Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

wewe mwanaume unaetumia smartphone yenye miaka 2 na mpaka sasa haina kleki hata moja nna wasi wasi na jinsia yako

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]​
 
sasa itakuwaje wale watoto wa kichina kule kigamboni maana daraja limeisha tayari na wachina washaenda kwao

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]​
 
wewe mwanaume unaetumia smartphone yenye miaka 2 na mpaka sasa haina kleki hata moja nna wasi wasi na jinsia yako

[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]​
Oya unatutusi sasa, we vp? Mi yangu haina crack wala haijavunjika si utunzaji wangu tu!
 
In Africa we don't need CCTV cameras, the neighbours are enough .if you think i'm lying bring your girlfriend at home when your wife is not around and see the magic[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Relationships siku hizi tunaingia na shifts kama watchman ukiambiwa GOODNIGHT at 8.00 Pm kuna mwenye anaambiwa "Sasa my love" at 8.01Pm.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😀😀😀😀
 
hahahahaha daaah hii ni hatari
 
Nimeingia kwenye daladala naelekea Buguruni, kucheki kwenye side mirror, nimemuona dereva kapaka wanja machoni then macho yako mazuri kinoma[emoji13] [emoji13] wakati nashuka kwenye gari ikabidi nijisogeze mbele ili nimcheki vizuri, nikakutana na jamaa kajazia ana mimacho mikubwa na ya kutisha! kumbe pale mwanzo nilikuwa naangalia sticker zile za binti anayeonekana macho[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kuchekesha ni kpaj jaman
 
Never forget when Coutinho said,"i left liverpool to win champions league"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kimahesabu hata Arsenal anaweza kuwa bingwa. Kwa mfano, Man city, wakigomea kucheza mechi zote kisa refa kawaonea kwenye game ya derby, wanafungiwa na kunyang'anywa points zote, kisha Man U afungwe mechi zote zilizobaki. Halafu mechi ya Chelsea na Liverpool, wachezaji wa chelsea na Liverpool wampige refa!

Arsenal bingwa kiulainiiii!!!

Ndoto tamu hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We Numbi unamatatizo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Da kubabena
 
Umewahi miss mtu mmekosana hadi unaamua kumtext,...."gffrtsrrrrgfxvn akikuuliza ni nini?? Unamwambia ilijifinya kwa mfuko[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23]
 
Wanaume wa Dar mkiitwa kwa RC Makonda kuhusu kutelekeza watoto, tumia hizo points [emoji116][emoji116][emoji116] [emoji21][emoji21] utashinda tu kesi..

Land alienation -matajiri walinunua ardhi tukakimbilia dar, baada ya kukosa ardhi ya kulima.

Forced Labour -tulifanyishwa kazi ngumu kiasi kwamba tukakosa wanawake wa permanent, tukazaa na tukahamishwa eneo lingine la kazi.

Low wages -mshahara ilikuwa midogo hii ilisababisha kutotimiza majukumu yetu ya kuwalea watoto wetu.

Poor technology-hii imesababisha kukosa mawasiliano kwa wakati kiasi kwamba tukitaka kuwasiliana na watoto hadi tupande juu ya Miti.

Poor infrastructure - ilisababisha tupate tenda ya kujenga barabara, na kila tulipopita tuliacha Mtoto.

Lack of education- hii kwa upande wa kina Dada imewasabashia kutokujua kalenda zao vizuri, hii imesababisha mimba kutunga bila wao kujua.

Unemployment-kutokana na kuwa sina kazi ya kueleweka hii imesababisha kutotimiza majukumu yangu.

Taxation-kodi ya bidhaa imekuwa kubwa hii imepelekea kufunga biashara zetu ambazo tulikuwa tunapata chochote.

Yaani hizi points huwa hazikataagi swali ..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…