Kama unashangaa au hauoni mantiki ya Putin kuivamia Ukraine basi wewe upo kwenye Kundi la watu hawa

Inaonekana Ukraine ilikuwa inakwenda kufanya kitu ya kumuogopesha sana mbabe Putin
 
Belarus Kwa Russia ni kama Burundi Kwa Tanzania . Nadhani umesikia wameunga mkono juhudi za Russia nao wamepeleka makeshift Ukraine kuwasapoti Russia .

Vita ya Ukraine ilikuwa inevitable.

Hata Us amepigana vita Irak Afghanistan etc
Sio kama Urusi hana ushawishi kabisa hapana, ushawishi anao lakini ni wa kiwango kidogo sana kwa nchi zinazomzunguka.

Marekani aliivamia Iraq baada kupika propaganda kuhusu umiliki wa silaha za kemikali katika serikali ya Saddam, na kabla ya kwenda kuivamia Iraq alipata uungwaji mkono wa moja kwa moja na washirika wake, hata vitani pia hakuingia peke yake, washirika wake walikua nae bega kwa bega.

Urusi nae kama kwenye suala la Ukraine angepika propaganda yenye kueleweka na akapata uungwaji mkono wa moja kwa moja na washirika wake basi hili suala la Ukraine lisingekua na kelele nyingi kiasi hiki, kila mmoja angejionea ni sawa kwa Ukraine kuchezea kichapo kama vile walivyoona sawa kuvamiwa kwa Iraq na Afghanistan.
 
Russia haina nguvu ya kiuchumi kama nchi za magharibi Ndio maana washirika wake wanamkimbia.
So inabidi atumie nguvu za kijeshi kuwarudisha kwenye mstari maana ushawishi wa kiuchumi na kisiasa hana na tayari wamagharibi wamempiga bao.
 
KWENU WATOTO

URUSI HAIJAWAHI INGIA VITANI KWA UONEVU AU FAIDA BINAFSI KAMA MAREKANI ILIVYO FANYA LIBYA, AFAGHANISTANI.
VITA HII NI KULINDA LEO NA KESHO YA URUSI, WENZETU WANA AKILI YA KUANGALIA MBELE , MIAKA 60, 70 IJAYO. HII SIFA MTU MWEUSI HANA NDIO SABABU WENGI WANA MLAUMU PUTIN
URUSI NA UKRAIN NI NDUGU WALE, WALIKUWA TAIFA MOJA HAPO KABLA YA KUJITENGA KWA MSAADA WA MAREKANI

WATOTO HAWAJUI WA KULAUMIWA NI MAREKANI, AMBAYE NI MCHOCHEZI KWA NAMNA MBILI:
1. MUUZAJI WA SIRAHA UKRAIN
2. ANATAKA KUJENGA KAMBI KUBWA ZA KIJESHI UKRAIN, ILI IWE RAHISI KUMVAMIA URUSI, CHINA NA INDIA
 
Hatari ni kama ina hatarisha maisha yangu
Ukraine anataka kujiunga Na NATO,ukraine akijiunga NATO wabaya wa urusi wote watakua wamekaribishwa Nyumba Ya jirani..your neighbor nextdoor NATO,US,UK..sasa si bora tu umnyuke jirani dhaifu kabla hajajiunga Na wabaya wako?? Ukraine anatumiwa Na mataifa Ya magharibi kumfikia Russia so kwa mtazamo wangu Putin he's righ.
 
Unatazama movie , kwenye movie Kuna tukio limetokea let's say WTC imelipuliwa.

One week later maelfu ya wamarekani wanakusanyika katika viwanja vya Madison square garden Kwa ajili ya kufanya ibada maalumu ya kuwaombea marehemu walio poteza Maisha Yao kwenye tukio Hilo pamoja Na kulaani walio fanya tukio Hilo .

Miongoni mwa walio kusanyika Mahali hapo ni wamama wenye watoto wachanga..

Camera ya director wa movie hiyo Kwa makusudi mazima inawazoom mara Kwa mara baadhi ya watoto Hao wachanga wakiwa wamebebwa Na mama zao.

Je unajua kwanini directors wamewaonyesha watoto Hao wachanga ?

Unadhani Imetokea Kwa Bahati mbaya?

Najua haujui ila Leo utajua..

Hao watoto wachanga kwenye hiyo scene Wana represent watu wasio Jua Nini kinacho endelea kwenye tukio hilo.

Watoto Wapo kwenye tukio but hawajui chochote masikini. To them everything is okay. They do not have idea of what is going on.

Yani ni kama Yule Mtoto WA miezi Sita alie okolewa kwenye titanic. Hakuwa anajua kilicho kuwa kinaendelea hata alipokuwa kwenye ibada ya kumshukuru Mungu ibada iliyo fanyika wiki kadhaa baada ya tukio la ajali hiyo

Huyo Mtoto mdogo Ni wewe unae soma Uzi Huu ambae unashangaa na kumlaumu Putin Kwa kuivamia Ukraine.

U have no any idea about what is going on in Ukraine.

Ukija kuwa mkubwa ndio utafahamu kwanini Putin ameivamia Ukraine.

Kwa Sasa endelea kufurahi utoto.

Utoto raha Sana.
Deep in deed.
 
Alichofeli Putin ni kitu kimoja tu kushindwa kuweka vibaraka kwenye uongozi wa nchi zinazomzunguka ambazo awali zilikua chini ya USSR.
Hii vita ilipaswa kupiganwa kijasusi zaidi kwa kuwaingiza madarakani viongozi watakaokubali kuwa vibaraka wake, kuliko kuingiza jeshi vitani.
Hapa Putini anaonekana ni dictator au mkoloni kwa kuilazimisha nchi nyingine yenye mamlaka kamili kufuata kile anachokitaka yeye kwa kutumia mabavu.
Hapa ndipo USA amempiga gape kubwa kwenye suala zima la ushawishi kwa kutumia vitengo vya kijasusi na propaganda kutekeleza matakwa yake.
Huwezi kuwa super power na kuicontrol dunia kwa kutegemea mabavu ya kijeshi peke yake bila ya kua na mbinu za ushawishi zitakazo kuongezea washirika watakao kua na wewe bega kwa bega kwenye ajenda zako.
Namuona Mchina ameshalishtukia hili sasa hivi, anatumia nguvu nyingi zaidi kuzishawishi nchi ziwe na ushirika na yeye.
Uko sahihi. Sasa anatumia plan B
 
Unatazama movie , kwenye movie Kuna tukio limetokea let's say WTC imelipuliwa.

One week later maelfu ya wamarekani wanakusanyika katika viwanja vya Madison square garden Kwa ajili ya kufanya ibada maalumu ya kuwaombea marehemu walio poteza Maisha Yao kwenye tukio Hilo pamoja Na kulaani walio fanya tukio Hilo .

Miongoni mwa walio kusanyika Mahali hapo ni wamama wenye watoto wachanga..

Camera ya director wa movie hiyo Kwa makusudi mazima inawazoom mara Kwa mara baadhi ya watoto Hao wachanga wakiwa wamebebwa Na mama zao.

Je unajua kwanini directors wamewaonyesha watoto Hao wachanga ?

Unadhani Imetokea Kwa Bahati mbaya?

Najua haujui ila Leo utajua..

Hao watoto wachanga kwenye hiyo scene Wana represent watu wasio Jua Nini kinacho endelea kwenye tukio hilo.

Watoto Wapo kwenye tukio but hawajui chochote masikini. To them everything is okay. They do not have idea of what is going on.

Yani ni kama Yule Mtoto WA miezi Sita alie okolewa kwenye titanic. Hakuwa anajua kilicho kuwa kinaendelea hata alipokuwa kwenye ibada ya kumshukuru Mungu ibada iliyo fanyika wiki kadhaa baada ya tukio la ajali hiyo

Huyo Mtoto mdogo Ni wewe unae soma Uzi Huu ambae unashangaa na kumlaumu Putin Kwa kuivamia Ukraine.

U have no any idea about what is going on in Ukraine.

Ukija kuwa mkubwa ndio utafahamu kwanini Putin ameivamia Ukraine.

Kwa Sasa endelea kufurahi utoto.

Utoto raha Sana.
Umekurupuka.
 
KWENU WATOTO

URUSI HAIJAWAHI INGIA VITANI KWA UONEVU AU FAIDA BINAFSI KAMA MAREKANI ILIVYO FANYA LIBYA, AFAGHANISTANI.
VITA HII NI KULINDA LEO NA KESHO YA URUSI, WENZETU WANA AKILI YA KUANGALIA MBELE , MIAKA 60, 70 IJAYO. HII SIFA MTU MWEUSI HANA NDIO SABABU WENGI WANA MLAUMU PUTIN
URUSI NA UKRAIN NI NDUGU WALE, WALIKUWA TAIFA MOJA HAPO KABLA YA KUJITENGA KWA MSAADA WA MAREKANI

WATOTO HAWAJUI WA KULAUMIWA NI MAREKANI, AMBAYE NI MCHOCHEZI KWA NAMNA MBILI:
1. MUUZAJI WA SIRAHA UKRAIN
2. ANATAKA KUJENGA KAMBI KUBWA ZA KIJESHI UKRAIN, ILI IWE RAHISI KUMVAMIA URUSI, CHINA NA INDIA
Ur the true son of your father
 
Sio kama Urusi hana ushawishi kabisa hapana, ushawishi anao lakini ni wa kiwango kidogo sana kwa nchi zinazomzunguka.
Marekani aliivamia Iraq baada kupika propaganda kuhusu umiliki wa silaha za kemikali katika serikali ya Saddam, na kabla ya kwenda kuivamia Iraq alipata uungwaji mkono wa moja kwa moja na washirika wake, hata vitani pia hakuingia peke yake, washirika wake walikua nae bega kwa bega.
Urusi nae kama kwenye suala la Ukraine angepika propaganda yenye kueleweka na akapata uungwaji mkono wa moja kwa moja na washirika wake basi hili suala la Ukraine lisingekua na kelele nyingi kiasi hiki, kila mmoja angejionea ni sawa kwa Ukraine kuchezea kichapo kama vile walivyoona sawa kuvamiwa kwa Iraq na Afghanistan.
Hapana ukweli wowote katika hili. Vyombo vya propaganda (media) vyote ni vyombo vya kimagharibi. Propaganda za Urusi zisingefanikiwa kamwe.

Ni sahihi kabisa alivyoamua kuivamia tu kijeshi moja kwa moja.

Kilichopo sasa na ambacho inabidi urusi afanye ni kuamua kutumia silaha zake kubwa kubwa ili aimalize hii vita. Kila anavyoendelea kukaa ndivyo anavyoiharibu
 
Kwa kwel hata mim sjaelewa maana ya hii vita

Nasikia wanasema tu ukraine akijiunga NATO,eti Russia itakuwa hatarini,kivipi sasa,kwani NATO ni magaidi
 
Unatazama movie , kwenye movie Kuna tukio limetokea let's say WTC imelipuliwa.

One week later maelfu ya wamarekani wanakusanyika katika viwanja vya Madison square garden Kwa ajili ya kufanya ibada maalumu ya kuwaombea marehemu walio poteza Maisha Yao kwenye tukio Hilo pamoja Na kulaani walio fanya tukio Hilo .

Miongoni mwa walio kusanyika Mahali hapo ni wamama wenye watoto wachanga..

Camera ya director wa movie hiyo Kwa makusudi mazima inawazoom mara Kwa mara baadhi ya watoto Hao wachanga wakiwa wamebebwa Na mama zao.

Je unajua kwanini directors wamewaonyesha watoto Hao wachanga ?

Unadhani Imetokea Kwa Bahati mbaya?

Najua haujui ila Leo utajua..

Hao watoto wachanga kwenye hiyo scene Wana represent watu wasio Jua Nini kinacho endelea kwenye tukio hilo.

Watoto Wapo kwenye tukio but hawajui chochote masikini. To them everything is okay. They do not have idea of what is going on.

Yani ni kama Yule Mtoto WA miezi Sita alie okolewa kwenye titanic. Hakuwa anajua kilicho kuwa kinaendelea hata alipokuwa kwenye ibada ya kumshukuru Mungu ibada iliyo fanyika wiki kadhaa baada ya tukio la ajali hiyo

Huyo Mtoto mdogo Ni wewe unae soma Uzi Huu ambae unashangaa na kumlaumu Putin Kwa kuivamia Ukraine.

U have no any idea about what is going on in Ukraine.

Ukija kuwa mkubwa ndio utafahamu kwanini Putin ameivamia Ukraine.

Kwa Sasa endelea kufurahi utoto.

Utoto raha Sana.
Mbona US anaendeleza operation zake Yemen kwa kutumia kivuli Saudi Arabia na kuua raia wasio na hatia lkn mpaka mda huu dunia ipo kimya.

Ndio huwezi kuhalalisha ubaya kwa ubaya,ila tukitaka dunia iwe salama basi UN,US na EU waache unafiki, kwani wao ndio wameacha majanga makubwa kuanzia Iraq,Libya, Afghanistan nk ambapo mamilioni ya watu wamekufa na hizo nchi hazitawaliki, zimekuwa machaka ya kigaidi ambayo wanasambaza itikadi za kigaidi mpaka kwenye nchi zetu za Afrika kuna vikundi vinawatii ISIS.

Nchi kama Libya ni sawa na Jehanum iliyopo dunia,magaidi kibao, biashara ya viungo vya binadamu na vita isiyokuwa na mwisho. US anapigania haki ya Ukraine, wakati ICC wameomba uchunguzi ufanyike kwa raia 24 waliokufa Yemen (BBC Panorama),wakawawekea vikwazo wale majaji. Ila siku na saa uchunguzi ukifanyia Iraq,Libya na Afghanistan utapata picha halisi ya unyama wa kutisha kwa mamailioni ya raia waliokufa wasio na hatia na ndio maana US na washirika wake akiibuka mtu yoyote kuhoji lazima wamuwekee vikwazo.

Hivi ina maana mamilioni ya watu waliokufa Iraq, Afghanistan na Libya hawana thamani, vipi watoto? Haki yao wataipata lini.
 
Back
Top Bottom