Kama una ushamba na wanawake fahamu haya

Hii tabia ya kwenda mageto ya wanawake acha mzee baba

Itaku cost
 
Bwashee umegongewa demu na wajuba?

Pole sana mkuu
 
Ilishaje
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Uliyaepusha marinda yako mkuu
 
Kinachokuja kuumiza ni ile trust fake alioitengeneza kwako ili umuamini ni mgumu kugegedeka dah[emoji26] kumbe wenzio wanambuluza mpaka mitaroni we mixture kumgharamia.god save us
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Haya ndo mambo ya siku ya kukutana na Manzi wako unaingiza Dushe kunako unahisi kuna Dushe lilipita muda si mrefu[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783]
 
Demu alikuja kupaniki eti akaja ghetto akawa anatafuta sababu iwe chanzo chakutemana mana alishajijua yeye ni fala kwa anayofanya kila akitafuta sababu anatoka kapa akampigia jamaa wakazinguana na wakawa wanafokeana sana mwsho akamtakia jamaa eti " sikutaki" mm nikabaki kama sielew busy na simu yangu but silently nipo makini nae, ila nilimpotezea badaee anamaisha yake nami na yangu ila haishi kujikomba ila jamaa ndy aliniangusha alishindwa kuplay part yke tungemchezesha ndombolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…