Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Hii mpya ngoja nikajaribu kwenye ka group flani maana wanajifanyaga wapo biiiize
 
Mnh, ndo kichekesho au
 
*Manzi anakupenda balaa.. Anasubiri wewe tu umwambie ili muanze maisha matamu. Tatizo moja linajitokeza, we ni domo zege* [emoji134]♂[emoji134]♂[emoji134]♂
[emoji134]♂
*Unajikakamua usiku huo, unamtumia meseji kuwa unakitu kitamu sana cha kumwambia. Demu anakujibu kwa bashasha, niambie. Unakaa kimya dakika 10. Anatuma txt ingine kuomba umwambie.*
*Unaamua kughairi kumwambia kwa madai ni jambo la kipuuzi sana hasa kwa umri wenu. Ila demu anakusisitizia umwambie. Anakopa hadi salio na kukupigia akiomba umwambie hivyohivyo. Unaamua kumwambia kuwa utamwambia kesho Manzi hana jinsi, anaamua kutry to sleep with broken heart.*
*Kesho yake mtoto anajipara balaa. Tena anachagua saa 2 usiku ambapo tayari wazee wake wamelala. Mnakutana maeneo fulani ambapo watu si rahisi kuwaona. Unaanza porojo zako. Mara leo tumekula nyanya chungu, mara ukila dengu ukijamba ushuzi unanuka balaa. Hujakaa vizuri unaanza kuhadithia mkesha wa mwaka mpya. Mwishowe manzi anakuuliza jana ulitaka kuniambia nini? Tena huku kalegeza macho nadhani hata ubongo pia utakuwa umelegea. Chance pekee ambayo kamanda kama mimi nadokoa tu! Nafunga goli la kunyanyulia kombe*
*Unakaa kimya dakika kadhaa. Manzi pumzi zinapishana huku akili yake inawaza maneno matamu utakayoyamwaga. Na kweli, kimya kingi kina mshindo. Domo zege unaamua kufunguka uliyotaka kumwambia.*
*Unaanza kwa kumtaja. Naye anaitika kwa heshima. Unamwambia hili jambo ni la kipuuzi sababu ya umri wenu kutoruhusiwa na wazazi wenu na hata dini. Demu anakurekebisha, anakwambia hamna kitu cha kipuuzi kama tutaridhiana. Unafurahi kwa kukupa ahueni ya kuzidi kutiririka. Basi unaendelea kwa kumuita tena jina lake.*
*Unamwambia jambo nililotaka kukwambia.*
*Hapo unatulia kwa sekunde kadhaa kama vile MaMC wanavotaka kumtangaza Miss World. Binti Kimoyo kinaenda paa paa paa mpaka kitisheti kinafunuka*
*Unamalizia kwa kusema, naomba uniibie peni kwenye duka lenu*
*Kiukweli usipopigwa kofi na Malaika, utapigwa konzi na Shetani*
 
Girl : hie luv
Boy : im gud and u
Girl : guess wat?
Boy : wat?
Girl : Tues iz the 14th
Boy : yah I know
Gil : OMG! u remembered!
Boy : yes its Barca vs PSG I cant wait...

[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimezipenda bidhaa dhako. Upo wap?
 
siku ya valentine day hua napenda kutumia muda wangu kuwaangalia mademu wafupi waliovaa red dresses maana hua nawafananisha na kimtungi cha ORYX
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Mala kama mitungi ya fire extinguisher[emoji23] [emoji23] [emoji23] cheka saaaaana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…