Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oya unatutusi sasa, we vp? Mi yangu haina crack wala haijavunjika si utunzaji wangu tu!wewe mwanaume unaetumia smartphone yenye miaka 2 na mpaka sasa haina kleki hata moja nna wasi wasi na jinsia yako
[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
😀😀😀😀jana nmetoka kuangalia movie ya kivita,na mm nkajiona kama nmeshakua stering vle..nkachkua mwiko nkatokea nao barabaran nkasimamisha difenda la FFU nkawauliza mnatoka wapi na mnaenda wap?
Hadi sasa hivi nupo kitandan napewa matibabu, @@@AKILI YANGU NAIJUA MWENYEWE!!!!...
hahahahaha daaah hii ni hatariLeo baba mwenye nyumba alikuja nyumban kwangu mazungumzo yakawa hivi…
Baba: habari za leo kijana
Mimi:safi mzee shikamoo
Baba: marhaba, kijana mbona tarehe zishapita naona kimya
Mimi: vipi uzioni siku zako?
Saivi anatoa vyombo vyangu nje naisi ananisaidia kufanya usafi.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
kuchekesha ni kpaj jamanMuuza maziwa kaja kunigongea mlango asubuhi mapema na kuniambia leo ana maziwa mazuri sana, nikamwambia nipatie lita 5, wakati ananipimia ile kuyacheki nikakuta maziwa kama yana mafuta ikabidi nimuulize;
Mimi: Hivi haya maziwa si itakuwa ya ngombe jike?
Muuzaji: Inawezekana kabisa ikawa hivyo, ulijuaje?
Mimi: Si nimeona yana mafuta
Muuzaji: Itakuwa ya ng'ombe jike haya, hata mimi nimeona
Alipoondoka ndio ikabidi nicheke tu maana kumbe sote tulivuta bangi asubuhi.
*hakuna maziwa ya ngombe dume[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23]Husband - honey where is my wallet..?
Wife - where the Manchester city is..?
Husband - what do you mean...??
Wife - on top of the table..
We Numbi unamatatizo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kimahesabu hata Arsenal anaweza kuwa bingwa. Kwa mfano, Man city, wakigomea kucheza mechi zote kisa refa kawaonea kwenye game ya derby, wanafungiwa na kunyang'anywa points zote, kisha Man U afungwe mechi zote zilizobaki. Halafu mechi ya Chelsea na Liverpool, wachezaji wa chelsea na Liverpool wampige refa!
Arsenal bingwa kiulainiiii!!!
Ndoto tamu hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Da kubabenaWAFU wawili walikuwa wakipiga story huko...r.i.p
Mfu 1😱y
mfu 2😱yo
mfu 1:mwenzangu ulikufaje?
mfu2:story ndefu,kwa kifupi niliingia kwenye friji ikajiloki nikakosa hewa nikaganda nikafa!
mfu 1:duh inasikitisha
mfu 2:we ulikufaje?
mfu 1:mshtuko wa moyo
mfu 2;tobaaaa,chamno?
mfu 1;nilirud nyumban ghafla nikakuta viatu vya mwanaume sebuleni,na vile wife alivokuwa na waswas nikajua kuna mwanaume ndani,nikazunguka nyumba nzima chumbani choon bafuni jikoni,lakini ckumuona,nikapatwa na mshtuko wa moyo nikafa!
mfu 2:ayaaaaaa ungefungua friji tungekuwa hai wote leo!!