Kama una nia ya kufunga ndoa tafadhali usizae nje ya ndoa

Kuna jamaa kwetu linajisifu lina watoto 38 halafu haliwatunzi pumbavu kabisa!
Huyo ni mpumbavu pro max, ana 5 stars rating ya upumbavu. Yupo boya mwingine kazalisha ke wa 5 ana watoto 8 na hatunzi hata mmoja alafu haogopi hata kuficha huo upuuzi wake. Unaanzaje kujisifia kwa upuuzi huo? Kuna watu n wapuuzi mno.
 
😀😀, hapo atakua anajisifia kuwa yeye ni dume la mbegu.
 
Ni kweli, lakini bado inakua haipo sahihi kabisa, mtoto kulelewa na mzazi mmoja, hivyo anakosa malezi yaliyo bora kutoka pande zote mbili.
Kwa miaka hii watoto kulelewa na mzazi mmoja imekuwa kawaida kabisa, Kuna watu wameoana mmoja anaishi Mtwara mwingine anaishi Bukoba huko, hata kama hawana watoto wa nje lakini watalelewa n'a mmoja wa wazazi wao tu
 
Ndoa za namna hii, siyo powa kabisa.... Hasa hawa watumishi wa serikali vifua vyao vimebeba mambo mengi sana.
 
Alrijaru kawamuna 'ala nisaa....wanaume ni wasimamizi juu ya wanawake..

Siku hiz wanawake wamekuwa wasimamiz kwa wanaume.....wanapanga na kuratibu mambo yote kwenye ndoa...

Ufalme huporomoka kama mfalme atakuwa goigoi na hajielewi...inakuwaje familia kuporomoka adi kuchukiana na wewe baba upo how...

Mwanamke anaanzaje kumpa maneno ya chuki mwanao na wewe baba upo.....unatoa matumizi na kuhudumia vzuri familia..?

Na ameangamia atakae mfanya mwanamke kuwa kiongozi...
 
Huu mfumo wa 50 : 50, ndo unazidi kuharibu kila kitu, Mwanamke anasauti kuliko mwanaume nowadays , ichangie hauna cent mfukoni 😀😀.
 
🤔🤔, Fuata taratibu za Ndoa kutegemea na dini yako, ila usisahau kuwalea ipasavyo... Siyo kuwalundika kwa bibi.
Mwanaume kua na wanawake wengi ama kuzaa sana haina uhusiano na dini. Ni asili ya mwanaume. Mwanaume ameumbwa kuzalisha.
 
Dah diversity has always never seized to amaze me! Unazaa watoto na huwatunzi unaendelea kuongeza matatizo duniani.
 
Back
Top Bottom