Kama unasafiri Kilometa zaidi ya 800 kwa basi wewe ni masikini tafuta hela

Aliyekupa wewe, ndio katunyima sisi,Acha dharau
 
Ukweli mchungu,tutakupinga ila ulichokisema nikweli....bus linachosha asikwambie mtu...... niliwahi kusafiri Dar-sumbawanga daah saa 12- saa. 7 Usiku
Unafika hoi na hapo ni kijana,umri kama umesogea kesho yake hutoki ndani kwa uchovu.
Kigoma na bukoba huwa wanaingia stand ya magufuli alfajiri wako hoi bin taaban
 
Musoma nao ni Mkoa siku hizi?
 
Private car na bus tofauti yake ipi
 
Kuna team ya South Sudan ilikuja na coaster toka kwao kuja kucheza na timu ya bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…