Dume Jembe
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 707
- 774
Ya kale yamepita tazama yamekuwa mapyaKwani nilikuwa nani kabla?
Wewe njoo nikuoe tutangaze mema
Ya kale yamepita tazama yamekuwa mapyaKwani nilikuwa nani kabla?
Ukiwa karibu yangu ukinifariji na kunitia moyo hakika mema yako mbele yetuYachuchumilie yaliyo mbele; kaza mwendo, uifikilie mede ya thawabu
Hiyo ni tamaduni za wakoloni waliowaletea biblia ndo maana wakitoka hapo wanavunja kiapo na hakuna linalowapata, kwa hiyo ni utamaduni tu.Hujawahi kujiuliza kwanini viongozi huwa wanashika Biblia(iliyojaa vifungu) siku ya kuapishwa kwao?
Wewe unafikiri kuna jambo ambalo utaeleza kwa uelewa wako ambalo halijatajwa katika Biblia?
Yesu mwenyewe alituachia kielelezo. Mara nyingi katika kuongea kwake ali-quote vifungu.
Ungesema YAHSHUA hapo sawaMimi nimesema ali-quote vifungu, sijasema alisoma Biblia. Halafu mheshimu Yesu. Unapoandika jina la Yesu anza na herufi kubwa.
Ndo maana nimesema VIABila kuanzia kwa Yesu huwezi fika kwa baba yake hata uhonge dunia...
Yesu ndio njia ya kweli na ya uzima
Flp 2:9-11 SUVUngesema YAHSHUA hapo sawa
Hiyo Katunga mzungu kawadanganye wadanganyika hizo level nshapita kitambo afu hivyo vifungu ndo vinanifanya nikuone sijui una IQ kiwango ganiFlp 2:9-11 SUV
Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina; ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba.
Jaribu kukemea pepo kwa jina lako Smart Contract uone kama mapepo yatatoka.Hiyo Katunga mzungu kawadanganye wadanganyika hizo level nshapita kitambo afu hivyo vifungu ndo vinanifanya nikuone sijui una IQ kiwango gani
Mi na we nani yupo gizani, nimezaliwa na kukulia kwenye ukristo, ila baada ya kuongeza maarifa nimeujua ukweli.Jaribu kukemea pepo kwa jina lako Smart Contract uone kama mapepo yatatoka.
Wewe unasema hivyo vifungu katunga mzungu kwakuwa bado uko gizani. Mimi nikitamka Jina la Yesu mapepo yanakimbia mbioooo.