grandMullah23m
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 248
- 339
Mkuu... Sasa kwa kijana kama mimi nitaanzaje na kamtaji kenyewe laki tatu... Kuna kutoka hapo kwel auUmeandika vizuri na umeeleweka ukiona mtu anauliza swali huyo Hana nia na hawezi mikiki mikiki ya hyo kazi sababu umeandika vitu muhimu na umenyoosha.
Binafsi nishafanya Ila ilkua n nguruwe mnadani unatakiwa uwe mjanja na mshapu Ila door to door n nzuri muhimu uwe unajua kwa macho kuwa huyu ukimuangalia hakosi KG kadhaa hvyo unakata hata 7kg ndo unaongea Bei na mnunuzi.
Changamoto ya Door to door unatakiwa ujue kuishi na watu ukikuta watu wanakula ugali wa mdama na dagaa wa kuchemsha unga usilete swaga, Kuna muda inabidi ulale hukohuko bush kwa wenyeji Kama n kulala chini lala Kama n kwenye ngozi lala faida yake utakuja kuiona baadae.
Ukiingia Kijiji unakutana na mjanja wao Sasa wewe kuwa mjanja zaidi yake wengi wanaongea kilugha hvyo jifunze kujua maneno muhimu kwenye Biashara yako katika sehemu unayokwenda kutafuta mifugo.
Jifunze kumsoma mtu usoni pindi mnaposalimiana tuu au akiongea maneno matatu hii itakusaidia kupata kwabei nafuu.
Vijana tupambane usisubiri mpaka ufike 1million ndo uanze Anza na hicho hicho ulichonacho Kama una Nia inakutoa bila shida hata Kama n laki moja we Anza na pale inapowezekana.
Kuza mtajiMkuu... Sasa kwa kijana kama mimi nitaanzaje na kamtaji kenyewe laki tatu... Kuna kutoka hapo kwel au
Yaani wewe jamaa pointless kabisa. Hivi unapofanya biashara unaangalia faida unayopata au kama unapigwa? Kama unapata faida ya nini kujiumiza na mengine si ufungue kiwanda chako. Haya unasema wanawapiga kwenye kilo unajua huku Oman wanaenda kuuza kilo moja bei gani? Unaweza kukuta hata ni mara sita ya uliyowauzia wewe. Mimi mpaka umenipa hasira. Binadamu aa hovyo sana kukatisha watu tamaaHakuna kitu hapo. Watakuwa wanawapiga watu Sana
Mimi nimejaribu kumuelewa nimeshindwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndugu umeandika nini hapa!
Fala Sana wewe. Umeongea kama vile wewe ni wale fai waka mnaofanya Kazi hapo kiwanda.Yaani wewe jamaa pointless kabisa. Hivi unapofanya biashara unaangalia faida unayopata au kama unapigwa? Kama unapata faida ya nini kujiumiza na mengine si ufungue kiwanda chako. Haya unasema wanawapiga kwenye kilo unajua huku Oman wanaenda kuuza kilo moja bei gani? Unaweza kukuta hata ni mara sita ya uliyowauzia wewe. Mimi mpaka umenipa hasira. Binadamu aa hovyo sana kukatisha watu tamaa
Na kukuthibitishia ninacho kuambia kuna biashara nimeamua kutuma M7 Kati ya hizo M7; 1.3M ni tiketi ya ndege; 500k kula na kulala lakini Faida yake ambayo iko projected ni 6M. Nitaleta ushuhuda suniFala Sana wewe. Umeongea kama vile wewe ni wale fai waka mnaofanya Kazi hapo kiwanda.
Kama biashara inaweza kukupa Faida ya 10k alafu wewe ukawa unapata 3k ukaona poa kisa unapata Faida nasi wewe utakuwa mjinga wa mwisho.
Anyway nisamaraizi kwa kusema nimadamu tumatofautiana.binafsi huwa naangalia gaida na mfa niliotumia pamoja na kapital niliyoweka.
Kwa mfano niweke eti niwe na mtaji wa mbuzi 60 alafu gaida yake iwe 360k kwa mda wa wiki mbili hata kwa wiki sifanyi.
Kama nilivyosema tunatogautiana kimtazamo na mipango. Bila kusahau uwezo pia.
Siku nyingine uwe na adabu huwezi jua nani atakupa fursa.
Na kukuthibitishia ninacho kuambia kuna biashara nimeamua kutuma M7 Kati ya hizo M7; 1.3M ni tiketi ya ndege; 500k kula na kulala lakini Faida yake ambayo iko projected ni 6M. Nitaleta ushuhuda suni
Subiri mrejesho kijanaNa kukuthibitishia ninacho kuambia kuna biashara nimeamua kutuma M7 Kati ya hizo M7; 1.3M ni tiketi ya ndege; 500k kula na kulala lakini Faida yake ambayo iko projected ni 6M. Nitaleta ushuhuda suni
Elezea
Nyie watu mnaoishi kwa mashemej zenu bana , tabu tupu , hapo hujawa uza hata pipiFala Sana wewe. Umeongea kama vile wewe ni wale fai waka mnaofanya Kazi hapo kiwanda.
Kama biashara inaweza kukupa Faida ya 10k alafu wewe ukawa unapata 3k ukaona poa kisa unapata Faida nasi wewe utakuwa mjinga wa mwisho.
Anyway nisamaraizi kwa kusema nimadamu tumatofautiana.binafsi huwa naangalia gaida na mfa niliotumia pamoja na kapital niliyoweka.
Kwa mfano niweke eti niwe na mtaji wa mbuzi 60 alafu gaida yake iwe 360k kwa mda wa wiki mbili hata kwa wiki sifanyi.
Kama nilivyosema tunatogautiana kimtazamo na mipango. Bila kusahau uwezo pia.
Siku nyingine uwe na adabu huwezi jua nani atakupa fursa.
Na kukuthibitishia ninacho kuambia kuna biashara nimeamua kutuma M7 Kati ya hizo M7; 1.3M ni tiketi ya ndege; 500k kula na kulala lakini Faida yake ambayo iko projected ni 6M. Nitaleta ushuhuda suni
Kumbe na wewe umemuona? [emoji23][emoji23][emoji23] huyo jamaa amenifurahisha sanaNyie watu mnaoishi kwa mashemej zenu bana , tabu tupu , hapo hujawa uza hata pipi
Ukute ni Q-NET anaongeleaNa kukuthibitishia ninacho kuambia kuna biashara nimeamua kutuma M7 Kati ya hizo M7; 1.3M ni tiketi ya ndege; 500k kula na kulala lakini Faida yake ambayo iko projected ni 6M. Nitaleta ushuhuda suni
Elezea
Biashara gani uwekeze Millioni 7 ikuletee faida Millioni 6?Fala Sana wewe. Umeongea kama vile wewe ni wale fai waka mnaofanya Kazi hapo kiwanda.
Kama biashara inaweza kukupa Faida ya 10k alafu wewe ukawa unapata 3k ukaona poa kisa unapata Faida nasi wewe utakuwa mjinga wa mwisho.
Anyway nisamaraizi kwa kusema nimadamu tumatofautiana.binafsi huwa naangalia gaida na mfa niliotumia pamoja na kapital niliyoweka.
Kwa mfano niweke eti niwe na mtaji wa mbuzi 60 alafu gaida yake iwe 360k kwa mda wa wiki mbili hata kwa wiki sifanyi.
Kama nilivyosema tunatogautiana kimtazamo na mipango. Bila kusahau uwezo pia.
Siku nyingine uwe na adabu huwezi jua nani atakupa fursa.
Na kukuthibitishia ninacho kuambia kuna biashara nimeamua kutuma M7 Kati ya hizo M7; 1.3M ni tiketi ya ndege; 500k kula na kulala lakini Faida yake ambayo iko projected ni 6M. Nitaleta ushuhuda suni
Mkuu Heshima kwako! Je unaonaje wazo langu la kutaka kwenda Kondoa au nearby place karibu na Dodoma, nikatafuta eneo nikaweka kibanda na kijana na kuanza kufuga mbuzi ili wakikua nipeleke huko kiwandani?Asante sana ndugu yangu. Mungu atubariki sote
Ushuhuda "SUNI"[emoji23][emoji23]Fala Sana wewe. Umeongea kama vile wewe ni wale fai waka mnaofanya Kazi hapo kiwanda.
Kama biashara inaweza kukupa Faida ya 10k alafu wewe ukawa unapata 3k ukaona poa kisa unapata Faida nasi wewe utakuwa mjinga wa mwisho.
Anyway nisamaraizi kwa kusema nimadamu tumatofautiana.binafsi huwa naangalia gaida na mfa niliotumia pamoja na kapital niliyoweka.
Kwa mfano niweke eti niwe na mtaji wa mbuzi 60 alafu gaida yake iwe 360k kwa mda wa wiki mbili hata kwa wiki sifanyi.
Kama nilivyosema tunatogautiana kimtazamo na mipango. Bila kusahau uwezo pia.
Siku nyingine uwe na adabu huwezi jua nani atakupa fursa.
Na kukuthibitishia ninacho kuambia kuna biashara nimeamua kutuma M7 Kati ya hizo M7; 1.3M ni tiketi ya ndege; 500k kula na kulala lakini Faida yake ambayo iko projected ni 6M. Nitaleta ushuhuda suni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ushuhuda "SUNI"[emoji23][emoji23]
Mkuu Heshima kwako! Je unaonaje wazo langu la kutaka kwenda Kondoa au nearby place karibu na Dodoma, nikatafuta eneo nikaweka kibanda na kijana na kuanza kufuga mbuzi ili wakikua nipeleke huko kiwandani?
Hahahaha da one man upsetUkute ni Q-NET anaongelea