Kama unaamini Samia anapendwa na watanzania, unaweza kueleza ni kwanini?

Asilimia 92 ya wahudhuriaji wa leo ni wanafunzi waliosombwa maeneo tofautitofauti katika wilaya za Ilemela, Nyamagana, Misungwi na Magu
 
Chawa wake ndiyo wanasema anapendwa lakini watu wengi hawana time naye.
 
Jiandikisheni kupiga kura msije sema tumeibiwa kurazetu,CCM Muda huu wako bize kuwaamasisha vijana wao wakajiandikeshe
 
Kupendwa tuna mpenda sema hana ushawishi kw watanzania hata kama atakuwa mgombea ccm itapita kwa kutumia nguvu kubwa sana kiasi wakimaliza uchaguzi hazina itakuwa imekauka. Hana ushawishi autuseme hakubaliki na walio wengi sema chawa ndio wanampa moto ambao kiukweli sio kweli. Mm nadhani Biteko au Majaliwa mmoja wapo anaweza kuwa kipenzi cha watanzania na uchaguz ungependeza sana
Kuna watu wanadai kuwa Samia Suluhu Hassan "anapendwa sana" na watanzania.

Kama kweli Samia anapendwa sana kiasi hicho na watanzania. Unaweza kusema ni kitu gani hasa alichofanya mpaka watanzania wampen
 
Kiongozi akinyonga haki za wengine ni ngumu kukubalika lkn akitenda haki kwa wote Jamii humkubali bila kuuliza JF. Ana nafasi ya kuamua akubalike au asikubalike kwa muda uliopo. KPI yake ni uchaguzi wa serikali za mitaa!!

Je ni kushiriki uchaguzi au kupora uchaguzi?
 
Kuna watu wanadai kuwa Samia Suluhu Hassan "anapendwa sana" na watanzania.

Kama kweli Samia anapendwa sana kiasi hicho na watanzania. Unaweza kusema ni kitu gani hasa alichofanya mpaka watanzania wampende?
ni kwasababu ya nia na dhamira ya wazi na njema kwa waTanzania, kuliunganisha taifa na kuwaleta waTanzania pamoja, kufaidi na kufurahia matunda ya amani, umoja na utulivu wa taifa lao kiuchumi, kisiasa na kijamii...

zaidi sana Dr. Samia Suluhu Hassan anakubalika sana kwa kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu na kumfanya awe miongini mwa maraisi wanawake wanaopendwa zaid, wanaominika na kuheshimika zaidi kitaifa na kimataifa ulimwenguni
 
Kwa mfano?
Kabla hamjapata ukata na chama kuishiwa pesa si mlizindua mikutano yenu na mkawa mnafanya.kwa sasa hamuwezi kufanya kwa sababu hamna hela , migogoro imetawala pamoja na kupuuzwa na watanzania ambao wanaiona CHADEMA kama genge la wasaka Tonge na wachumia tumbo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…