Kama una mpango wa kuja South, zingatia mambo haya sita kabla ya kuanza safari yako

Kama una mpango wa kuja South, zingatia mambo haya sita kabla ya kuanza safari yako

Kwa kweli hapana,niliwahi kupata nafasi ya kwenda urusi kimasomo nikakataa.yaaani sijawahi kupanga kutoka nchi hii yaani sitakuja kutoka .
Kumbe hupendi tu kutokana nchini, mimi nilifikiri ni kwa sababu ya yale yanayoendelea hapa.

Lakini nakuelewa mkuu. Muda mungine hata mimi naona itafika kipindi nitarudi nyumban mazima nikaishi kwa amani kuliko mchaka mchaka na pilika pilika za nchi hii zinavyotupeleka puta.
 
Mengine yote upo sahihi isipokuwa namba 2 umedanganya. South africa hakuna kazi kwa foreigners hata kama umesoma. Hao wazimbabwe wanapata kazi za hovyo tu na wanakuwa exploited as cheap labor. Dzonga kupata kazi rasmi ya kuajiriwa kihalali lazima uwe na critical skills ambazo raia hawana. Kuna sheria kabisa inayokataza waajiri kuajiri foreigners wasiokuwa na critical skills ambazo ziko in short supply. Kupata work permit ni ngumu hatari na hakuna mwajiri atakayekuajiri bila work permit. Wazimbabwe na foreigners wanaojiriwa as cheap labor wana karatasi za ukimbizi ambazo zinawaruhusu kuajiriwa. Kuwa na documents halali za kuingia SA hazikufanyi upate kazi.
Hata mimi nafahamu hivi na nimeliishi hili.
 
Nimeandika kipi cha kufuta mkuu wangu?
Wewe umeandika vizuri mkuu, sema uliempongeza hakuwa sahihi kupongezwa maana aliandika asichokijua. Ukweli ni kwamba wabongo wengi hawajui issue za kazi katika nchi hii, maana wengi hawakuja kufanya kazi na hawana jitihada za kutafuta hizo kazi. Ndomaana nikakushauri upande juu kidogo kwenye comment namba 64 kuna ufafanuzi mzuri kuhusu alichopotosha jamaa.
 
Uko sahihi kabisa na umeeleza kwa ufasaha
Namba Moja ilinifanya niombe mkate ndani ya train nikitoa Musina kuelekea cape town maana hela iliishia beit bridge the rest is history ila SA iliniacha na experience Moja kubwa sana
Hahahahaaaaa sitakagi hata kukumbuka tulienda training na washikaji weekend tukaenda club sizaa wakati wa kurudi tuko wa tatu akapita jamaa mmoja ita kunjan atukujibu kilichofwata n kukutana hotelin. Mmmoja wakatokea 4 mbele nkahisi wako wapita njia kumbe walewale walitufokooaa sinahamuuh yaan

2.kule usitembeee nanpesà nyingi kama una sehemu ya kuhifadhi

Hifadhi hukoo

3 jifunze kutoa sadaka nono ukiwa nje ya nchi yaan kule...njenjee...

Mmoja wetu aligoma kutoa ushirikiano aisee walimpiga walimchapa badae nkamwambia ndugu wakikuuzunguka toa ushirikiano wale wakiona unazingua wanakuwaga na ma bonba[bastola] mfukoni ikitoka hairudi bure
 
Ulimshauri vizuri mi mchana kabisa colored walinizunguka kama watatu kibindoni Nina almost ten thousand rand na mfuko wa kawaida twenty rand
Dah nilishtuka ila nikawaza fasta nikawatolea Ile twenty wakaondoka
Kule kupigana telo mchana kawaida
 
Nduguuu yule br kama walimnusaa alibeba dola zote akawa akitaji anatoa 200 anabadili zingine anaweka mfukon dah aise ikabidi ipigwe simu dar wakamchangia na sisi akamaliza salama sijui kwa sasa ila amani kule 0
 
Wewe umeandika vizuri mkuu, sema uliempongeza hakuwa sahihi kupongezwa maana aliandika asichokijua. Ukweli ni kwamba wabongo wengi hawajui issue za kazi katika nchi hii, maana wengi hawakuja kufanya kazi na hawana jitihada za kutafuta hizo kazi. Ndomaana nikakushauri upande juu kidogo kwenye comment namba 64 kuna ufafanuzi mzuri kuhusu alichopotosha jamaa.
Binafsi huwa nina uwezo wa kusoma mawazo ya mtu na kumuelewa.
Nilichomuelewa jamaa alivyosema foreigner hawezi pata kazi alimaanisha kazi rasmi sio hizi za day work. Nikisema rasmi namaanisha kazi uliyosomea.

Ulichokielezea ni sahihi, ndio ukweli ulivyo. Kazi ngumu ni za fani yako ila za kawaida tu zinapatikana coz wa SA ni wavivu na wanazikimbia.
 
Ulimshauri vizuri mi mchana kabisa colored walinizunguka kama watatu kibindoni Nina almost ten thousand rand na mfuko wa kawaida twenty rand
Dah nilishtuka ila nikawaza fasta nikawatolea Ile twenty wakaondoka
Kule kupigana telo mchana kawaida
kibaya wengine wanakuwa na moto mfukon ukizingua wanakushona kwelii....
 
Back
Top Bottom