Kama unashangaa au hauoni mantiki ya Putin kuivamia Ukraine basi wewe upo kwenye Kundi la watu hawa

Kama unashangaa au hauoni mantiki ya Putin kuivamia Ukraine basi wewe upo kwenye Kundi la watu hawa

Marekani si anajifanyaga mbabe wa dunia.. mbona hatii mguu?
Wakomunisti ni materialistic, yaani kama nyumbu. Wakipigana vita wanaenda mwili mzima.

Mabepari ni idealistic, yaani wanatumia akili nyingi nguvu kidogo.

Mpaka sasa Urusi kawekewa vikwazo kiuchumi na hali ni tete.

Mabepari hawajatumia nguvu bali akili. Usitarajie Marekani apigane kihuni.kama Put in.

Mpaka sasa, Putin anahitaji mazungumzo kuliko Ukraine wakati Put in ndiye mwanzilishi wa vita.

Katika history ya dunia, wakomunisti hawajawahi kuwashinda mabepari, kwa hiyo ugua pole. Putin ameshaingia pabaya. Ajiandae kutoka
 
Belarus Kwa Russia ni kama Burundi Kwa Tanzania . Nadhani umesikia wameunga mkono juhudi za Russia nao wamepeleka makeshift Ukraine kuwasapoti Russia .

Vita ya Ukraine ilikuwa inevitable.

Hata Us amepigana vita Irak Afghanistan etc
Bado hujatushawishi. Scenario ya Iraq na Afghanistan huwezi kuilinganisha na hii ya Ukraine. US alienda Iraq akiwa na sababu ya kwenda kuharibu mass destruction weapons na hata kama alikuwa na ajenda yake lakini raia walimwelewa. Afghanistan alienda kumtoa Osama na Taleban baada ya kumshambulia kwake raia walimwelewa. Tatizo la Putin yeye hautaki utawala uliopo Ukraine kwa sasa baada ya kukutaa kuwa vibaraka wake kama ilivyo kwa Belarus na Georgia. Sasa kwa wananchi wa kawaida hayo hawayaoni kama threat kwao na ndio maana wanaandana lupinga vita. Putin ni chizi Ila nadhani ndo mwanzo mwisho wake.
 
Kwani yeye Putin kazuiwa kwenda kuweka kambi za kijeshi venezuela au mexico kulipiza marekani na ulaya kumsogelea kwenye mipaka yake? Tatizo kubwa la Putin haiwezi vita ya kisaikolojia ya maneno aliyo nayo mzungu, wazungu wana propaganda kali, hila, kejeli, vitisho na maneno mengine mbofu mbofu ambayo hadi yamemfanya putin kutishia kulipua nyuklia......wameweka vikwazo haijaisha wiki thamani ya pesa ya urusi imeporomoka kwa asilimia 30. Mzungu akikuamulia hakuna rangi utaacha kuiona...........
Hivi Put'n sio mzungu e?

Sent from my TECNO LB7 using JamiiForums mobile app
 
Wakomunisti ni materialistic, yaani kama nyumbu. Wakipigana vita wanaenda mwili mzima.

Mabepari ni idealistic, yaani wanatumia akili nyingi nguvu kidogo.

Mpaka sasa Urusi kawekewa vikwazo kiuchumi na hali ni tete.

Mabepari hawajatumia nguvu bali akili. Usitarajie Marekani apigane kihuni.kama Put in.

Mpaka sasa, Putin anahitaji mazungumzo kuliko Ukraine wakati Put in ndiye mwanzilishi wa vita.

Katika history ya dunia, wakomunisti hawajawahi kuwashinda mabepari, kwa hiyo ugua pole. Putin ameshaingia pabaya. Ajiandae kutoka
Endelea kuota..ameishawekewaga vikwazo mara nyingi tu. Ma mara mwisho alipomvamia Georgia...ikawaje?
 
Sijui chochote na sijawahi kufwatilia kinachoendelea huko
 
Back
Top Bottom