Salahan
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,963
- 3,685
Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amekokoteza kushiriki katika kulisindikiza jeneza na kusema:Ila waislam bwana, naona sijui ndo dini yao
Maeneo ya mjini wakiona jeneza linapita unasikia " ngoja tukapate dhawabu" apo anaunga tela
“Atayelishuhudia jeneza mpaka likaswaliwa, basi ana Qiraatw. Na yule atayelishuhudia mpaka likazikwa, ana Qiraatw mbili.” Kukasemwa: “Qiraatw mbili ni nini?” Akasema: “Ni mfano wa milima miwili mikubwa.”(YA THAWABU ) al-Bukhaariy (1325) na Muslim (945).