa kwa ukimwi,baada ya miaka mitatu mama akafata..badae kidogo kumbe baba alizaa wawoto nje ya ndoa naye huyo mama akaenda kwa ugonjwa huo huo..Kwa upande wa mama walizaliwa kumi(6 like afu 4 wanaume)ila tunavoongea mda huu wakike wote sita walifyekwa na ugonjwa huu..kiufupi huu ugonjwa ulibadili kabisa mausha yangu.nauchukia sn[emoji26]
Pole sana mkuu huu ugonjwa noma sana ukienda bukoba vijijini ndio utaelewa ukiona makaburi mbele ya nyumba,tuliobaki hai tumshukuru Mungu,sote tutakufa ila angalau watoto wawe wamekua kua,pole sana
 
Kabisa aisee sina hamu nao[emoji114]
 
Niliachwa yatima nikiwa na miaka 12..
Baba akafa kwa ukimwi,baada ya miaka mitatu mama akafata..badae kidogo kumbe baba alizaa wawoto nje ya ndoa naye huyo mama akaenda kwa ugonjwa huo huo..Kwa upande wa mama walizaliwa kumi(6 like afu 4 wanaume)ila tunavoongea mda huu wakike wote sita walifyekwa na ugonjwa huu..kiufupi huu ugonjwa ulibadili kabisa mausha yangu.nauchukia sn[emoji26]
Pole sana Ndugu, Mungu akupe faraja na nguvu za moyo wako.
 
Niliachwa yatima nikiwa na miaka 12..
Baba akafa kwa ukimwi,baada ya miaka mitatu mama akafata..badae kidogo kumbe baba alizaa wawoto nje ya ndoa naye huyo mama akaenda kwa ugonjwa huo huo..Kwa upande wa mama walizaliwa kumi(6 like afu 4 wanaume)ila tunavoongea mda huu wakike wote sita walifyekwa na ugonjwa huu..kiufupi huu ugonjwa ulibadili kabisa mausha yangu.nauchukia sn[emoji26]
duuh, noma sana, na pole
 
pole kiongozi wakati ule wengi tulifikwa na hali kama hiyo hali ilitisha sana. unakuta kama hujazika wazazi basi ni jirani au ndugu wengine wa karibu.

saivi na hizi dawa hizi hakuna anayejua ugonjwa huu unaweza kumfanya binadam ateseke kiasi gani. taswira za mifupa inayotembea hazipo tena. watu wananenepeana fulu manyama uezijua hali ya mtu. eeh mola tunusuru
 
Watu wanakufa na vitambi vyao siku hizi
 
Ila kuna watu wanadunda na Ngoma miaka mingi!!kuna Mzee tangu miaka ya 90 mpaka sasa anadunda..Lakini amezika watoto 2 na mke kwa ngoma.
Pia kuna kuna bint amezaliwa nao 1990 mpaka leo anadunda.Mama yake tulimzika 1994.
 
Back
Top Bottom