mbwangali
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 2,266
- 4,057
Ni utapeliKATAA NDOA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni utapeliKATAA NDOA.
Kuna wakati mkeo ndo mchepukoHayo Matumizi ya mtoto yanaliwa na mwanaume mwingine anayemfaudi huyo mchepuko ukiwa Kwa mkeo
Huyo ni mpumbavu pro max, ana 5 stars rating ya upumbavu. Yupo boya mwingine kazalisha ke wa 5 ana watoto 8 na hatunzi hata mmoja alafu haogopi hata kuficha huo upuuzi wake. Unaanzaje kujisifia kwa upuuzi huo? Kuna watu n wapuuzi mno.Kuna jamaa kwetu linajisifu lina watoto 38 halafu haliwatunzi pumbavu kabisa!
😀😀, hapo atakua anajisifia kuwa yeye ni dume la mbegu.Huyo ni mpumbavu pro max, ana 5 stars rating ya upumbavu. Yupo boya mwingine kazalisha ke wa 5 ana watoto 8 na hatunzi hata mmoja alafu haogopi hata kuficha huo upuuzi wake. Unaanzaje kujisifia kwa upuuzi huo? Kuna watu n wapuuzi mno.
NAKAZIAKATAA NDOA.
Ni vizuri mkuu, ukipata watoto wa nje, alafu uje uoe mke mwingine, dahh chuki huwa ni kubwa sana ndani ya familia. MENEMENE TEKERI NA PERESIDuh Nyafwili ngoja niendelee kujiandaa na ndoa huku pembeni bado sijasingiziwa hata mmoja.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Kabisa KabisaMkuu,, naona unazidi kupigilia msumali kabisa.
Kwa miaka hii watoto kulelewa na mzazi mmoja imekuwa kawaida kabisa, Kuna watu wameoana mmoja anaishi Mtwara mwingine anaishi Bukoba huko, hata kama hawana watoto wa nje lakini watalelewa n'a mmoja wa wazazi wao tuNi kweli, lakini bado inakua haipo sahihi kabisa, mtoto kulelewa na mzazi mmoja, hivyo anakosa malezi yaliyo bora kutoka pande zote mbili.
Ndoa za namna hii, siyo powa kabisa.... Hasa hawa watumishi wa serikali vifua vyao vimebeba mambo mengi sana.Kwa miaka hii watoto kulelewa na mzazi mmoja imekuwa kawaida kabisa, Kuna watu wameoana mmoja anaishi Mtwara mwingine anaishi Bukoba huko, hata kama hawana watoto wa nje lakini watalelewa n'a mmoja wa wazazi wao tu
Huu mfumo wa 50 : 50, ndo unazidi kuharibu kila kitu, Mwanamke anasauti kuliko mwanaume nowadays , ichangie hauna cent mfukoni 😀😀.Alrijaru kawamuna 'ala nisaa....wanaume ni wasimamizi juu ya wanawake..
Siku hiz wanawake wamekuwa wasimamiz kwa wanaume.....wanapanga na kuratibu mambo yote kwenye ndoa...
Ufalme huporomoka kama mfalme atakuwa goigoi na hajielewi...inakuwaje familia kuporomoka adi kuchukiana na wewe baba upo how...
Mwanamke anaanzaje kumpa maneno ya chuki mwanao na wewe baba upo.....unatoa matumizi na kuhudumia vzuri familia..?
Na ameangamia atakae mfanya mwanamke kuwa kiongozi...
Mwanaume kua na wanawake wengi ama kuzaa sana haina uhusiano na dini. Ni asili ya mwanaume. Mwanaume ameumbwa kuzalisha.🤔🤔, Fuata taratibu za Ndoa kutegemea na dini yako, ila usisahau kuwalea ipasavyo... Siyo kuwalundika kwa bibi.