No mengine sio kweli nduguUmenena yaliyo kweli
Kwani umeongelea uhakika hapa?Una hakika gani kwamba Mungu ndiye aliyewajibu
Una uhakika gani kuwa hayo ukiyaacha utabarikiwa?Watu wengi wanapopatwa na shida, magonjwa na majanga, huamua kufunga na kuomba kwa muda mrefu, wakitarajia kuwa Mungu atawatatulia shida zao. Jambo wasilolijua wengi ni kwamba ili Mungu atupatie haja zetu tunapomuomba, ni lazima tukidhi vigezo na masharti aliyoyaweka.
Kama unafanya mambo yafuatayo, hata ukifunga na kuomba kwa siku 7, siku 21 au siku 40, unapoteza muda wako tu, Mungu hawezi kukupa unayotaka:
1. Kama una dhambi moyoni na hutaki kutubu
Zaburi 66:18
"Kama ningaliwaza maovu moyoni mwangu, Bwana asingesikia.”
2. Kama matendo yako ni ya dhambi
Isaya 1:15-17
“Mnapoinua mikono yenu kuomba nitauficha uso wangu nisiwaone. Hata mkiomba kwa wingi sitawasikia...”
3. Kama una uhusiano mbaya na mume au mke wako
1 Petro 3:7
“... ili maombi yenu yasizuiliwe.”
Mwanandoa asiyemheshimu mwenzake, maombi yake yanazuiliwa.
4. Kama unafunga na kuomba ili watu wakuone na kukusifu
Mathayo 6:5-6
“Usiwe kama wanafiki... kwa maana wamekwisha kupata thawabu yao.”
5. Kama hutaki kujinyenyekeza na kuacha njia zako mbaya
2 Mambo ya Nyakati 7:14
“... watu wangu, wakijinyenyekeza, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao.”
6. Kama unadharau Neno la Mungu na hutaki kulitii
Methali 28:9
“Yeye azibaye sikio lake asisikie sheria, hata sala yake ni chukizo.”
Maombi ya mtu asiyejali Neno la Mungu hayakubaliki.
7. Kama unaomba kwa ajili ya tamaa zako binafsi
Yakobo 4:3
“Mnaomba wala hampati, kwa sababu mnaomba vibaya, ili mvitumie kwa tamaa zenu.”
8. Kama unawaonea maskini
Mithali 21:13
"Azibaye masikio yake asisikie kilio cha maskini, yeye naye atalia, lakini hatasikiwa..”
9. Kama huombi kwa Jina la Yesu, unapoteza muda wako bure.
Yn 14:13-14
"Nanyi mkiomba lo lote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana..."
Ili tupate majibu ya maombi yetu, ni lazima tuombe kwa Jina la Yesu tu.
10. Kama huyatendi maagizo yote ya Mungu
Luka 6:46-49
"Na kwa nini mnaniita, Bwana, Bwana, lakini hamyatendi nisemayo?"
Ni muhimu tuwe na uhakika kwamba majibu yametoka kwa Mungu na sio mungu wa herufi ndogo.Kwani umeongelea uhakika hapa?
Hata wanaoabudu ng'ombe, miti na milima huomba na kusema Mungu amewajibu!!Issue ni kwamba wanajibiwa bila kutumia no 9
Mimi nimezungumzia vigezo na masharti ya kujibiwa na Mungu sio miungu. Hiyo miungu mingine ni chukizo kwa BWANAKanuni za kujibiwa maombi nazojua ni hizi kama zilivyotajwa na Mtibeli, kwa sasa Dar es salaam:
Robert Heriel Mtibeli
...
Kanuni za kuomba Miungu na kujibiwa
Hiyo inaelewekaKutubu ni muhimu. Lakini usiishie hapo. Zaa matunda yanayoendana na kutubu kwako
Mt 3:8-10
"Basi zaeni matunda yapasayo toba"
Amina [emoji1488]Mimi nimezungumzia vigezo na masharti ya kujibiwa na Mungu sio miungu. Hiyo miungu mingine ni chukizo kwa BWANA
Kutoka 20:3-17
“Usiwe na miungu mingine ila mimi..."
Au basi ,ngoja nisiguse Imani za watuNi muhimu tuwe na uhakika kwamba majibu yametoka kwa Mungu na sio mungu wa herufi ndogo.
Hata wanaoabudu ng'ombe, miti na milima huomba na kusema Mungu amewajibu!!
Mimi nimezungumzia kujibiwa na Mungu ni lazima no 9 kama Maandiko yalivyonena.
Unatibu Kwa Mungu kwanza via YesuNatubu kwa Yesu kwanza alafu ndio nafunga... Maisha yana chochoro nyingi
Siku zote Mungu anataka kutupatia haja zetu. Tatizo letu ni kutokuzingatia vigezo na masharti aliyotuwekea.Mungu hakupi kama hataki. Hata ufanye yote yanayompendeza akikunyima kakunyima,
Siku hizi umekuwa mwinjilistWatu wengi wanapopatwa na shida, magonjwa na majanga, huamua kufunga na kuomba kwa muda mrefu, wakitarajia kuwa Mungu atawatatulia shida zao. Jambo wasilolijua wengi ni kwamba ili Mungu atupatie haja zetu tunapomuomba, ni lazima tukidhi vigezo na masharti aliyoyaweka.
Kama unafanya mambo yafuatayo, hata ukifunga na kuomba kwa siku 7, siku 21 au siku 40, unapoteza muda wako tu, Mungu hawezi kukupa unayotaka:
1. Kama una dhambi moyoni na hutaki kutubu
Zaburi 66:18
"Kama ningaliwaza maovu moyoni mwangu, Bwana asingesikia.”
2. Kama matendo yako ni ya dhambi
Isaya 1:15-17
“Mnapoinua mikono yenu kuomba nitauficha uso wangu nisiwaone. Hata mkiomba kwa wingi sitawasikia...”
3. Kama una uhusiano mbaya na mume au mke wako
1 Petro 3:7
“... ili maombi yenu yasizuiliwe.”
Mwanandoa asiyemheshimu mwenzake, maombi yake yanazuiliwa.
4. Kama unafunga na kuomba ili watu wakuone na kukusifu
Mathayo 6:5-6
“Usiwe kama wanafiki... kwa maana wamekwisha kupata thawabu yao.”
5. Kama hutaki kujinyenyekeza na kuacha njia zako mbaya
2 Mambo ya Nyakati 7:14
“... watu wangu, wakijinyenyekeza, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao.”
6. Kama unadharau Neno la Mungu na hutaki kulitii
Methali 28:9
“Yeye azibaye sikio lake asisikie sheria, hata sala yake ni chukizo.”
Maombi ya mtu asiyejali Neno la Mungu hayakubaliki.
7. Kama unaomba kwa ajili ya tamaa zako binafsi
Yakobo 4:3
“Mnaomba wala hampati, kwa sababu mnaomba vibaya, ili mvitumie kwa tamaa zenu.”
8. Kama unawaonea maskini
Mithali 21:13
"Azibaye masikio yake asisikie kilio cha maskini, yeye naye atalia, lakini hatasikiwa..”
9. Kama huombi kwa Jina la Yesu, unapoteza muda wako bure.
Yn 14:13-14
"Nanyi mkiomba lo lote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana..."
Ili tupate majibu ya maombi yetu, ni lazima tuombe kwa Jina la Yesu tu.
10. Kama huyatendi maagizo yote ya Mungu
Luka 6:46-49
"Na kwa nini mnaniita, Bwana, Bwana, lakini hamyatendi nisemayo?"
Bila kuanzia kwa Yesu huwezi fika kwa baba yake hata uhonge dunia...Unatibu Kwa Mungu kwanza via Yesu
Amen Mtumishi 🙏🏾🙏🏾Watu wengi wanapopatwa na shida, magonjwa na majanga, huamua kufunga na kuomba kwa muda mrefu, wakitarajia kuwa Mungu atawatatulia shida zao. Jambo wasilolijua wengi ni kwamba ili Mungu atupatie haja zetu tunapomuomba, ni lazima tukidhi vigezo na masharti aliyoyaweka.