Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

safi sana inaonyesha una haso sana
 
Haina ukweli hii...

Unaweza ukawa na mtaji mdogo, ukawa unafanya biashara yenye bidhaa iliyo na uhitaji mkubwa na ukaingiza faida inayorudisha mtaji kwa siku...

Ipo mifano mingi tu sina muda wa kuitaja Kenzpuls
Mkuu kama huna muda wa kutaja huu wa kuandika umeupata wapi?
 

Mbona husemi toroli moja ni sh ngapi kutengeneza?
 
chambua post by Post nimeshasema mbona

huwa sirudiii majibu Dina

si mimi tu kuna mwingine nae alishasema kuhusu hilo

Put ur effort on reading page by page Utakutana na

mchanganuo wa jinsi ya kufanya....

Nishaonaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe post zako
 
Huu Uzi nimeuona wakati sahihi, nilikuwa nahitaji sana ABC za hii biashara.
 
Je ukiwa na sehemu ya massage inakuaje
 
Kwahiyo saa hiv una danga ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…