Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
-
- #41
Hiyo Barua ya OCD wa mpanda umeiona?Kabla hamjapata ukata na chama kuishiwa pesa si mlizindua mikutano yenu na mkawa mnafanya.kwa sasa hamuwezi kufanya kwa sababu hamna hela , migogoro imetawala pamoja na kupuuzwa na watanzania ambao wanaiona CHADEMA kama genge la wasaka Tonge na wachumia tumbo tu
Hii hoja haujaibalansi. Ungebalansi hivi; kama "anapendwa" kwa lipi na kama "hapendwi" kwa lipi? Hapo tunaosema "anapendwa" tungetiririka hadi ikafurahi!Kuna watu wanadai kuwa Samia Suluhu Hassan "anapendwa sana" na watanzania.
Kama kweli Samia anapendwa sana kiasi hicho na watanzania. Unaweza kusema ni kitu gani hasa alichofanya mpaka watanzania wampende?
Hapana. Hapa nataka wanaosema anapendwa.Hii hoja haujaibalansi. Ungebalansi hivi; kama "anapendwa" kwa lipi na kama "hapendwi" kwa lipi? Hapo tunaosema "anapendwa" tungetiririka hadi ikafurahi!
And that's unbalanced, unfair, uncouth, uncultured and immaterial!Hapana. Hapa nataka wanaosema anapendwa.
Niletee niione maana kwa uzushi na uongo hamjambo.Hiyo Barua ya OCD wa mpanda umeiona?
Uchaguzi naona mnagawa maji bure....maji offer
Kuna watu wanadai kuwa Samia Suluhu Hassan "anapendwa sana" na watanzania.
Kama kweli Samia anapendwa sana kiasi hicho na watanzania. Unaweza kusema ni kitu gani hasa alichofanya mpaka watanzania wampende?
Ndio maana nasema CHADEMA Ninyi hamjitambui .sasa mbona barua ipo wazi kabisa na imetoa sababu .lakini pia inaonyesha CHADEMA walishiriki katika kikao cha wadau wa uchaguzi na wakakubaliana mambo ambayo CHADEMA waliyaridhia halafu baadaye wanajifanya kuleta ukinyonga wao kama kawaida yenu.Uongo kuwa OCD wa mpanda hajaandika barua ya kuzuia CHADEMA kufanya mikutano?
View attachment 3124832
Hiyo Barua umeiona?
Naona gari la shirika la uma(SU)Ndio maana nasema CHADEMA Ninyi hamjitambui .sasa mbona barua ipo wazi kabisa na imetoa sababu .lakini pia inaonyesha CHADEMA walishiriki katika kikao cha wadau wa uchaguzi na wakakubaliana mambo ambayo CHADEMA waliyaridhia halafu baadaye wanajifanya kuleta ukinyonga wao kama kawaida yenu.
Kwa sababu watanzania ni wajingaKuna watu wanadai kuwa Samia Suluhu Hassan "anapendwa sana" na watanzania.
Kama kweli Samia anapendwa sana kiasi hicho na watanzania. Unaweza kusema ni kitu gani hasa alichofanya mpaka watanzania wampende?
JidanganyeNamuonea huruma sana... kwa haya mambo ya utekaji na hasira za watu. Uchaguzi wa 2025 utakuwa brutal kwake
Umesoma kilumumba lumumba. Hizo sababu hazimhusu samia na mikutano yake?...sasa mbona barua ipo wazi kabisa na imetoa sababu .
CHADEMA haikushiriki kikao cha kuzuia mikutano bali maandalizi ya uchaguzi. Huyo OCD kanukuu mambo ya kitaifa na kutoa ndiyo sababu ya kuzuia mikutano ya CHADEMA.lakini pia inaonyesha CHADEMA walishiriki katika kikao cha wadau wa uchaguzi na wakakubaliana mambo ambayo CHADEMA waliyaridhia halafu baadaye wanajifanya kuleta ukinyonga wao kama kawaida yenu.
Ameshasema wazi kabisa kuwa CHADEMA walishiriki kikao na kukubaliana mambo kama hayo ya kusitishwa masuala ya mikutanoUmesoma kilumumba lumumba. Hizo sababu hazimhusu samia na mikutano yake?
CHADEMA haikushiriki kikao cha kuzuia mikutano bali maandalizi ya uchaguzi. Huyo OCD kanukuu mambo ya kitaifa na kutoa ndiyo sababu ya kuzuia mikutano ya CHADEMA.
Hakuna mahali pameandikwa" walikubaliana" hiyo ya kukubaliana ni uzushi wako ambayo ni tabia ya wana CCM wengi.Ameshasema wazi kabisa kuwa CHADEMA walishiriki kikao na kukubaliana mambo kama hayo ya kusitishwa masuala ya mikutano
Nia njema gani mzee wakati anauza rasilimali za taifa na kuua watu anaowaongoza.ni kwasababu ya nia na dhamira ya wazi na njema kwa waTanzania, kuliunganisha taifa na kuwaleta waTanzania pamoja, kufaidi na kufurahia matunda ya amani, umoja na utulivu wa taifa lao kiuchumi, kisiasa na kijamii...
zaidi sana Dr. Samia Suluhu Hassan anakubalika sana kwa kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu na kumfanya awe miongini mwa maraisi wanawake wanaopendwa zaid, wanaominika na kuheshimika zaidi kitaifa na kimataifa ulimwenguni
Mkuu,Kuna watu wanadai kuwa Samia Suluhu Hassan "anapendwa sana" na watanzania.
Kama kweli Samia anapendwa sana kiasi hicho na watanzania. Unaweza kusema ni kitu gani hasa alichofanya mpaka watanzania wampende?
Tanzabia ni ya waTanzania wote na siyo ya watu wa eneo fulani pekee,Nia njema gani mzee wakati anauliza rasilimali za taifa na kuua watu anaowaongoza.
Waulize watu wa Ngorongoro na Loliondo kama wana furaha na anayoyafanya.
Tofauti ya Tanzania na Zanzibar ni nini?Tanzabia ni ya waTanzania wote na siyo ya watu wa eneo fulani pekee...