Una point lakini hata nyumbani kuna fursa pia na inawezekana ni kubwa kuliko nchi za watu, hata mimi ningependa vijana wasafiri ili wakirudi wawe na akili zaidi, nchi zilizoendelea kuna mengi ya kujifunza
Pole sana, najua wengi wamejaribu kama wewe lakini system imewaangusha vibaya sana na kuamua kurudi nje ya nchi walikotoka na kutokomea kabisa, ila amini fursa bado zipo usikate tamaa, fanya research na jaribu kupunguza risk kwa chochote utakachowekeza maana wabongo hawachelewi kukugeuza wewe ndio fursaSiwezi kukupinga lakini mkuu hembu nijibu kwa hili;
Mimi nimeenda nchi za watu nikajichanga hadi nikapata mtaji, mwaka jana nikarudi nyumbani Tanzania kuwekeza, mwaka huu nimeamua kujikita kwenye biashara ya mazao(mahindi) nikachukua mzigo wa 50M nikapeleka Uganda. Kufika tu mpakani mara mpuuzi mmoja akaropoka kufunga mipaka bila kutoa notice in advance. Huwezi amini nimekata 6M kwenye mzigo huo.
Je, bado unaweza kutetea hoja yako ya kuwepo kwa fursa nyingi Tanzania je? Mimi naona kama vikwazo ni vingi kuliko support kwa nchi yetu.
Mkuu kiukweli Mimi nikipata mtaji hata huo wako siwezi wekeza tz kwa sababau ya mifumo yetu,kodi kubwa,soko changamoto,sasa kwanini niaribu mtaji wangu.😥😥😥Siwezi kukupinga lakini mkuu hembu nijibu kwa hili;
Mimi nimeenda nchi za watu nikajichanga hadi nikapata mtaji, mwaka jana nikarudi nyumbani Tanzania kuwekeza, mwaka huu nimeamua kujikita kwenye biashara ya mazao(mahindi) nikachukua mzigo wa 50M nikapeleka Uganda. Kufika tu mpakani mara mpuuzi mmoja akaropoka kufunga mipaka bila kutoa notice in advance. Huwezi amini nimekata 6M kwenye mzigo huo.
Je, bado unaweza kutetea hoja yako ya kuwepo kwa fursa nyingi Tanzania je? Mimi naona kama vikwazo ni vingi kuliko support kwa nchi yetu.
French siijui lakini naamini haitakuwa kikwazo kwangu ispokuwa nataka kufahamu kuhusu ghalama za maisha katika huo mji wa Montreal maana Toronto inaonekana ni expensive sana kuendesha mamboKama uanaongea French itakuwa rahisi kwako
Watu wakienda Ulaya/US hawaendi na pesa, wanaenda kutafuta, nauli yako tuu na watu wa kukuonyesha kazi na kukupa sehemu ya kulala wiki ya kwanza 😅French siijui lakini naamini haitakuwa kikwazo kwangu ispokuwa nataka kufahamu kuhusu ghalama za maisha katika huo mji wa Montreal maana Toronto inaonekana ni expensive sana kuendesha mambo
Kwa kiswahili ndo unamaanisha🤔🤔🤔🤔
Mwanakwetu wewe umenificha nchi ngani huko duniani?Kaka acha kabisa, Maisha ya Ulaya ni ya upweke wa balaa kwa mtu aliyetoka Africa, huwezi kwenda ka jirani wala sehemu kwamba nikale nipige soga na watu, Pesa sio kila kitu ila ukiwa na furaha ndio kila kitu.
Nilikua nawaza home mpaka nakonda, chakula nacho magumumashi hakina ladha, miezi 3 ya mwanzo nilipata tabu sana aisee.
saivi nakata mitaa kama sina akili nzuri
jay-millions vipi ushasogea pande hizo?Alieko canada anishike mkono naamini sitamuangusha, nauki mpaka nafika huko niandae sh ngapi?
@Son of Gamba umeshasogea pande hizo?Uzi mzuri sana huu. Ndoto yangu kubwa ni kuhamia Canada. Soon nitafanikisha.
Mazingira ya kuzamia yana support kama USA?Ndugu ngoja nikupe mchanganuo kidogo tu
Chumba kimoja kwa mwezi ni $750
Chakula kwa mwezi kama ww ni $200
Kufika hapa bila kuwa mwanafunzi au worker huwezi survive hata mwezi.
Kama huna scholarship hakikisha una si chini ya 25m ya matumizi baada ya kulipa ada ya chuo
NakubaliUnaona mbali sana , kila siku na waambia watu . Watu wanaenda kupambana nje sio tu wanajipambania wao pekee, ni watu walio ji sacrifice kwajili ya familia ili kubadili hali duni
@Muccigang Ulipewa majibu?Sasa najiuliza korea tunapataje jiran wakutochoresha izo raman za kazi naona hiyo nchi ndo cheap zaid
Vipi lugha, mabosi wakikorea wanazungumza walau kiingereza hata kidogo?Korea kuna jamaa yangu ameenda juzi tu.hii ni mara yake ya pili,huwa anatumiwa hela ya tiket ya kwenda na kurudi,kule kuna kazi za shamba ,upandaji wa miche ya matunda na uvunaji wa matunda.
Alisema kule ni kazi kazi na kama wewe ni lele mama hutapaweza.Mana wanaenda na mda vibaya mno .Mda wa kulala usiku panawahi sana kukucha na mda wa mchana masaa hayaendi kabisa .
Sehemu ambayo huwa anafikia ni sehemu iliyo tengwa kwa ajiri ya wazee,hivyo kuona msichana au mu mama ni ngumu hadi uende mjini.
Huwa ana sema kule kupata mtu wa kibarua ni kazi kweli kweli,na hata mwenyeji wake huwa anamwambia asije akamkacha akiwa kule,mana vibarua ni adimu mno hasa waafrika mana ndo wachapa kazi tofauti na race zingine.
Malipo yake ni mazuri sana ila mziki wake ni wa moto mana unaweza kaa miezi sita hujaona binti wala mu mama.Ni wewe na kazi kazi na wewe ,ni kujitoa hasa.mana ni upweke wa [emoji817]%
Jamaa ni dereva wa lori ila huwa anaacha kazi huku anafata mkate wa kule .
[emoji23][emoji1787][emoji23]Unapoona wanaume wanajadili maisha wewe chukuwa kopo uewende msalani ukachambe. Fanculo.
Jamaa alikupa connection?Niungamishe na huyo jamaa yako tafadhali
Kajojo bhanaIla hata kibongo bongo ni cheap pia.....
Ukiambiwa ukafanye hizo kazi. Kule moshi au Arusha huwezi kukubali. Ila Ukiambiwa uende ukafanye same job USA au UK unawahi ndukiii...
Ila haya maisha Jaman dah basi tu.
Uko na masters na uelewi duh, bongo kweli nyosonataka kwenda kuso,a PhD canada japo lengo ni kuzamia nikakae japo miaka mitano tu. tatizo lipo kwenye kupata sponsor
You can say it againbongo hali ni tete
You can say that againYou're point is baseless. Diaspora waishio USA ndo wanaongoza kwa kutumia remittances zaidi bongo. Case closed.