kagombe
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 3,615
- 1,805
kama unataka biashara ya umachinga hiyo 30 kwa day inawezakana kaka tafuta chance karikoo mtaa wa congo mtaa wa msimbazi or agreey ukipata chance maana ziauzwa au kukodi mule barabarani.alafu uwe ata laki 8 mpaka m2 hiyo 30 unapata mapema sana biashara zipo nyingi kwenda kuchukua kwa wachina unatafuta kijana unamlipa kwa day.kukodi mule road inategemea kuna spece inategemea na location wanaanzia kwa siku 5000-15000.
Biashara mfano viatu all star au simpe zozote ukosi faida 2000 kwa pea moja ukichukua kwa mchina kuna jeans mashati t-shet au kama unajiweza kata mabegi ya mtumba.vijana wengi wa karikoo hilo eneo washajenga au wanajenga au utakuta anacho kiwanja ula ukiwaona utawaona kama wasio na kitu.unaweza ukafanya resech utaamini