Kama unasafiri kuja Arusha ujipange hali ya hewa ni mbaya sana

Kuna kipindi nilienda Mafinga, nilifikia lodge moja. Nilikuwa nalala nimevaa sweta na shuka langu la kimasai.
 
Kama hali ya hewa ya Arusha unaita ni mbaya kwa sababu ya baridi, basi leo hii wazungu wote hasa kule urusi tungeshazika...
 
Kwa Mrombo joto kali??
 
Hahahaha hiyo nadhan had miaka hii .au mvua ikinyesha mnavua viatu🤣!..mm nilikua najarib kuvua nashindwa kokoto dah na tukatusua...mitoto ya sasa hv 24/7 inaangalia katuni...haiko hata active..inalia lia tu humu mitandaoni...mxiew

Hao watoto wa sikuhz hawawez wanabak kulialia huku JF Wewe mtoto wa zamani ulishindwa kutembea peku so what?
 
wewe jamaa unajua....mimi nimekulia kijiji mojawapo....ukijifua nguo utajuta unaweza kuchukua wiki kukauka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…