Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akiweka nistueWeka na vigezo vya mwanamke asiye chepuka 😂😂😂
Nimjue huyu wangu mapema
Sawa mkuuakiweka nistue
Anakuonea huruma huyo mkuu akichepuka utakufa na presha.Weka na vigezo vya mwanamke asiye chepuka 😂😂😂
Nimjue huyu wangu mapema
Awezi akachepuka kizembe mbele ya intelligence pipo kama mimi ..Anakuonea huruma huyo mkuu akichepuka utakufa na presha.
Nyie ndio kutwa mnapostiwa na millard ayo utasikia" kijana mmoja anayefahamika kwa jina la___ kutoka kijiji cha nyamtumbo mkoa wa iringa ajinyonga mpaka kufa baada ya kugundua mpenzi wake anamsaliti. Mkuu mwanamke hana dhamana usiwaamini sana, am out.Awezi akachepuka kizembe mbele ya intelligence pipo kama mimi ..
Kiufupi ajipange dadek
Case closedNyie ndio kutwa mnapostiwa na millard ayo utasikia" kijana mmoja anayefahamika kwa jina la___ kutoka kijiji cha nyamtumbo mkoa wa iringa ajinyonga mpaka kufa baada ya kugundua mpenzi wake anamsaliti. Mkuu mwanamke hana dhamana usiwaamini sana, am out.
Mkuu kama wako ni type hii lazima unagongewa sema hujui🤣🤣🤣, jus kidding.Case closedView attachment 3000416
Hapna mkuu awezi fanya hivo..Mkuu kama wako ni type hii lazima unagongewa sema hujui🤣🤣🤣, jus kidding.