winston20
JF-Expert Member
- Jun 21, 2020
- 1,116
- 2,303
Niliachwa yatima nikiwa na miaka 12..
Baba akafa kwa ukimwi,baada ya miaka mitatu mama akafata..badae kidogo kumbe baba alizaa wawoto nje ya ndoa naye huyo mama akaenda kwa ugonjwa huo huo..Kwa upande wa mama walizaliwa kumi(6 like afu 4 wanaume)ila tunavoongea mda huu wakike wote sita walifyekwa na ugonjwa huu..kiufupi huu ugonjwa ulibadili kabisa mausha yangu.nauchukia sn[emoji26]