Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Ukiona Mzungu anamfungulia mke wake mlango wa gari ujue ni Mapenzi, Ukiona hili kwa Mbongo Ujue Mlango wa gari Mbovu. ..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nimemtongoza kwa kumwambia NAMPENDA, yeye anasema hanitaki.. Na mimi simtaki ila nampenda.. Ntaendlea kumtongoza mpaka pale atakaposema hanipendi ndyo ntamuacha.
 
kuna mke aliingiza mchepuko wake chumbani kipindi hiko mumewe yuko baa anapiga mitungi mana ni kawaida yake....sasa wakati jamaa anarudi zake usiku akiwa kalewa na anaimba imba vinyimbo fulani hivi.....yule mke mule ndani akashtuka na kumwambia mchepuko kuwa mumewe anarudi sasa...ule mchepuko ukaogopa na kutaka kujificha mahali mule ndani lakini kwa bahati mbaya hakukuwa na sehemu ya kujificha....yule mwanamke akamwambia ule mchepuko usiogope ulale tu kitandani hapo ujifunike shuka kwani mmewe akilewa huwa hajitambui...basi mchepuko ukafanya hivo ila ukawa unaogopa hatari ila ukalala hivohivo....sasa jamaa kaingia tu ndani akiwa kalewa akapitiliza moja kwa moja kulala na mke nae akafuata akalala sasa kitanda kimoja watu watatu wakawa wamelala.....duh kama dakika 10 hivi jamaa akashtuka yule mlevi akamwambia mke wake et mbona kitandani hapa kuna miguu sita yule mwanamke akajibu iko minne wewe tu na pombe zako hizo unaona iko sita.......jamaa akasema iko sita mbona.....mke akasema iko minne....wakaanza kubishana basi yule mwanamke akamwambia mmewe ashuke kitandani alafu ahesabu iko mingapi....jamaa akashuka akahesabu 1 2 3 4 akasema kweli mke wangu uko sahihi iko minne kweli....jamaa akarudi kitandani akaendelea kuuchapa usingizi......kumbe alisahau kuhesabu na miguu yake baada ya kushuka kitandani ye alihesabu ya mchepuko na ya mkewe tu......kweli pombe siyo chai
 
Ubachelor ni challenging sana,unawasha stove unasahau kiberiti kwa mfuko then time ya kutoa sadaka kwa Church inaanguka chinimy friend Ku_explain huwa huvuti fegi na unasemanga umeokoka ni kama ku advice maasai aache kufunga shuka..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
*Ukienda Kwa fundi nguo utakuta* *vitambaa kibao chini*
*Hata saluni pia kuna nywele nyingi chini*
*Lakini nenda Benk ata mia mbili hukuti yani ile peni pia imefungwa kamba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wehu ssna wale,mi nawaamini nawapa kamilion kangu wanitunzie,wao hata peni ya 200/ wamefunga kamba eti nisiibe jinga sana hawa watu wa bank
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…