Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

Kwa Dubai search mitandao yao ya kazi, omba kazi yako inakua rahisi ukifika unapiga kazi, nyumba kwa muajiri unaanza kusave pesa kwa ajili ya kuingia America au Canada.
 
Namba ya cm
 
Tusaidie maagent km unawafaham
 
Hii no no
 
Fursa zipo nje ni vile hatujui pa kuanzia kma vile visa na passport
Kwa nini mashirika ya ndege yasingekuw yanatoa elimu juu ya Visa na passport ?
wabongo tungefka mbali kam wanai geria
Passport mbona unaomba tu
 
Kaka kwema.
 
Habari kaka
 
Za kuambiwa changanya na zako. There's more to life than money.

There's a reason wakorea wenyewe na watu wa mataifa mengine wanakimbilia US. Kuna Korean towns kibao in the USA na Canada.
Kama watu walidhubutu kwenda mpaka kwenye sayari ya Mars bila kujali "risk" ambayo ingeweza Kuwapata na kurudi salama, si tatizo kujaribu maisha mahali ambako wanadamu wengine wanaishi.

Inawezekana hata Korea kuna American towns, pengine.
 
Hakuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…