King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Jaman Kweli Kibongo Bongo uwe na uwezo wa Kupata dolla 25,000/= hii ni sawa na almost 60million then uitumie kwa ajili ya Nauli tu na kula mbona mnatuchanganya.
Swali la Msingi ni Wangapii wanaweza kupata helaa hiyoo kwa pamoja ndo uende USA.
KUNA MTU NAMJUAA AMEENDA HUKO HANA HATA UWEZO WA KUMPA MTU 5M
Kiazi wewe, hujui chochoteWewe ni chizi, si kila aliyekwenda Canada ametumia njia ya shule, hujitambuwi hujui hata unabishania nini jinga kabisa.
Wewe jamaa m3 hauifika N. America ?
Upo serious na maisha kweli?
Umri wa kwenda nje,Haina limit?Tafuta passport na fedha at least 1 M nenda kajilipue kama mtalii utapata 90 visa.
Ndani ya hizo siku 90 jitahidi upate kazi ukikosa itabidi urudishwe kama mtalii uliyefilisika
Wanaokoa familia zao kwa kubeba maboksi ?
Watanzania ni wachache sana Marekani, wigo ukipanuka hata michongo inapanuka.Nini kifanyike kuwepa pata visa kwa urahisi.
Wewe fala ni mbishi halafu umekomaa kinyama na ubishi wakoKiazi wewe, hujui chochote
Kama utatuma EE (Express Entry) Lazima uwe na pesa $15,000 na utakapofika airport lazima uonyeshe hizo pesa bado unazo
Student nd EE ndio njia za uhamiaji huku (Student ndio njia nyepesi kiliko EE)
Checki lilivyo leupe kichwani kama chicken head
Nazijua sheria za uhamiaji zote za nchi na ukitaka nakupa msaada
Tofauti na hapo uje kama mfanya biashara ambapo uwe na $1,000,000 au mkimbiizi wa kisiasa au mkimbizi wa vita kama Ukraine na Afghanistan
Wengine hapa wanabisha ili wajueWewe jamaa m3 hauifika N. America ?
Upo serious na maisha kweli?
Purpose ya kwenda nje ina determine umri, brooo.Umri wa kwenda nje,Haina limit?
Wewe fala ni mbishi halafu umekomaa kinyama na ubishi wako
Hiyo million 60 unavuta coaster unakaa mlangoni mwenyewe hukosi dollar 100 kwa sikuMwenye uwezo wa kupata 60m hawezi hata siku moja kufikiria kwenda US kupiga BOX.
Wewe ni mpumbavu usiyejuwa lolote unazidi kujichoresha tu, tunawarusha watu wengi tu kwa tourist viza Toronto.Kiazi wewe, hujui chochote
Kama utatuma EE (Express Entry) Lazima uwe na pesa $15,000 na utakapofika airport lazima uonyeshe hizo pesa bado unazo
Student nd EE ndio njia za uhamiaji huku (Student ndio njia nyepesi kiliko EE)
Checki lilivyo leupe kichwani kama chicken head
Nazijua sheria za uhamiaji zote za nchi na ukitaka nakupa msaada
Tofauti na hapo uje kama mfanya biashara ambapo uwe na $1,000,000 au mkimbiizi wa kisiasa au mkimbizi wa vita kama Ukraine na Afghanistan
Watanzania ni wachache sana Marekani, wigo ukipanuka hata michongo inapanuka.
Siri ya Jeshi naiweka hapa leo, miaka 20 iliyopitay nilikuwa Uingereza, nilichokiona Kwa wenzetu wanigeria waliadvance miaka mingi iliyopita.
Kuna vyuo London Principal ni Mnigeria na management ni yao, vile vyuo wamevitumia sana kuingiza watu Uingereza Kwa student viza na viza ikiisha wanakuandikia wao document kwa malipo kwamba unaendelea na chuo stage nyingine, ukipeleka immigratuon unaongezewa viza, hawa Wanigeria tuliwatumia sana.
Sasa shida ya Wabongo hapa JF tu mtu analeta ujuwaji wakati hajui lolote na hajawahi kuishi mbele, NTU kama huyo akifika mamtoni usishangae hata akiwaunguza ujanja mnaotumia kupata viza wazungu wakabana.
Kwani kubeba box maana yake nini ?Hiyo kazi ya box ina salio la $4500- $5000 kwa kazi moja kwa mwezi ambapo
halipi ada ya shule ya watoto wake ambapo watapata classic education
Sasa wewe upo hpo kwa 1m na huna uhakika wa maisba ya mtoto wako
Wewe ni mpumbavu usiyejuwa lolote unazidi kujichoresha tu, tunawarusha watu wengi tu kwa tourist viza Toronto.
Kwa akili yako ya kuvukia barabara huwezi kuamini bwana Mdogo tu muuza simu wa kariakoo anapewa Canadian tourist viza.
Mental case.Wewe ngoja nikupe somo kwa Nigerians unaongelea miaka 20 amka ndugu.
Kwa nigerians kama huna ufadhili, pale wakikwambia kwamba "Your Visa has been approved" wanakwambia ukalipe ada(kama ni mwanafunzi) halafu unapotuma passport kwa ajili ya visa stika unatuma na risiti ya ada pamoja
Wao watafanya verification tu ndio ubandikiwe Visa stika
Hakuna ujanja ndugu
Mental case.
Omondiii.
Wewe ni mpumbavu usiyejuwa lolote unazidi kujichoresha tu, tunawarusha watu wengi tu kwa tourist viza Toronto.
Kwa akili yako ya kuvukia barabara huwezi kuamini bwana Mdogo tu muuza simu wa kariakoo anapewa Canadian tourist viza.
Wewe mjinga mmoja huna uwezo wa kuwakatisha tamaa wapambanaji.Nakupa pole sana, bado ni mweupe kwa swala la uhamiaji.
Unaleta story za miaka 20, pole sana
Yani wewe unaona Canada hatari? Mshamba sana Wewe jamaa, hapo Montreal Quebec city Watoto wa Tandika wamejaa kibao wamemwagwa na meli na hata mia hawakuwa nayo, hao Wacanada walikuwa wapi?Rusha wana wa 4m ndugu, mbona wako wengi humu.
Hahahahahaahhahah, unaujua ukaguzi wa Toronto YYZ pale, mnaongea tu