Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amekokoteza kushiriki katika kulisindikiza jeneza na kusema:Ila waislam bwana, naona sijui ndo dini yao
Maeneo ya mjini wakiona jeneza linapita unasikia " ngoja tukapate dhawabu" apo anaunga tela
Unawaongelea hawa hawa ambao taasisi zao wamejaa kina ashura na mwaija tu au waislam wepi? Nenda pale jiite john uone kama utapewa hata mia. Unless kama huyu mwombaji alienda kuomba makanisa yote ya kkkt tanzania ila kwa hilo moja ndo unakuja kufungua uzi hapa una lako jamboMsaada unapatikana kwa wepesi msikitini.
Mimi sio muislam na huwa naponda sana vitu vingi vya uislamu.
Ila kwenye mambo ya utu wa wa waumini wake hapa Tanzania uislamu unaongoza. Kwenye kukusikiliza shida yako na kukusaidia wapo vizuri sana.
Hata kama mgeni ana tatizo akienda msikitini rahisi kusikilizwa na kusaidiwa kuliko akienda kanisani.
Waislam ni wajamaa na wakristo ni mabepari.. hata huduma za kanisani wenye hela wanapata upendeleo kila sehemu
Kanisa halimsikilizi mtu lisiemjua.. hata kumzika tu mkristo mwenzao ishu wanatazama mahudhurio yake na utoaji wake wa sadaka
Sasa mjini mbona kuna matapeli wengi sana ukikutana na mmoja atakwambia sina nauli au sina hela ya kula, kumbe hana shughuli yoyote ya maana zaidi ya kulaghai watu.Kuna mwaka nilipitia msoto mkali nilikua mitaa ya ITV nikasema ngoja niende kanisa la lutheran lililopo karibu na ITV linaitwa usharika wa Mwenge.
Nikaingia pale ila sikumuona mlinzi nikamuona mmama upande wa kushoto nikamfuata kumbe kule ndo kuna ofisi za mchungaji nikamfuata akaniambia mchungaji.
Tukaongea wewe baada ya mazungumzo to be honest nilikua sina hata mia mfukoni akampigia mlinzi kwa pembeni akaongea nae baada ya muda akaniambia nimfuate mlinzi yaani yule nilimuomba tu nauli nilikua nimebanwa ila hakunisaidia japokua anafanya kazi kwenye ofisi ya mchungaji to be honest ana roho ngumu sana.
Nilipomfuata mlinzi akaanza nifokea nikamuomba samahani kwa kuingia bila kumjulisha eeh bwana akaendelea kunifokea tena kwa sauti nikamwambia hata kama nina shida usidhalilishe utu wangu nikaondoka.
Nilichojifunza ni ngumu sana kupata msaada kwenye kanisa la KKKT kama hawakujui yaani makanisa yao sio nyumba ya Mungu anymore.
Baraka za Mungu zipo katika maeneo madogo madogo na usiyoyatarajia mfano anaweza akaja mtu smart akakuambia hana hela ya kula wewe utambeza na hutampa ila ndo umesakosa baraka za Mungu hivyo
Mtu kuomba msaada una haki ya kumnyima lakin usidhalilishe utu wake hio ndo point yanguSasa mjini mbona kuna matapeli wengi sana ukikutana na mmoja atakwambia sina nauli au sina hela ya kula, kumbe hana shughuli yoyote ya maana zaidi ya kulaghai watu.
Umeshawaza kabla yako kuna wangapi wamefanya huo utapeli hapo kanisani? Na hujasema umeongea na nini au huo msoto wako ni wa kivipi? Au unataka ukimwomba mtu yeyote hela basi akupe tu hata kama hajakuamini?
Mimi sio mKKKT lakini umeandika ujinga sana.
Sasa huyo mtu wa kugawa hela kwa mtu asiyemjua kisa anafanyakazi kanisani utampata wapi wewe?Note
Unahaki ya kumnyima mtu msaada sio dhambi au kosa ila usidhalilishe utu wake kama hauna nia au hutaki kumsaidia
Kuna mwaka nilipitia msoto mkali nilikua mitaa ya ITV nikasema ngoja niende kanisa la lutheran lililopo karibu na ITV linaitwa usharika wa Mwenge.
Nikaingia pale ila sikumuona mlinzi nikamuona mmama upande wa kushoto nikamfuata kumbe kule ndo kuna ofisi za mchungaji nikamfuata akaniambia mchungaji.
Tukaongea wewe baada ya mazungumzo to be honest nilikua sina hata mia mfukoni akampigia mlinzi kwa pembeni akaongea nae baada ya muda akaniambia nimfuate mlinzi yaani yule nilimuomba tu nauli nilikua nimebanwa ila hakunisaidia japokua anafanya kazi kwenye ofisi ya mchungaji to be honest ana roho ngumu sana.
Nilipomfuata mlinzi akaanza nifokea nikamuomba samahani kwa kuingia bila kumjulisha eeh bwana akaendelea kunifokea tena kwa sauti nikamwambia hata kama nina shida usidhalilishe utu wangu nikaondoka.
Nilichojifunza ni ngumu sana kupata msaada kwenye kanisa la KKKT kama hawakujui yaani makanisa yao sio nyumba ya Mungu anymore.
Baraka za Mungu zipo katika maeneo madogo madogo na usiyoyatarajia mfano anaweza akaja mtu smart akakuambia hana hela ya kula wewe utambeza na hutampa ila ndo umesakosa baraka za Mungu hivyo
Ambacho watu hamjui au sijui mumepigwa upofu ni kuwa hizo mnazoita nyumba za ibada sijui makanisa kwanza ni vitega uchumi vya watu wachache waliovianzisha.Ndo maana europe makanisa hayana watu sitakaa nimsahau yule mlinzi hivi unamfokeaje mtu mwenye shida
Nilijiuliza utu uko wapi
Tokea siku hiyo nikasema sitakaa nikanyage kanisani mpaka sahivi sina dini tena
yaani umekosa msaada stand,hospital,shuleni,vijiwe vya bodaboda,unakwenda kanisani kwamba huwa zipo tu za kugawa!!!Note
Unahaki ya kumnyima mtu msaada sio dhambi au kosa ila usidhalilishe utu wake kama hauna nia au hutaki kumsaidia
Kuna mwaka nilipitia msoto mkali nilikua mitaa ya ITV nikasema ngoja niende kanisa la lutheran lililopo karibu na ITV linaitwa usharika wa Mwenge.
Nikaingia pale ila sikumuona mlinzi nikamuona mmama upande wa kushoto nikamfuata kumbe kule ndo kuna ofisi za mchungaji nikamfuata akaniambia mchungaji.
Tukaongea wewe baada ya mazungumzo to be honest nilikua sina hata mia mfukoni akampigia mlinzi kwa pembeni akaongea nae baada ya muda akaniambia nimfuate mlinzi yaani yule nilimuomba tu nauli nilikua nimebanwa ila hakunisaidia japokua anafanya kazi kwenye ofisi ya mchungaji to be honest ana roho ngumu sana.
Nilipomfuata mlinzi akaanza nifokea nikamuomba samahani kwa kuingia bila kumjulisha eeh bwana akaendelea kunifokea tena kwa sauti nikamwambia hata kama nina shida usidhalilishe utu wangu nikaondoka.
Nilichojifunza ni ngumu sana kupata msaada kwenye kanisa la KKKT kama hawakujui yaani makanisa yao sio nyumba ya Mungu anymore.
Baraka za Mungu zipo katika maeneo madogo madogo na usiyoyatarajia mfano anaweza akaja mtu smart akakuambia hana hela ya kula wewe utambeza na hutampa ila ndo umesakosa baraka za Mungu hivyo
Msaada unapatikana kwa wepesi msikitini.
Mimi sio muislam na huwa naponda sana vitu vingi vya uislamu.
Ila kwenye mambo ya utu wa wa waumini wake hapa Tanzania uislamu unaongoza. Kwenye kukusikiliza shida yako na kukusaidia wapo vizuri sana.
Hata kama mgeni ana tatizo akienda msikitini rahisi kusikilizwa na kusaidiwa kuliko akienda kanisani.
Waislam ni wajamaa na wakristo ni mabepari.. hata huduma za kanisani wenye hela wanapata upendeleo kila sehemu
Kanisa halimsikilizi mtu lisiemjua.. hata kumzika tu mkristo mwenzao ishu wanatazama mahudhurio yake na utoaji wake wa sadaka
Kuna point gani ya waumin kutoa sadaka kama mtu hata kanisa linashindwa mpa hata nauliyaani umekosa msaada stand,hospital,shuleni,vijiwe vya bodaboda,unakwenda kanisani kwamba huwa zipo tu za kugawa!!!
kama huyo mama angeamua kukupa angekupa yeye,hakuna pesa ya kanisa inatoka kizembe hivyo kisa umeenda mdomo umenyauka.
ukiwa unamhukumu mlinzi,mama wa kanisa,na kanisa,na wenyewe wanakuhukumu kwa kuwa na afya nzuri halafu hujajikita kutafuta unaamua kuomba.
Mimi Zanzibar nililalaga msikitini hali ilikua tete sana miaka Ile, nililala nje baadae akaja bwana mmoja akanigusa nega kwa moyo wa Imani na huruma kisha akanipeleka kulala msikitini Kiembe samaki, Asubuhi nilipewa na nauli nikarejea Pemba kujipanga upya.Note
Unahaki ya kumnyima mtu msaada sio dhambi au kosa ila usidhalilishe utu wake kama hauna nia au hutaki kumsaidia
Kuna mwaka nilipitia msoto mkali nilikua mitaa ya ITV nikasema ngoja niende kanisa la lutheran lililopo karibu na ITV linaitwa usharika wa Mwenge.
Nikaingia pale ila sikumuona mlinzi nikamuona mmama upande wa kushoto nikamfuata kumbe kule ndo kuna ofisi za mchungaji nikamfuata akaniambia mchungaji.
Tukaongea wewe baada ya mazungumzo to be honest nilikua sina hata mia mfukoni akampigia mlinzi kwa pembeni akaongea nae baada ya muda akaniambia nimfuate mlinzi yaani yule nilimuomba tu nauli nilikua nimebanwa ila hakunisaidia japokua anafanya kazi kwenye ofisi ya mchungaji to be honest ana roho ngumu sana.
Nilipomfuata mlinzi akaanza nifokea nikamuomba samahani kwa kuingia bila kumjulisha eeh bwana akaendelea kunifokea tena kwa sauti nikamwambia hata kama nina shida usidhalilishe utu wangu nikaondoka.
Nilichojifunza ni ngumu sana kupata msaada kwenye kanisa la KKKT kama hawakujui yaani makanisa yao sio nyumba ya Mungu anymore.
Baraka za Mungu zipo katika maeneo madogo madogo na usiyoyatarajia mfano anaweza akaja mtu smart akakuambia hana hela ya kula wewe utambeza na hutampa ila ndo umesakosa baraka za Mungu hivyo
Ungeenda na makanisa mengine ili upate hitimisho vizuri mkuu huwezi kwenda kanisa moja ukahitimisha pengine uliyemkuta ndio rohl yake ilivyoNote
Unahaki ya kumnyima mtu msaada sio dhambi au kosa ila usidhalilishe utu wake kama hauna nia au hutaki kumsaidia
Kuna mwaka nilipitia msoto mkali nilikua mitaa ya ITV nikasema ngoja niende kanisa la lutheran lililopo karibu na ITV linaitwa usharika wa Mwenge.
Nikaingia pale ila sikumuona mlinzi nikamuona mmama upande wa kushoto nikamfuata kumbe kule ndo kuna ofisi za mchungaji nikamfuata akaniambia mchungaji.
Tukaongea wewe baada ya mazungumzo to be honest nilikua sina hata mia mfukoni akampigia mlinzi kwa pembeni akaongea nae baada ya muda akaniambia nimfuate mlinzi yaani yule nilimuomba tu nauli nilikua nimebanwa ila hakunisaidia japokua anafanya kazi kwenye ofisi ya mchungaji to be honest ana roho ngumu sana.
Nilipomfuata mlinzi akaanza nifokea nikamuomba samahani kwa kuingia bila kumjulisha eeh bwana akaendelea kunifokea tena kwa sauti nikamwambia hata kama nina shida usidhalilishe utu wangu nikaondoka.
Nilichojifunza ni ngumu sana kupata msaada kwenye kanisa la KKKT kama hawakujui yaani makanisa yao sio nyumba ya Mungu anymore.
Baraka za Mungu zipo katika maeneo madogo madogo na usiyoyatarajia mfano anaweza akaja mtu smart akakuambia hana hela ya kula wewe utambeza na hutampa ila ndo umesakosa baraka za Mungu hivyo
🤔🤔🤔🤔🤔Msaada unapatikana kwa wepesi msikitini.
Mimi sio muislam na huwa naponda sana vitu vingi vya uislamu.
Ila kwenye mambo ya utu wa wa waumini wake hapa Tanzania uislamu unaongoza. Kwenye kukusikiliza shida yako na kukusaidia wapo vizuri sana.
Hata kama mgeni ana tatizo akienda msikitini rahisi kusikilizwa na kusaidiwa kuliko akienda kanisani.
Waislam ni wajamaa na wakristo ni mabepari.. hata huduma za kanisani wenye hela wanapata upendeleo kila sehemu
Kanisa halimsikilizi mtu lisiemjua.. hata kumzika tu mkristo mwenzao ishu wanatazama mahudhurio yake na utoaji wake wa sadaka
Underneath kuomba msaada unakosali wewe insparamia ti makanisa ya watu wasiokukujua tapeli mkubwa weweNote
Unahaki ya kumnyima mtu msaada sio dhambi au kosa ila usidhalilishe utu wake kama hauna nia au hutaki kumsaidia
Kuna mwaka nilipitia msoto mkali nilikua mitaa ya ITV nikasema ngoja niende kanisa la lutheran lililopo karibu na ITV linaitwa usharika wa Mwenge.
Nikaingia pale ila sikumuona mlinzi nikamuona mmama upande wa kushoto nikamfuata kumbe kule ndo kuna ofisi za mchungaji nikamfuata akaniambia mchungaji.
Tukaongea wewe baada ya mazungumzo to be honest nilikua sina hata mia mfukoni akampigia mlinzi kwa pembeni akaongea nae baada ya muda akaniambia nimfuate mlinzi yaani yule nilimuomba tu nauli nilikua nimebanwa ila hakunisaidia japokua anafanya kazi kwenye ofisi ya mchungaji to be honest ana roho ngumu sana.
Nilipomfuata mlinzi akaanza nifokea nikamuomba samahani kwa kuingia bila kumjulisha eeh bwana akaendelea kunifokea tena kwa sauti nikamwambia hata kama nina shida usidhalilishe utu wangu nikaondoka.
Nilichojifunza ni ngumu sana kupata msaada kwenye kanisa la KKKT kama hawakujui yaani makanisa yao sio nyumba ya Mungu anymore.
Baraka za Mungu zipo katika maeneo madogo madogo na usiyoyatarajia mfano anaweza akaja mtu smart akakuambia hana hela ya kula wewe utambeza na hutampa ila ndo umesakosa baraka za Mungu hivyo
Ukishaona kanisa wanabatiza watoto ujue roho ya mpinga kristo imewafunika. Ambapo ni sawa na kanisa ambalo unalipa pesa kupata upako iwe mafuta, maji, keki hata kumuona mtumishi mkuu hapo ni toho ya ibilisi inaendesha huduma.hiyoNote
Unahaki ya kumnyima mtu msaada sio dhambi au kosa ila usidhalilishe utu wake kama hauna nia au hutaki kumsaidia
Kuna mwaka nilipitia msoto mkali nilikua mitaa ya ITV nikasema ngoja niende kanisa la lutheran lililopo karibu na ITV linaitwa usharika wa Mwenge.
Nikaingia pale ila sikumuona mlinzi nikamuona mmama upande wa kushoto nikamfuata kumbe kule ndo kuna ofisi za mchungaji nikamfuata akaniambia mchungaji.
Tukaongea wewe baada ya mazungumzo to be honest nilikua sina hata mia mfukoni akampigia mlinzi kwa pembeni akaongea nae baada ya muda akaniambia nimfuate mlinzi yaani yule nilimuomba tu nauli nilikua nimebanwa ila hakunisaidia japokua anafanya kazi kwenye ofisi ya mchungaji to be honest ana roho ngumu sana.
Nilipomfuata mlinzi akaanza nifokea nikamuomba samahani kwa kuingia bila kumjulisha eeh bwana akaendelea kunifokea tena kwa sauti nikamwambia hata kama nina shida usidhalilishe utu wangu nikaondoka.
Nilichojifunza ni ngumu sana kupata msaada kwenye kanisa la KKKT kama hawakujui yaani makanisa yao sio nyumba ya Mungu anymore.
Baraka za Mungu zipo katika maeneo madogo madogo na usiyoyatarajia mfano anaweza akaja mtu smart akakuambia hana hela ya kula wewe utambeza na hutampa ila ndo umesakosa baraka za Mungu hivyo
Mnaanza kufunguka akili.Msaada unapatikana kwa wepesi msikitini.
Mimi sio muislam na huwa naponda sana vitu vingi vya uislamu.
Ila kwenye mambo ya utu wa wa waumini wake hapa Tanzania uislamu unaongoza. Kwenye kukusikiliza shida yako na kukusaidia wapo vizuri sana.
Hata kama mgeni ana tatizo akienda msikitini rahisi kusikilizwa na kusaidiwa kuliko akienda kanisani.
Waislam ni wajamaa na wakristo ni mabepari.. hata huduma za kanisani wenye hela wanapata upendeleo kila sehemu
Kanisa halimsikilizi mtu lisiemjua.. hata kumzika tu mkristo mwenzao ishu wanatazama mahudhurio yake na utoaji wake wa sadaka
Hapo huku omba msaada kanisa Bali mtu binafsi! Kanisa Lina mfumo wake wa menejimenti ya fedha watakupaje tu kiholela!Msaada unapatikana kwa wepesi msikitini.