Kama una ushamba na wanawake fahamu haya

Kama una ushamba na wanawake fahamu haya

Kuna dem nimewai kukutana nae. Dem alikua amepanga anaishi mwenyewe. Baada ya kumtongoza na penzi kusogea sogea mbele, nikaenda geto kwa siku moja usiku, kweli nikamkuta mwenyewe, stori kadhaa, nikapiga nikasepa. Ikawa tabia, kwa wiki lazima niende mara mbili au tatu, mana mi sina geto naishi hom. Dem nimepiga sana na alikua ananielewa sana. Ila dakika za mwisho dem nashangaa siku moja ananipa onyo kwamba saivi usiwe unakuja bila taarifa maana mme wangu wamekuja. Niliishiwa nguvu. Ni kitu ambacho alikua hajawai kuniambia hata siku moja. Tangu siku hiyo sijawai kumjibu sms wala kupokea simu zake. MADEMU[emoji1430]
Hii tabia ya kwenda mageto ya wanawake acha mzee baba

Itaku cost
 
Asilimia kubwa (zaidi ya 95%) ya wanawake wa leo wana wanaume zaidi ya mmoja. Usidanganywe na uzuri, dini, kabila, upole nk. Hivyo fahamu kuwa, kila demu anayelika unayekutana naye;

✍️Kuna wanaume wapya anakutana nao wanaomuwazia mipango ya kumfunua sketi,

✍️Kuna wanaume wengine anajuana nao na wameshamuwekea mitego ya kumla kimasihara au kwa yeye kutaka, hivyo ukimuona tu ujue kuwa anaweza akaliwa baada ya robo saa, nusu saa, masaa kadhaa, kesho, keshokutwa, wiki ijayo nk

✍️Kuna wanaume wengine wameshakula, (lbda jana, juzi, wiki iliyopita nk) bado wanatetea nafasi tu.

✊ Tumia akili ya hali ya juu pale unapojiwekea nafasi kwa mwanamke yeyote ili uwe salama katika hii ligi.

Tumia kinga, uwe flexible kuachwa, usiwe na wivu, usimpe attention yako sana kiasi cha kuyasahau maendeleo yako katika nyanja zingine za maisha.

NOTE: Ni asilimia ndogo sana ya wanawake ( even below 5%) walio na mtu mmoja.
Bwashee umegongewa demu na wajuba?

Pole sana mkuu
 
Hih inanikumbusha tukio moja kuna manzi mmoja nilimuelewa sana bahati mbaya siku moja wakati kaja ghetto naichakata mbususu usiku wa saa sita akapiga jamaa wakati huo cm yake nilikuwa nimeishika nikaipokea kupokea alikuwa jamaa ambae nikagundua alikuwa jamaa yake, yule jamaa akataka kuwa mkali nikamtuliza mana hata mimi iliniuma kimtindo ila nilipo ona jamaa kaumia zaidi nikapata nguvu, kuona jamaa ameumia nikamwambia acha kujipa pressure ameamua mwenyewe kujifanya kama kiwanja unacheza wew muda huu then badae anakuja mwingine, demu kumbe alikuwa anasikia akanimaindi akataka kwenda kw jamaa lakin jamaa ndiyo akawa hamtaki kabisa na mwisho akajiona mjinga mwenyewe namim sikumuonyesha chochote kama nimemaindi nilikuwa normal tu.
Ilishaje
 
Kuna dem nimewai kukutana nae. Dem alikua amepanga anaishi mwenyewe. Baada ya kumtongoza na penzi kusogea sogea mbele, nikaenda geto kwa siku moja usiku, kweli nikamkuta mwenyewe, stori kadhaa, nikapiga nikasepa. Ikawa tabia, kwa wiki lazima niende mara mbili au tatu, mana mi sina geto naishi hom. Dem nimepiga sana na alikua ananielewa sana. Ila dakika za mwisho dem nashangaa siku moja ananipa onyo kwamba saivi usiwe unakuja bila taarifa maana mme wangu wamekuja. Niliishiwa nguvu. Ni kitu ambacho alikua hajawai kuniambia hata siku moja. Tangu siku hiyo sijawai kumjibu sms wala kupokea simu zake. MADEMU[emoji1430]
😂 😂 😂 😂 Uliyaepusha marinda yako mkuu
 
Kinachokuja kuumiza ni ile trust fake alioitengeneza kwako ili umuamini ni mgumu kugegedeka dah[emoji26] kumbe wenzio wanambuluza mpaka mitaroni we mixture kumgharamia.god save us
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Haya ndo mambo ya siku ya kukutana na Manzi wako unaingiza Dushe kunako unahisi kuna Dushe lilipita muda si mrefu[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783]
 
Demu alikuja kupaniki eti akaja ghetto akawa anatafuta sababu iwe chanzo chakutemana mana alishajijua yeye ni fala kwa anayofanya kila akitafuta sababu anatoka kapa akampigia jamaa wakazinguana na wakawa wanafokeana sana mwsho akamtakia jamaa eti " sikutaki" mm nikabaki kama sielew busy na simu yangu but silently nipo makini nae, ila nilimpotezea badaee anamaisha yake nami na yangu ila haishi kujikomba ila jamaa ndy aliniangusha alishindwa kuplay part yke tungemchezesha ndombolo
 
Back
Top Bottom