Hahahahaaaa those days, halafu watoto wa vijijini walikuwa wanakwenda shule peku hakuna viatuNa saa4 yanakuwa na rangi ya blown..yameugua...chai inaungua,majani ya viazi mviringo yanaungua .jaman dah
π€£π€£π€£π€£ Mzee noma Yule ila daah Mungu tusamehe tu hakuna namnaπ€£π€£ mkaenda ranchi ya sao hill mkazuia mitamba wote ati ya Jk ..Ila nyie!..gatch ya'!
Naskia anafuga balaa...safi lakini...so anafugia msoga maziwa mnapeleka njombe?π€£π€£π€£π€£ Mzee noma Yule ila daah Mungu tusamehe tu hakuna namna
Hahahaha hiyo nadhan had miaka hii .au mvua ikinyesha mnavua viatuπ€£!..mm nilikua najarib kuvua nashindwa kokoto dah na tukatusua...mitoto ya sasa hv 24/7 inaangalia katuni...haiko hata active..inalia lia tu humu mitandaoni...mxiewHahahahaaaa those days, halafu watoto wa vijijini walikuwa wanakwenda shule peku hakuna viatu
ππ..Nipo hapa Arusha kikazi....leo siku ya nne naona hali ya hewa ya kawaida na ni nzuri sana....kwa sisi tuliotokea Dar kwenye joto huku naona burudani mpaka natamani ningehamishia makazi huku........Arusha kuzuri sana.....kila mtu yupo bize na shughuli zake....si kina mama, mabinti, mabibi na mababu mpaka vitoto kila mtu ni pirika pirika tu........baridi ikinizidia nakimbilia pale pembeni ya uwanja wa sheik Amri Abeid nakunywa tangawizi na karanga......napoza baridi.......kuanzia asubuhi nilivyooga mpaka muda huu sijatoka hata jasho........
Tena ngo'ombe Kama buku na zaidi yaan maziwa twanywa vizuri sana hadi Ludewa mchuchuma na Liganga hukoNaskia anafuga balaa...safi lakini...so anafugia msoga maziwa mnapeleka njombe?
Mitoto ya sasa hivi mishenzi sana inadeka hadi inakera yaan, enzi hizo hakuna kudeka darasani zinapanda halafu peku yaanHahahaha hiyo nadhan had miaka hii .au mvua ikinyesha mnavua viatuπ€£!..mm nilikua najarib kuvua nashindwa kokoto dah na tukatusua...mitoto ya sasa hv 24/7 inaangalia katuni...haiko hata active..inalia lia tu humu mitandaoni...mxiew
Mimi hapa ndio mahala pake.....siku zote sijawahi kujutia kuishi Moshi au Arusha.....nikiwa hapa mwili mzima unarelax kama vile nimefanyiwa massage......ππ..
Mimi hapana sitakagi tena hali hiyo..dah
Ndiyo mkuu
Ndiyo mkuu
Makete ndo baba lao, Arusha cha mtoto.Mimi natokea Makete nakuja Arusha. Unanitahadharisha?
Jamani njombe ni shida mwenzio nilibabuka ngozi kuanzia kichwani sababu ya barid nilikuwa kama mkorogo umedunda mafuta nilikuwa napaka mengi mno ila wapiNipo Arusha kwa siku tatu hali ni Kawaida hata sweta sihangaiki nalo... Ukifika Mufindi, Njombe ni hatari
Umenichekesha mkuu mi nilikuwa navundika maparachichi yakiwa hayajakomaa yanakaa mpaka mwezi mzima hayajaiva,kuoga ni jua likiwa kali au uchemshe maji,nikioga sa kumi na mbili ntatetemeka mpaka sa moja ya usiku,wakati arusha nilkuwa naoga kila asubuh tena kipindi kama hikiMkuu kwa Tanzania njombe inaongoza kwa baridi nakumbuka miaka ya nyuma nilienda njombe nikafua jeans yangu haikukauka week 2 [emoji2][emoji2]
πππ! Tunaishukuru "rona"Muandiko wako haupotei.
Nilikuwa najiuliza mbona huyu Dada anaandika Kama Manengelo mama wa harakati za Lisu
Toka lini ulikua na contacts zanguNilipoteza namba zako Mkuu
Uliwahi enda Njombe Mkuu?