Kama una mpango wa kuja South, zingatia mambo haya sita kabla ya kuanza safari yako

Mumezoea shida wakati kwenu hakuna shida? kweli shida zinazoeleka? Poleni sana kwa hizo shida mulizo zizoea.
Hii sio shida mkuu, bali ni uhalifu ambao kila nchi upo. Wewe hausikii watu wanaotekwa, au kuuwawa kila siku TZ?

Kuna mambo ambayo hayaepukiki hata ukiwa kwenu utakumbana nayo tu. Kikubwa ni kumuomba Mungu akuepushe na shari za dunia na matatizo ya hapa na pale hata ukiwa unaishi nchi kwako.
 
sasa kwann abiria wengine wasimpe nauli dereva na wampe aliekaa karibu na dereva bila kujali kama ni mwenzao?
Huu ndio utaratibu mkuu na umeshazoeleka miaka na miaka nafikiri toka walipopata uhuru kamili.

Sasa ukimpa dereva ahesabu hela za kila kiti, aendeshe gari, arudishie watu chenji nk si atafanya ajali mkuu.
 
Niliishi South Africa miaka ya 2017 mpaka 2019 naingia na kutoka nilikuwa na aunt yangu anaumwa tukawa tunaenda kwenye matibabu mji wa Johannesburg akapanga apartment Sandton Longdon Avenue kiukweli sikupenda maisha ya kule huna amani Bolt akikubeba anashamgaa Madam you are living here you must be Rich eeeh namwambia no I am not living here I am housemaid 😁naogopa kuna siku tumeenda sijui ndo Maryland kwa wahindi wasomali nikatoa dollar msomali akaniambia unazo nyingi nipe kaka yangu akaniminya nikakataa akasema wewe usithubutu siku nyingine utapigwa risasi akaniambia twende ukawaone kaka zako wa Temeke na Tandika aisee wapo machokoani vibar kama huku wanalewa bangi madawa wamechoka nikasema si bora warudi tu wezi kazi zao kupora sema South kuna pisi kali nilikuwa nazishangaa sana mpaka nikazoea si wahindi makaburu wana mitako 😁 ushoga usagaji nilikuwa nawashangaa mandela square kuna mgawaha tulikuwa tunapenda kula mpaka nikazoea, kuhusu misosi nilipendaga kila kitongoji na supermarket yake migawaha ya kula 🤗nilikuwa napenda kula huduma za hospital pia nilizipenda sema walikataa dollar tukaziacha wanasema tutachukua tukipata Rand 10,000 tupeleke.
 
Nakubaliana na maelezo yako mkuu. Alaf miaka hiyo ya 2017 mimi nilikuwa nafanyakazi huko huko Sandton sehem fulan inaitwa riverside. Ni sehem yenye wazungu wengi wenye uwezo wa kipato cha kati.
 
Nakubaliana na maelezo yako mkuu. Alaf miaka hiyo ya 2017 mimi nilikuwa nafanyakazi huko huko Sandton sehem fulan inaitwa riverside. Ni sehem yenye wazungu wengi wenye uwezo wa kipato cha kati.
Kweli wazungu wengi yaani ngozi nyeusi wengi housemaid na walinzi sema mie nilivyokuwa wanahisi mie chotara 😁 nilikuwa na karangi na ka shape ka kuendana nao.
 
Nakubaliana na maelezo yako mkuu. Alaf miaka hiyo ya 2017 mimi nilikuwa nafanyakazi huko huko Sandton sehem fulan inaitwa riverside. Ni sehem yenye wazungu wengi wenye uwezo wa kipato cha kati.
Hii ndo siku nimepewa pesa ya Eid $400 na Rand 12000 at that time ilikuwa sawa na $100 ni kanunue nguo tunaenda kwa wasomali na wahindi nikatoa kaka akaniambia unadhani upo bongo 😂
 
Attachments

  • FB_IMG_1725548180852.jpg
    136.7 KB · Views: 7
Duh!...hiyo namba 6 kiboko...
 
Kweli wazungu wengi yaani ngozi nyeusi wengi housemaid na walinzi sema mie nilivyokuwa wanahisi mie chotara 😁 nilikuwa na karangi na ka shape ka kuendana nao.
Kwani wewe ndio huyu kwa profile yako mkuu?
 
Hii ndo siku nimepewa pesa ya Eid $400 na Rand 12000 at that time ilikuwa sawa na $100 ni kanunue nguo tunaenda kwa wasomali na wahindi nikatoa kaka akaniambia unadhani upo bongo 😂
Hata bongo ukitoa hela nyingi kiasi hiki lazima wakufatilie na kukukaba 🤣🤣🤣

Nchi ambayo bado salama mtu kutembea na hela bila kufuatiliwa na wezi niliona ni Zambia tu.
 
aiseee...so huko sauz misambwanda kama yote au sio alafu nasikia huko kugegedana nje nje wala hawamaind ni full shisha nyama mitungi blanti hii mikasiiii
 
aiseee...so huko sauz misambwanda kama yote au sio alafu nasikia huko kugegedana nje nje wala hawamaind ni full shisha nyama mitungi blanti hii mikasiiii
Huku misambwanda ushindwe mwenyewe tu. Unamtongoza dem asubuhi, jioni ukitoka kazini unaenda kugonga. Na ukiwa kauzu unaweza kulamba familia nzima.
 
Kuna group la mabaharia(Sailsman) Facebook admin ni MSANGI. Aisee .........kilasiku MAITI zinatangazwa. Wengi ni bomba au madawa. Inamaana South Africa Kuna Watanzania wengi kuliko Tanzania?
Yah hilo group nalifahamu na kulifuatilia sana mkuu. Ki ukweli kuna baadhi ya mambo ambayo mtu hauwezi kuyaongelea hapa mitandaoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…