1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
mkeka wa kubet?Kusuka mkeka mkuu. Mie nimeamua kufanya hiyo kwa heshima zote. Onyo: Usicomplicate options. Weka simpo lakini weka pesa ya maana. Ikiwezeka cheza single single.
Wasomi ndio maana biashara zinawashinda mna Mambo mengi km unga wa ngano .- vyumba vina vyoo ndani au vyoo vipo nje?
- ulitumia kiasi gani kuweka furnitures kama kitanda, viti, meza, TV, feni, neti na linen (mashuka, foronya)
- gharama ya umeme, maji, kufua mashuka, Kodi za serikali, mshahara ni kiasi gani kwa mwezi?
- unajaza vyumba vingapi (wastani) kwa siku?
nadhani huyo ni uvivu tuHivi mnachokaje jaman km unaingiza hela??.. Mie nimelazwaga mara 2...ukweli nilitoka kwa kushinikiza nikakakikisha namaliza dose na mlo mzuri...nikarudi kbaruani kama kawa..hapana jaman hela iheshimiwe!
Mm hapana aisee
upo sahihi mkuu, mimi pia nafanya hizi shughuli. Huwa sikosi M 1.2Hapo chini gawanya kwa siku 31 za August. Halafu hiyo ofisi moja ziko tatu hizo zenye performance inayo karibiana. Uzuri ni kwamba hizi wala hazina kazi nimechanganya na stationeries zinaingiza zaidi kuliko hizo kila moja.View attachment 1247447
Hakuna chenye faida kama Guest house.Tatizo ni mtaji tu...
Nimebadilisha nyumba ya kupanga (ya urithi)ikawa guest house.Ilikua na room 12.Mbovu mbovu tu.kwa siku nilikua napata zaidi ya 90k.Saiv nimekarabati naingiza zaidi.Nina mpango wa kujenga ingine
hiyo faida laki na nusu ulikuwa unaipata kwa siku au mwezi? kama ni kwa siku, ulifanya uzembe na uvivu kuiachaNina mpango wa kufanya ivyo nikirudi tena kwenye hiyo biashara..ila hongera kwa kupambana dear.
How do you make it mkuu?... I wish sana kuwa na hii business....ila nina tigo pesa na mpesa tu....ila commision yake ni ndogo sana mkuu....tatizo nipo sehemu ambayo ni population less....dah hongera boss...sometimes nikiona kuna wanaofanikiwa napata moyo kwamba kama na ninyi mmeweza so hata kwangu inawezekana...mkuu naomba hata nipm your secrets of how you make it boss...please!Hapo chini gawanya kwa siku 31 za August. Halafu hiyo ofisi moja ziko tatu hizo zenye performance inayo karibiana. Uzuri ni kwamba hizi wala hazina kazi nimechanganya na stationeries zinaingiza zaidi kuliko hizo kila moja.View attachment 1247447
hawapendi kuwa wasiri mkuu, kusema ulitoa kafara flani sio jambo rahis kulitangazaHakuna Mbongo Wa Kukushirikisha Kitu Kama Hicho.
Mbongo Ni Mtu Mwenye Siri Sana Kwa Mambo Yanayompa Faida.
Ni Wasiri, Wabinafsi Na Wanafiki Kupindukia.
Biashara naikubali sana hii ngoja nijikusanye mtaji tuHapo chini gawanya kwa siku 31 za August. Halafu hiyo ofisi moja ziko tatu hizo zenye performance inayo karibiana. Uzuri ni kwamba hizi wala hazina kazi nimechanganya na stationeries zinaingiza zaidi kuliko hizo kila moja.View attachment 1247447
Sio rahis mkuu, kuna jamaa angu hapo sidhani kama hata huwa anafikisha 10 per daykama unataka biashara ya umachinga hiyo 30 kwa day inawezakana kaka tafuta chance karikoo mtaa wa congo mtaa wa msimbazi or agreey ukipata chance maana ziauzwa au kukodi mule barabarani.alafu uwe ata laki 8 mpaka m2 hiyo 30 unapata mapema sana biashara zipo nyingi kwenda kuchukua kwa wachina unatafuta kijana unamlipa kwa day.kukodi mule road inategemea kuna spece inategemea na location wanaanzia kwa siku 5000-15000.biashara mfano viatu all star au simpe zozote ukosi faida 2000 kwa pea moja ukichukua kwa mchina kuna jeans mashati t-shet au kama unajiweza kata mabegi ya mtumba.vijana wengi wa karikoo hilo eneo washajenga au wanajenga au utakuta anacho kiwanja ula ukiwaona utawaona kama wasio na kitu.unaweza ukafanya resech utaamini
Nakubaliana na wewe kabisa mkuu. Halafu gesti yenyewe isiwe sehemu za kinokonoko,iwe na privacy ya kutosha.Hakuna chenye faida kama Guest house.Tatizo ni mtaji tu...
Nimebadilisha nyumba ya kupanga (ya urithi)ikawa guest house.Ilikua na room 12.Mbovu mbovu tu.kwa siku nilikua napata zaidi ya 90k.Saiv nimekarabati naingiza zaidi.Nina mpango wa kujenga ingine
Hicho tu ndo kinawacost watu....nna shost amefirisika sn ss hv...namwambia oya toka dar njoo mkoani anakuambia manengelo siwez toka huku..anasema anakomaa na jiji..vocha tu nwdys inamshinda...unabak kumshanga ss unafanya nn huko!yote hyo ni hofu na woga...!nitaonekanaje....!kitu ambacho ni mbaya sna!...
Ni kweli,Biashara nyngne inayolipa ni sales, nunua pikipiki yako then chukua Bidhaa kutoka kwenye maduka ya jumla zungusha mtaani, 30k faster tu, kama mtaji unaruhusu nunua kirikuu minimum profit apo 50k, ushawahi kujiuliza why hiz selling companies inakikirikuu tu na mtaji usiozidi 10m lakn wanamlipa salesperson 400k, wana HR, accountants,managers, madepartments kibao na wanawalipa handsomely, they pay bills kama rent kwa mamilion ya hela kwa hicho hicho kikirikuu?
Mbona maelezo kama yanajitosheleza boss labda sauti iko chini tuMkuu naomba ufafanue kidogo hii..
Nmemaanisha consuming products mkuu kama pipi, dawa za meno, mafuta ya kupaka, nido nk..Ni kweli,
Ila unahitaji kupata taarifa za haraka.
Unaweza kufika kariakoo ukakuta mashati ya Jumla yamemwagwa na yanauzwa kwa Bei ya Elfu tano.
Ukiyachukua na kuyapeleka mtaani unayauza kwa tsh 10 na yananunuliwa kwa haraka Sana.
Mashati ilikuwa ni mfano tu.
Usikate tamaa mkuu, mpaka hapo ushajua tatizo lako, fight kupata location sahihi. Duniani hakuna biashara mbaya, ubaya wa biashara ni eneo tu.How do you make it mkuu?... I wish sana kuwa na hii business....ila nina tigo pesa na mpesa tu....ila commision yake ni ndogo sana mkuu....tatizo nipo sehemu ambayo ni population less....dah hongera boss...sometimes nikiona kuna wanaofanikiwa napata moyo kwamba kama na ninyi mmeweza so hata kwangu inawezekana...mkuu naomba hata nipm your secrets of how you make it boss...please!