nadhani umoja, amani na utulivu wa waTanzania ni imara zaidi ndio kwasababu hatua na malengo ya taifa kimaendeleo kijamii, kisiasa na kiuchumi yanafikiwa kirahisi zaidi.Tofauti ya Tanzania ya Zanzibar ni nini?
Anapendwa na mafisadi pekeeKuna watu wanadai kuwa Samia Suluhu Hassan "anapendwa sana" na watanzania.
Kama kweli Samia anapendwa sana kiasi hicho na watanzania. Unaweza kusema ni kitu gani hasa alichofanya mpaka watanzania wampende?
Hayo maendeleo unayosema kuwa yanapatikana kirahisi unayapimaje?nadhani umoja, amani na utulivu wa waTanzania ni imara zaidi ndio kwasababu hatua na malengo ya taifa kimaendeleo kijamii, kisiasa na kiuchumi yanafikiwa kirahisi zaidi.
Huyo dada hata hela ya kula hanaHayo maendeleo unayosema kuwa yanapatikana kirahisi unayapimaje?
panda sgr hata kutoka dar mpala mpaka moro tu utayapima vizuri sana maendeleo hayo. lakini ukiyimia malalamiko ya chadema utaweweseka tyuuuHayo maendeleo unayosema kuwa yanapatikana kirahisi unayapimaje?
Sijui ni kwa nini watetezi wa CCM huleta hoja za utetezi kwa ndani kukiwa na aina fulani hivi ya ushamba. Watanzania tupo milioni zaidi ya 60, wote hao ili waone maendeleo ya nchi yetu wanatakiwa wapande SGR?panda sgr hata kutoka dar mpala mpaka moro tu utayapima vizuri sana maendeleo hayo. lakini ukiyimia malalamiko ya chadema utaweweseka tyuuu
Anaoendwa ndio ila sio na watu wote au wengi.Kuna watu wanadai kuwa Samia Suluhu Hassan "anapendwa sana" na watanzania.
Kama kweli Samia anapendwa sana kiasi hicho na watanzania. Unaweza kusema ni kitu gani hasa alichofanya mpaka watanzania wampende?
Maelfu ya ajira kwa takwimu gani? Yaani ajira zimetolewa ngapi na zilitakiwa zitolewe ngapi?Anaoendwa ndio ila sio na watu wote au wengi.
Lakini Kwa watu waelewa she is favorite Kwa sababu delivery yake kwenye masuala kadha wa kadha ni extra ordinary eg maelfu ya Ajira ambayo amekuwa akimwaga tangu alivyoshika kiti.
π π aisepanda sgr hata kutoka dar mpala mpaka moro tu utayapima vizuri sana maendeleo hayo. lakini ukiyimia malalamiko ya chadema utaweweseka tyuuu
ASKOFU AMVUNJA MBAVU RAIS SAMIA - ''UNASEMA HATUJAENDELEA - KAMUULIZE MAMA YAKO - ATAKUHADITHIA''...
View: https://youtu.be/e1m14OsKF0w?si=kGOqQ8-ORyNVXjRO
Kwa takwimu za Serikali,kwani wewe Huwa huzioni zinapotangazwa?Maelfu ya ajira kwa takwimu gani? Yaani ajira zimetolewa ngapi na zilitakiwa zitolewe ngapi?
makamanda wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wakiinjoy maendeleo kwa kutumia kwa mara ya kwanza usafiri wa Treni ya Mwendokasi (SGR) wakati wa safari yao kutoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma hivi karibuni wakati kuna mwanachama wao ana mbwelambela tu huku jukwaani eti hakuna maendeleoSijui ni kwa nini watetezi wa CCM huleta hoja za utetezi kwa ndani kukiwa na aina fulani hivi ya ushamba. Watanzania tupo milioni zaidi ya 60, wote hao ili waone maendeleo ya nchi yetu wanatakiwa wapande SGR?
#mitano TenaKuna watu wanadai kuwa Samia Suluhu Hassan "anapendwa sana" na watanzania.
Kama kweli Samia anapendwa sana kiasi hicho na watanzania. Unaweza kusema ni kitu gani hasa alichofanya mpaka watanzania wampende?
Hapa maelezo si ya kisayansi bali ni ya ki-CCM. Ajira hazipangwi kutolewa bali hutolewa kutokana na uhitaji wa ajira kwa vijana wenye sifa za kuajiriwa.Kwa takwimu za Serikali,kwani wewe Huwa huzioni zinapotangazwa?
Zilizotolewa ndio hizo hizo zilizopangwa.
Kwani zitatolewaje Ajira ambazo hazihitajiki au kupangwa?Hapa maelezo si ya kisayansi bali ni ya ki-CCM. Ajira hazipangwi kutolewa bali hutolewa kutokana na uhitaji wa ajira kwa vijana wenye sifa za kuajiriwa.
makamanda wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wakiinjoy maendeleo kwa kutumia kwa mara ya kwanza usafiri wa Treni ya Mwendokasi (SGR) wakati wa safari yao kutoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma hivi karibuni wakati kuna mwanachama wao ana mbwelambela tu huku jukwaani eti hakuna maendeleo
Ni mjinga pekee anaweza mpenda kiongoz wa namna ileKuna watu wanadai kuwa Samia Suluhu Hassan "anapendwa sana" na watanzania.
Kama kweli Samia anapendwa sana kiasi hicho na watanzania. Unaweza kusema ni kitu gani hasa alichofanya mpaka watanzania wampende?
Inachekesha sana.... Ajira ni suala la kisayansi. Lazima uwe una takwimu halisi ya wenye sifa ya kuajiriwa na ajira zinazotolewa.Kwani zitatolewaje Ajira ambazo hazihitajiki au kupangwa?
Unakubali kwamba Samia amekuwa akimwaga maelfu ya Ajira?
Takwimu zote zipo sema wewe nyumbu ndio hujui.Inachekesha sana.... Ajira ni suala la kisayansi. Lazima uwe una takwimu halisi ya wenye sifa ya kuajiriwa na ajira zinazotolewa.
Ukitaka kujua hatujaendelea, hata takwimu za watanzania wasio na ajira hatuna. Nyie kazi yenu kusimanga wana CHADEMA waliopanda SGR.
CCM wakikutana na wana CHADEMA huwa wanakuwa kama limbukeni hiviππ