LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Unatazama movie , kwenye movie Kuna tukio limetokea let's say WTC imelipuliwa.
One week later maelfu ya wamarekani wanakusanyika katika viwanja vya Madison square garden Kwa ajili ya kufanya ibada maalumu ya kuwaombea marehemu walio poteza Maisha Yao kwenye tukio Hilo pamoja Na kulaani walio fanya tukio Hilo .
Miongoni mwa walio kusanyika Mahali hapo ni wamama wenye watoto wachanga..
Camera ya director wa movie hiyo Kwa makusudi mazima inawazoom mara Kwa mara baadhi ya watoto Hao wachanga wakiwa wamebebwa Na mama zao.
Je unajua kwanini directors wamewaonyesha watoto Hao wachanga ?
Unadhani Imetokea Kwa Bahati mbaya?
Najua haujui ila Leo utajua..
Hao watoto wachanga kwenye hiyo scene Wana represent watu wasio Jua Nini kinacho endelea kwenye tukio hilo.
Watoto Wapo kwenye tukio but hawajui chochote masikini. To them everything is okay. They do not have idea of what is going on.
Yani ni kama Yule Mtoto WA miezi Sita alie okolewa kwenye titanic. Hakuwa anajua kilicho kuwa kinaendelea hata alipokuwa kwenye ibada ya kumshukuru Mungu ibada iliyo fanyika wiki kadhaa baada ya tukio la ajali hiyo
Huyo Mtoto mdogo Ni wewe unae soma Uzi Huu ambae unashangaa na kumlaumu Putin Kwa kuivamia Ukraine.
U have no any idea about what is going on in Ukraine.
Ukija kuwa mkubwa ndio utafahamu kwanini Putin ameivamia Ukraine.
Kwa Sasa endelea kufurahi utoto.
Utoto raha Sana.