Kama unasafiri kuja Arusha ujipange hali ya hewa ni mbaya sana

Kama unasafiri kuja Arusha ujipange hali ya hewa ni mbaya sana

Na njugu mawe alafu ukirudi home mama ananinulia zawadi ya vitumbua vya mahindi daaah rest in peace mom umeacha nimekumbuka mbali😭😭😭😭
Pole sana mkuu ..muombee apumzike mahali pema peponi...again pole
 
Kuna kipindi nilienda Mafinga, nilifikia lodge moja. Nilikuwa nalala nimevaa sweta na shuka langu la kimasai.
 
Kama hali ya hewa ya Arusha unaita ni mbaya kwa sababu ya baridi, basi leo hii wazungu wote hasa kule urusi tungeshazika...
 
Maeneo yalio karibu na mlima meru vijij vyote vinazozonguka mlima kuanzia oldonyo sambu .ngaramtoni oldonjo kioga ..olgila ngiresi bangata .sasi engateu. USA kwa wameru wote wa ndoombo Hali ya barid maeneo hayo Ni Kali snaaa chukuaa taadhari na koti kubwa. Baridi inauwa...
Kwa Mrombo joto kali??
 
Hahahaha hiyo nadhan had miaka hii .au mvua ikinyesha mnavua viatu🤣!..mm nilikua najarib kuvua nashindwa kokoto dah na tukatusua...mitoto ya sasa hv 24/7 inaangalia katuni...haiko hata active..inalia lia tu humu mitandaoni...mxiew

Hao watoto wa sikuhz hawawez wanabak kulialia huku JF Wewe mtoto wa zamani ulishindwa kutembea peku so what?
 
Maeneo yalio karibu na mlima meru vijij vyote vinazozonguka mlima kuanzia oldonyo sambu .ngaramtoni oldonjo kioga ..olgila ngiresi bangata .sasi engateu. USA kwa wameru wote wa ndoombo Hali ya barid maeneo hayo Ni Kali snaaa chukuaa taadhari na koti kubwa. Baridi inauwa...
wewe jamaa unajua....mimi nimekulia kijiji mojawapo....ukijifua nguo utajuta unaweza kuchukua wiki kukauka
 
Back
Top Bottom