Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #61
Kuna watu wengine ukiwapa salamu huko njiani, hawaitikii kutokana na majukumu kuwazidiDaaaah aiseee na hizi tozo hao watoto wanne si utaongea peke yako njia nzima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu wengine ukiwapa salamu huko njiani, hawaitikii kutokana na majukumu kuwazidiDaaaah aiseee na hizi tozo hao watoto wanne si utaongea peke yako njia nzima.
Una wangapi mkuuNgoja waje...
Hapana mkuu, nina mke na wajukuu sasa; hao watakuwa ni mabaharia tuEquation x huyo kwe dp ndo wewe? a ndo upo dating site kule unatafta mupenzi wa rangi tofauti duniani?
Unaweza kukuta mtu ana watoto wanne mjini, wawili wa kike na wawili wa kiume halafu wanaishi nyumba ya vyumba vitatu!
Wewe ni mgeni hapa JF?
Kijana kama amemaliza elimu yeyote fukuza asikae nyumbani,ukiendekeza huruma utakuja kufukuzwa wewe..Kama wewe ni muajiriwa, na una watoto wanne nakuendelea, na unaishi mjini, fanya yafuatayo:-Kutokana na ukubwa wa familia, ni sawa na viwavi jeshi kuvamia gunia la mahindi -hela itakuwa haikai, inaingia kwa spidi ndogo, na kutoka kwa spidi kubwa.
Tafuta chanzo kingine cha mapato, iwe biashara, udalali n.k Tafuta shamba ulime, au nunua chakula kwa wingi pale kinapokuwa kimeshuka bei na uweke stock, ili kuweza kupata chakula cha kutosha; haya mambo ya kwenda supermarket kuhemea kila siku, hayakufai tena Kama huna marupu rupu mengine, angalia namna ya kuwekeza mikoani/vijijini Usiendelee kukaa na kijana hapo mjini akiwa jobless huku akiwa na zaidi ya miaka 26 Kama ulikuwa hujaweka kibanda, anza kupunguza vitu visivyokuwa vya muhimu, ufanye vitu vya msingi. Achana na mambo ya starehe kabisa
Asubuhi -kama utawapa chai nzuri, elfu 20 itakata
Mchana - kama umewapa chakula kizuri elfu 25 itakata
Usiku - Kama utawapa mlo mzuri elfu 25 itakata
Kwa siku utakuwa umetumia shilingi elfu 70, mara mwezi mmoja, utakuwa umetumia milioni 2 kwa chakula tu.
Wenzetu vijijini, wanaweza hayo kwa sababu, watawalisha viazi, makande n.k na vyote hivyo vinakuwa vimetoka shambani walipo lima.
Kwa leo ni hayo tu; njooni kwa mjadala.
Wengi tunakula ili kujaza matumbo tu; hatuli vile vitu 'standard', kuna mwingine atasema familia ya watoto 5, elfu tano inatosha kwa siku nzima.
na bado ninyumba ya kupangaUnaweza kukuta mtu ana watoto wanne mjini, wawili wa kike na wawili wa kiume halafu wanaishi nyumba ya vyumba vitatu!
Hatari unarudi home unakutana na stress kubabake 60 hutoboiKuna wakati unakutana na mzee barabarani amepigwa na jua la utosi, huku akiongea mwenyewe; kumbe changamoto anatakiwa familia ipate mkate wa kila siku
Ila hata wasipokukumbuka na wao karma lazima itambae nao na wao watazaa halafu watelekezweWakiwa wengi, wanakuwa kama mifugo; asubuhi wale, mchana wale, usiku wale, matibabu, mavazi..na uwahudumie kwa miaka 30, na bado hawajaanza kuzalisha; na hata wakizalisha wanaweza wasikukumbuke
Kwani walituma barua kuwa wanataka kuja duniani au ni nyegezi zako tuu,Kijana kama amemaliza elimu yeyote fukuza asikae nyumbani,ukiendekeza huruma utakuja kufukuzwa wewe..