Wakudadisi
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 626
- 528
Hukitaka unaenda hata nchi zingine kwani maisha yako south. Kuna nchi za ulaya kama hizi hautajutia kabisa, germany, france, sweden, belgium, england, usa, canada, holland, na uswiz.Kwa maisha ya huko ninavyosikia na kusoma kama hivi kwa kweli nitabangaiza hapa hapa Bongo.
Kwa kweli hapana,niliwahi kupata nafasi ya kwenda urusi kimasomo nikakataa.yaaani sijawahi kupanga kutoka nchi hii yaani sitakuja kutoka .Tembea ujifunze mkuu. Sio kujifungia sehemu kama samaki anaefikiri kuwa nje ya maji hakuna viumbe vingine vinavyoishi kama yeye 🤣🤣🤣
Kwa South sio rahisi kihivyo mkuu.Huu ni ujinga wa kusululishana bila sababu ya msingi ingelikua huku bongo dereva wangelikua wanasikosa pesa zote kwa mfumo huu.
Ngoja usiku nitakupa kiufupi jinsi ilivyokuwa mkuu.Aisee chief natamani ungekuwa unanipa hii story live maana kuandika kunachosha ...hio story ya shaka zulu na wazungu kutumia staili ya kioo iko vipi maana sijaielewa
Kumbe hupendi tu kutokana nchini, mimi nilifikiri ni kwa sababu ya yale yanayoendelea hapa.Kwa kweli hapana,niliwahi kupata nafasi ya kwenda urusi kimasomo nikakataa.yaaani sijawahi kupanga kutoka nchi hii yaani sitakuja kutoka .
Shukran sana mkuu 🙏🙏Mleta mada hongera Sana kwa muongozo wako.
Naamini utawafaa wengi Sana
Hata mimi nafahamu hivi na nimeliishi hili.Mengine yote upo sahihi isipokuwa namba 2 umedanganya. South africa hakuna kazi kwa foreigners hata kama umesoma. Hao wazimbabwe wanapata kazi za hovyo tu na wanakuwa exploited as cheap labor. Dzonga kupata kazi rasmi ya kuajiriwa kihalali lazima uwe na critical skills ambazo raia hawana. Kuna sheria kabisa inayokataza waajiri kuajiri foreigners wasiokuwa na critical skills ambazo ziko in short supply. Kupata work permit ni ngumu hatari na hakuna mwajiri atakayekuajiri bila work permit. Wazimbabwe na foreigners wanaojiriwa as cheap labor wana karatasi za ukimbizi ambazo zinawaruhusu kuajiriwa. Kuwa na documents halali za kuingia SA hazikufanyi upate kazi.
😅😅😅Kwa hii English yako ya kukariri darasani sidhani kama utatoboa kwa kaburu!
Hata mimi nafahamu hivi na nimeliishi hili.
Mkuu hebu jaribu kusoma post namba 64. Nina imani utarudi kufuta hiki ulichoandika. Wabongo wengi hawajui kinachoendelea katika nchi hii.Hata mimi nafahamu hivi na nimeliishi hili.
Nimeandika kipi cha kufuta mkuu wangu?Mkuu hebu jaribu kusoma post namba 64. Nina imani utarudi kufuta hiki ulichoandika.
Wewe umeandika vizuri mkuu, sema uliempongeza hakuwa sahihi kupongezwa maana aliandika asichokijua. Ukweli ni kwamba wabongo wengi hawajui issue za kazi katika nchi hii, maana wengi hawakuja kufanya kazi na hawana jitihada za kutafuta hizo kazi. Ndomaana nikakushauri upande juu kidogo kwenye comment namba 64 kuna ufafanuzi mzuri kuhusu alichopotosha jamaa.Nimeandika kipi cha kufuta mkuu wangu?
Hahahahaaaaa sitakagi hata kukumbuka tulienda training na washikaji weekend tukaenda club sizaa wakati wa kurudi tuko wa tatu akapita jamaa mmoja ita kunjan atukujibu kilichofwata n kukutana hotelin. Mmmoja wakatokea 4 mbele nkahisi wako wapita njia kumbe walewale walitufokooaa sinahamuuh yaanUko sahihi kabisa na umeeleza kwa ufasaha
Namba Moja ilinifanya niombe mkate ndani ya train nikitoa Musina kuelekea cape town maana hela iliishia beit bridge the rest is history ila SA iliniacha na experience Moja kubwa sana
Ulimshauri vizuri mi mchana kabisa colored walinizunguka kama watatu kibindoni Nina almost ten thousand rand na mfuko wa kawaida twenty randHahahahaaaaa sitakagi hata kukumbuka tulienda training na washikaji weekend tukaenda club sizaa wakati wa kurudi tuko wa tatu akapita jamaa mmoja ita kunjan atukujibu kilichofwata n kukutana hotelin. Mmmoja wakatokea 4 mbele nkahisi wako wapita njia kumbe walewale walitufokooaa sinahamuuh yaan
2.kule usitembeee nanpesà nyingi kama una sehemu ya kuhifadhi
Hifadhi hukoo
3 jifunze kutoa sadaka nono ukiwa nje ya nchi yaan kule...njenjee...
Mmoja wetu aligoma kutoa ushirikiano aisee walimpiga walimchapa badae nkamwambia ndugu wakikuuzunguka toa ushirikiano wale wakiona unazingua wanakuwaga na ma bonba[bastola] mfukoni ikitoka hairudi bure
Nduguuu yule br kama walimnusaa alibeba dola zote akawa akitaji anatoa 200 anabadili zingine anaweka mfukon dah aise ikabidi ipigwe simu dar wakamchangia na sisi akamaliza salama sijui kwa sasa ila amani kule 0Ulimshauri vizuri mi mchana kabisa colored walinizunguka kama watatu kibindoni Nina almost ten thousand rand na mfuko wa kawaida twenty rand
Dah nilishtuka ila nikawaza fasta nikawatolea Ile twenty wakaondoka
Kule kupigana telo mchana kawaida
Binafsi huwa nina uwezo wa kusoma mawazo ya mtu na kumuelewa.Wewe umeandika vizuri mkuu, sema uliempongeza hakuwa sahihi kupongezwa maana aliandika asichokijua. Ukweli ni kwamba wabongo wengi hawajui issue za kazi katika nchi hii, maana wengi hawakuja kufanya kazi na hawana jitihada za kutafuta hizo kazi. Ndomaana nikakushauri upande juu kidogo kwenye comment namba 64 kuna ufafanuzi mzuri kuhusu alichopotosha jamaa.
Hapo alikosea pakubwa sana kwanza ujasiri TU wa kwenda club ulikuwa mkubwa sanaNduguuu yule br kama walimnusaa alibeba dola zote akawa akitaji anatoa 200 anabadili zingine anaweka mfukon dah aise ikabidi ipigwe simu dar wakamchangia na sisi akamaliza salama sijui kwa sasa ila amani kule 0
kibaya wengine wanakuwa na moto mfukon ukizingua wanakushona kwelii....Ulimshauri vizuri mi mchana kabisa colored walinizunguka kama watatu kibindoni Nina almost ten thousand rand na mfuko wa kawaida twenty rand
Dah nilishtuka ila nikawaza fasta nikawatolea Ile twenty wakaondoka
Kule kupigana telo mchana kawaida