Kama unashangaa au hauoni mantiki ya Putin kuivamia Ukraine basi wewe upo kwenye Kundi la watu hawa

Na hapo marekani ndo anapowazid maadui zake amejaza vibaraka wake kila kona European union ni kibaraka wa marekani, Korea kusin, Japan, gulf countries n.k
 
Kwani yeye Putin kazuiwa kwenda kuweka kambi za kijeshi venezuela au mexico kulipiza marekani na ulaya kumsogelea kwenye mipaka yake? Tatizo kubwa la Putin haiwezi vita ya kisaikolojia ya maneno aliyo nayo mzungu, wazungu wana propaganda kali, hila, kejeli, vitisho na maneno mengine mbofu mbofu ambayo hadi yamemfanya putin kutishia kulipua nyuklia......wameweka vikwazo haijaisha wiki thamani ya pesa ya urusi imeporomoka kwa asilimia 30. Mzungu akikuamulia hakuna rangi utaacha kuiona...........
 
Kwa kwel hata mim sjaelewa maana ya hii vita

Nasikia wanasema tu ukraine akijiunga NATO,eti Russia itakuwa hatarini,kivipi sasa,kwani NATO ni magaidi
NATO ni adui wa urusi ndugu toka mwaka 1960 huko
 
[emoji1787][emoji1787] this is insane..wapiga debe wa Putin we umewaskia wapi,humu jf au.
Wanamchafua wapi?
You mean mpaka leo hujui reason ya Russia kugawa dozi
 
Huko ni kutaka watu wakubaliane na mawazo yako, kwa maana hiyo unataka hata wanaukrain nao wawe pamoja nawe.
Kwa maelezo yako ni kua Putina yuko sahihi kwa alichofanya na huo usahihi wako na Putin ndio usahihi zaidi na si vinginevyo.

Kubali mawazo mapya ya wanajamvi, usiwadharau na usijikweze, weka hoja ijibiwe kwa hoja. Unajua hiki anajua kile.
Nawasilisha.
 
😁😁😁😁😁
 
Walizidiana AKLI na USA mkuu, remember rais huyu aliyepo madarakani ni zao la aliyepinduliwa, aliyepinduliwa ndio alikua mtu wa Russia, USA akamzidi akili Russia na USA akafanikiwa kupandikiza rais wake, ndio huyu; kingine ni kuhusu historia, jaribu siku moja kukutana na watalii wanao tokea hizo nchi ambazo zamani zilikua zinafuata Ukoministi, hasa watu wazima then jaribu kufanya nao interview, hawataki kabisa kusikia whats so called Communist world. Kuna mengi sana nyuma ya pazia kwenye ujasusi wa Urusi na USA kuzihuzusu hizo nchi.
 
Hivi hujui Ukrain walimtoa kibaraka wa urusi ndio wakamuweka huyu wa sasa kibaraka wa west.
Rejea mgogoro wa krimea.
 
Me nafikiri sio kosa lao ni upatikanaji wa Taarifa ndo tunatofautiana. Mfano Mfano waliosoma History wanaelewa kuhusu Cold war.
 
Kwamba Putin ni kibaraka WA USA! Ama sijaelewa vyema!
 
Kwenye ishu ya Putin.. Mimi ni mtu mzima. Wacha awachakaze Ukraine. Wanataka kutuletea New World Order
 
Putin na mashabiki wake wamechanganyikiwa. Hawana uhakika wa matokeo ya vita.

Wanashangaa mpaka sasa imekuwaje Kyiv haijaanguka
Wewe ndo umelewa propaganda za magharibi. Yaani Urusi awashindwe Ukraine?! Amka ukojoe kwanza utakuwa umelala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…