Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Kama umepata pesa kihalali kwa jasho lako utatoboa...

Tayari unauthubutu...

Ila kama hujapata kihalali sidhani..
 
Mtu anaomba ushauri unaanza kuleta habari nyingine,jmn 🙌
 
Umeongea point sana, utajiri ni mchakato. Ukitaka vya haraka haraka hivi, karibu atalala kwenye mazindiko ya kwa msisi, haha
 
Kama umepata pesa kihalali kwa jasho lako utatoboa...

Tayari unauthubutu...

Ila kama hujapata kihalali sidhani..
Kuna watu hawakupata kihalali lakini wametoboa na wana maisha mazuri sana tu,kama ingekuwa hivyo madalali au wezi wasingetoboa.
 
Safi sana,ungempa na kaushauri Nini safanye mkuu
 
Nimepata chimbo ilo nachukua vicks lotion mkongo bei cheee mimi naziuza kwa buku tano

Ukweli kwa siku napata hata zaidi ya 30k

Wateja wengi huwa ni wa online
Unauza online au ?
Tume connection mzee tujaribu bahati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…