Hii awamu biashara imekuwa ngumu Sana..Kama huku tunakotegemea uvuvi yaan raia hawana hela Kama zaman..DAMN
Yani faida yote iyo uliwezaje kichoka na kuacha,Miezi miwili iliyopita nilikua najihusisha na biashara ya vipodozi vya usoni vya wanawake..nilikua natumia mtaji wa tsh 30000 kwa siku nilikua naweza kupata wateja si chini ya 5 hadi 6 na kila bidhaa nilikua nauza 30000.. kwahiyo nilikua napata hadi laki na nusu faida..ila tatizo ilikua inachosha Sana na nilivyopumzika ndiyo nikapumzika mazima.
Je mtaji kamili ni shilingi ngapi?Hapo chini gawanya kwa siku 31 za August. Halafu hiyo ofisi moja ziko tatu hizo zenye performance inayo karibiana. Uzuri ni kwamba hizi wala hazina kazi nimechanganya na stationeries zinaingiza zaidi kuliko hizo kila moja.View attachment 1247447
wakomeshe mama sura ziwameremete wawe kama makaratasiNauza mkorogo 😂😂 vifaa vinanigarimu 50000 natoa kopo 10, kila kopo nauza 25000. Kwa siku naweza kuuza kopo mbili mpk nne. Wateja Facebook na Instagram. Na business nyingine ila hii ndio inanipa faida kubwa.
yna2 we mama mfatilize tu Beef Lasagna anawapiga tu msasa kina dada na kina mamaNina mpango wa kufanya ivyo nikirudi tena kwenye hiyo biashara..ila hongera kwa kupambana dear.
Na mtu akishajiuliza hivi vijiswali afanyi iyo biashara hapo ndo wasomi wanapokwamaWasomi ndio maana biashara zinawashinda mna Mambo mengi km unga wa ngano .
Hiyo ya mikokoteni iko vizuri zaidi
Hivi mkokoteni mmoja unaweza kugharimu pesa kiasi gani mpaka kukamilika(matengenezo)
Biashara zenye uwezekano wa kupata faida ya 30K kwa siku :
- Tengeneza mikokoteni au vitoroli vya chuma 10 Kisha uwe unakodisha (Eg: Tsh 4,000 kwa siku kila mmoja) hasa kwa vijana wanaobeba mizigo ya wateja karibu na Hardwares shops au wanapofyayua matofali.
Inawezekana ni biashara haramu ila kwa mtaji wa 60m inawezekana kabisa kukunja 300,000 kwa siku kwa biashara ambayo sio haramu.basi hiyo ni biashara haramu tu
kusafiri hamna safari ya siku 1 tena kwa loriBiashara ya kusafirisha Mazao /nafaka kwenda mikoa ambayo bei ya mazao hayo inaleta tija tofauti na eneo ulilopo
Hapa Panatosha Ndugu, Ila Kama Ni Sensitive Njoo Tu PM.Mkuu naomba nije PM tutete jambo
Usiweke Glocery, Hako Ka Kaunta Nako Weka Chumba Kingine.Hii kitu imenifikirisha sana mkuu, nina ka plot Dar. pembeni ya mji, nimewaza idea ya kujenga room sita kwa kuanzia kama guest rooms afu mbele nitengeneze room mbili moja kaunta kwa ajili ya open grocery room nyingine kwa ajili ya jiko, hii imekaaje ?
Noted, thanks mkuu in advance kwa hii post yako.Biashara nyngne inayolipa ni sales, nunua pikipiki yako then chukua Bidhaa kutoka kwenye maduka ya jumla zungusha mtaani, 30k faster tu, kama mtaji unaruhusu nunua kirikuu minimum profit apo 50k, ushawahi kujiuliza why hiz selling companies inakikirikuu tu na mtaji usiozidi 10m lakn wanamlipa salesperson 400k, wana HR, accountants,managers, madepartments kibao na wanawalipa handsomely, they pay bills kama rent kwa mamilion ya hela kwa hicho hicho kikirikuu?
hapo ndipo penye changamoto haswaaNimesoma comment zote kikubwa nilichogundua ambacho inaweza kuwa ni changamoto ni hii kauli kuwa " wew mwenyewe ndo uwe unafanya hyo kazi" yaani isiwe umeajiri mtu. Sasa kwa wanaokaa maofisin na wanamtaji wao watafanyaje