Kama unasafiri kuja Arusha ujipange hali ya hewa ni mbaya sana

Nipo Arusha apa mambo ni fresh kabisa hakuna shida yoyote ya hali ya hewa
 
Nipo hapa Arusha kikazi....leo siku ya nne naona hali ya hewa ya kawaida na ni nzuri sana....kwa sisi tuliotokea Dar kwenye joto huku naona burudani mpaka natamani ningehamishia makazi huku........Arusha kuzuri sana.....kila mtu yupo bize na shughuli zake....si kina mama, mabinti, mabibi na mababu mpaka vitoto kila mtu ni pirika pirika tu........baridi ikinizidia nakimbilia pale pembeni ya uwanja wa sheik Amri Abeid nakunywa tangawizi na karanga......napoza baridi.......kuanzia asubuhi nilivyooga mpaka muda huu sijatoka hata jasho........
 
Hahahahaaaa those days, halafu watoto wa vijijini walikuwa wanakwenda shule peku hakuna viatu
Hahahaha hiyo nadhan had miaka hii .au mvua ikinyesha mnavua viatu🤣!..mm nilikua najarib kuvua nashindwa kokoto dah na tukatusua...mitoto ya sasa hv 24/7 inaangalia katuni...haiko hata active..inalia lia tu humu mitandaoni...mxiew
 
Nipo hapa Arusha kikazi....leo siku ya nne naona hali ya hewa ya kawaida na ni nzuri sana....kwa sisi tuliotokea Dar kwenye joto huku naona burudani mpaka natamani ningehamishia makazi huku........Arusha kuzuri sana.....kila mtu yupo bize na shughuli zake....si kina mama, mabinti, mabibi na mababu mpaka vitoto kila mtu ni pirika pirika tu........baridi ikinizidia nakimbilia pale pembeni ya uwanja wa sheik Amri Abeid nakunywa tangawizi na karanga......napoza baridi.......kuanzia asubuhi nilivyooga mpaka muda huu sijatoka hata jasho........
😀😀..
Mimi hapana sitakagi tena hali hiyo..dah
 
Hahahaha hiyo nadhan had miaka hii .au mvua ikinyesha mnavua viatu🤣!..mm nilikua najarib kuvua nashindwa kokoto dah na tukatusua...mitoto ya sasa hv 24/7 inaangalia katuni...haiko hata active..inalia lia tu humu mitandaoni...mxiew
Mitoto ya sasa hivi mishenzi sana inadeka hadi inakera yaan, enzi hizo hakuna kudeka darasani zinapanda halafu peku yaan
 
Nipo Arusha kwa siku tatu hali ni Kawaida hata sweta sihangaiki nalo... Ukifika Mufindi, Njombe ni hatari
Jamani njombe ni shida mwenzio nilibabuka ngozi kuanzia kichwani sababu ya barid nilikuwa kama mkorogo umedunda mafuta nilikuwa napaka mengi mno ila wapi
 
Mkuu kwa Tanzania njombe inaongoza kwa baridi nakumbuka miaka ya nyuma nilienda njombe nikafua jeans yangu haikukauka week 2 [emoji2][emoji2]
Umenichekesha mkuu mi nilikuwa navundika maparachichi yakiwa hayajakomaa yanakaa mpaka mwezi mzima hayajaiva,kuoga ni jua likiwa kali au uchemshe maji,nikioga sa kumi na mbili ntatetemeka mpaka sa moja ya usiku,wakati arusha nilkuwa naoga kila asubuh tena kipindi kama hiki
 
Back
Top Bottom