Kama unasafiri Kilometa zaidi ya 800 kwa basi wewe ni masikini tafuta hela

..kijana una hekma sana wewe
Hana hekima yoyote, ana ufinyu tuu wa akili. Mfano wewe kipato chako kwa mwezi ni milioni moja, sasa unataka kwenda Kigoma na familia yako ya mke na watoto 3. Nauli ya Bus ni 65,000 hivyo watu 5 kwenda na kurudi ni 650,000....Ukipanda ndege ni laki 4 mtu mmoja hivyo watu 5 ni 2000,000. Kwa hiyo hili ni suala la vipaumbele tuu...
 
UKIWA NA USAFIRI WAKO NDIO VIZURI ZAIDI
 
ukijisikia kuchoka unatafuta hotel unapumzika kesho unaondoka hii ndo private car.. bus utakimbizwa hata kukata gogo mpaka konda apende
Unaweza kupanda Bus from Dar to Dodoma ukalala then kesho ukaamka na kuendelea na safari yako kwenda Tabora, Mwanza na kwingineko. Ni suala la mipango tuu.
 
Mimi na enjoy kusafiri na basi hasa sehemu ambazo sijawahi kufika na natamani hata kwa pikipiki au baiskeli nitumie.Mtoa mada ni miongoni mwa wale basi likianza safari tu anaanza kusinzia kitu ambacho kwa wengine hatuna.Na watu wa sampuli hizi hata wawe na gari binafsi hawawezi kusafiri nalo nadhani huwa wanashangaa sana kuwaona wazungu wakitoka south africa kwa gari,pikipiki na hata baiskeli!
 
nauli ya basi dar-mbeya ni chini ya elfu 40k.

lakni kama utasafiri kwa ndege dar-mby wiki moja ijayo utalipa kama 250k au zaidi.

maanayake nauli ya ndege ipo juu mara 6-7 ya nauli ya basi. hio ndo sababu kubwa watu wengi wa kawaida kutumia usafiri wa basi. wengi wanaotumia ndege unakuta ni wafanyabiashara wakubwa waliojipata.

nje ya apo unakuta ni wafanyakazi wanaolipiwa na ofisi zao. nna uhakika hata hizo treni za sgr kama wataweka bei za ajabuajabu km hiz za ndege au karibu na apo wataishia kupanda wenyewe.

nimeka pale👉👉
 
Ni mfano wa route za Dar kwenda mikoa ifuatayo, Mwanza, Kagera, Musoma, Kigoma, Mbeya, Ruvuma

Kama huwa unatumia usafiri wa basi kwa mikoa tajwa badi ujue wewe bado unajitafuta, endelea kujitafuta.

Binadamu hatakiwi kusafiri zaidi ya Km 500 kwa basi, ndio maana Simba na Yanga wakienda kucheza Singida lazima walale Dodoma kilazima,hizo ni kanuni za FIFA.

Kwa mtu binafsi kwa umbali wa zaidi ya km 800 ni either upande ndege au utumie private car,unless uwe unafanya utalii wa ndani au for fun

Tafuta hela
Hakuna kitu ninachopenda nikiwa nasafiri mikoani km kuona wengine wanafanyaje natumia ndege km nina dharura sn,nchi yetu imebarikiwa vitu vingi sn mostly havipo nchi nyingi duniani.hata iwe kufika kesho yake I’m ready but nione yaliopo
 
Mimi na enjoy kusafiri na basi hasa sehemu ambazo sijawahi kufika na natamani hata kwa pikipiki au baiskeli nitumie.Mtoa mada ni miongoni mwa wale basi likianza safari tu anaanza kusinzia kitu ambacho kwa wengine hatuna.Na watu wa sampuli hizi hata wawe na gari binafsi hawawezi kusafiri nalo nadhani huwa wanashangaa sana kuwaona wazungu wakitoka south africa kwa gari,pikipiki na hata baiskeli!
Hapana mkuu sasa route ya kigoma ikifika saa moja ni misitu tu mpaka kunakucha ,basi kwa safari ya masaa yasiyozidi 12 ni sahihi kabisa ika yakizidi hapo ni kutafuta uchovu tu,ndio hizo 800+ KM
 
Wabongo hata wanaoenda china kununua bidhaa ingekua kuna mabasi, wangejaa huko....
Meli yenyewe ni basi tuu no way, ila watu wangejaa kwenye makontena.
 
Ni mfano wa route za Dar kwenda mikoa ifuatayo, Mwanza, Kagera, Musoma, Kigoma, Mbeya, Ruvuma

Kama huwa unatumia usafiri wa basi kwa mikoa tajwa badi ujue wewe bado unajitafuta, endelea kujitafuta.

Binadamu hatakiwi kusafiri zaidi ya Km 500 kwa basi, ndio maana Simba na Yanga wakienda kucheza Singida lazima walale Dodoma kilazima,hizo ni kanuni za FIFA.

Kwa mtu binafsi kwa umbali wa zaidi ya km 800 ni either upande ndege au utumie private car,unless uwe unafanya utalii wa ndani au for fun

Tafuta hela
Mkuu upo sahihi kabisa kwa upande wangu.

#KUJITAFUTA 📌🔨
 
Ni mfano wa route za Dar kwenda mikoa ifuatayo, Mwanza, Kagera, Musoma, Kigoma, Mbeya, Ruvuma

Kama huwa unatumia usafiri wa basi kwa mikoa tajwa badi ujue wewe bado unajitafuta, endelea kujitafuta.

Binadamu hatakiwi kusafiri zaidi ya Km 500 kwa basi, ndio maana Simba na Yanga wakienda kucheza Singida lazima walale Dodoma kilazima,hizo ni kanuni za FIFA.

Kwa mtu binafsi kwa umbali wa zaidi ya km 800 ni either upande ndege au utumie private car,unless uwe unafanya utalii wa ndani au for fun

Tafuta hela
Egoistic at work,yaani wewe huna shida sema hizo hisia ulizojisikia mpaka ukaandika ivyo,
Am really enjoying human mind.
Yaani hapo ame feel kuwa mjanja,aliyefanikiwa , mwenye hela kuliko wengine,nadhani atakuwa kwenye list ya top 100 za Forbes.
Ila big up nadhani unayo private ,unalia mbususu kwa car yako.

Yaani kilichokusukuma ukaandika mie ndicho Niko na interested nacho Wala wewe huna shida.

Yaani Kuna sauti imetoka moyoni mwako ukawasha data,ukafungua jf ukaandika hivi.
Ila twashukuru mno.

EGO is the bitch
 
Nakazia
 
Nashukuru sana umeandika kwa hisia bila kutukana,ila kiukweli mini siba hizo hela za kupabda ndege mara kwa mara,ila na umri wangu huu wa 40 yrs napata shida sana kwenye basi nikienda Mwanza au Songea,sasa najiuliza nikifika 60s sina private car sina nayli ya ndege itakuwaje
 
Ni mfano wa route za Dar kwenda mikoa ifuatayo, Mwanza, Kagera, Musoma, Kigoma, Mbeya, Ruvuma

Kama huwa unatumia usafiri wa basi kwa mikoa tajwa badi ujue wewe bado unajitafuta, endelea kujitafuta.

Binadamu hatakiwi kusafiri zaidi ya Km 500 kwa basi, ndio maana Simba na Yanga wakienda kucheza Singida lazima walale Dodoma kilazima,hizo ni kanuni za FIFA.

Kwa mtu binafsi kwa umbali wa zaidi ya km 800 ni either upande ndege au utumie private car,unless uwe unafanya utalii wa ndani au for fun

Tafuta hela

ni nani amekwambia binadamu hatakiwi kusafiri zaidi ya km 500 kwa basi? au umekariri mabasi yote yanasafiri speed unayoifahamu wewe?

bora ungeandika hutakiwi uwe umsafiri zaidi ya masaa 12! ukiwa umekaa, sio kutumia kigezo cha umbali!
 
Refer to the heading 800Km
 
Siti ya dirishani kushoto
Yes, sawa sawa kabisa na it's cheaper kuliko kujiendesha mwenyewe na pia naweza nikalala anytime nikitaka. Bus lenye choo ndani kwa masafa marefu hapa Tanzania ni mali sana. I love my country Tanzania ila siipendi serikali ya CCM, wanaturudisha nyuma sana.
 
Back
Top Bottom