Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

[emoji23][emoji38][emoji28][emoji44][emoji33]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
[emoji195][emoji195][emoji195][emoji195]
 
Itakuwa ndio niliyekutana nae pale kichochoroni. Akikuwa na chupa yake ya konyagi mkononi, nami nilikuwa na mzinga nimeshikilia akaniuliza: NAJIONA KWENYE KIOO AU.... mimi nikajibu: HATA MINI NASHANGAA KIOO KINAZUMGUMZA....
Sasa hivi ndo nagundua kweli sisi vyapombe hatuna akili nzuri
 
Pombe siyo uji...nadhan mmoja wenu atakuwa huyu baada ya kuachana[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Mende na panya hawana adabu, juzi nimeingia kabatini nikakuta boksa yangu moja sijaivaa muda mrefu, nikaona niitoe iliniivae, kuichunguza nikakuta wameifanya kama hivyo hapo juu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Washenzi sana, nitawapulizia moshi mzito wa bhangi hadi wakimbie wenyewe[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…