Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

Ni kwanini mwanamke anakasirika akiambiwa yeye ndiye alimtongoza man wake? Kuna.1, ali nitongoza sikufanya kosa, tukiwa kwenye mahusiano siku moja, nikamwambia wewe ndiye ulinianza, alikasirika, ikabidi nimwambie nilikuwa nakupenda ukaniwahi.[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Njoo PM unitongoze
 
Umenikumbusha wakati nipo undergraduate, kuna mrembo mmoja alianza mazoea na mm akanitongoza tulipofanya mapenzi tuu akaniacha, aisee siwez sahau ile kitu.
Alinifanyia ile HIT AND RUN, sikuamini macho yangu.
Haukumgegeda vzr ndomaana. Ukipata chance kwa mara ya kwanza, unatakiwa upige kweli kweli.
 
Sasa ustaarabu gani huo, hayo ni mambo ya kufanya mbele ya darasa kweli? Kwa binadamu mstaarabu lazima aone aibu.
 
Sasa hao si ndo wazuri, maana unajipatia mbususu karibu kila siku.
 
Nakamwambiaje....karibu 99% ya wanaume walibabaika
Walibabaika kwasababu uliwatongoza kwenye mazingira ya watu wengi, sasa mfate mtu eneo la mafichoni uone. Au njoo unitongoze mimi uone.
 
Aliyekwambia tupo emotional kama wanawake ni nani, eti ili ubo.o usimame mpaka tumpende mwanamke huyo mwanamke, hiyo siyo kweli, tunadindisha popote pale na kupiga pipe ile ile.
 
Ha ha haa dada yangu mbona utundu wenu huo haujatoa uhalisia?

Unajua nyie mlivyokua kua mkiwa surprise mmadhani ndo udhaifu wenyewe huo,hapana.

Iko hivi,mtu yoyote hata kitoto Cha darasa la Tatu kikikuvamia ghafla na kukuomba sh 200 TU,hata kama una milion Tano mfukoni za kwako na unaenda nazo bar kutumia,ni lazima utapagawa na kujikanyaga kwa sababu hujui huyo mtoto katumwa,ana shida kweli ama ni mtego.
Huwezi kutoa TU ghafla Hadi ujiridhishe.
Kitu chochote Cha ghafla ndio hua na majibu ya tabia hizo ulizoziona kwa hao wakaka.
Hebu fikiria akili yake ilikua off kabisa juu Yako then ukaanza kumtiongoza kwa kawaida hata kua na majibu tayaritayri kitu amabcho wewe ndio unaita kujikanyaga.
Any way wewe ndio ilikua furaha Yako kuona mwanaume kakosa majibu ya ghafla.
 
Hapo hakuna uhalisia ndio maana wanaume walikua wanakua puzzled.
Kwa sababu hata wanawake hatuwatongozi kwa mtindo huo kwamba nataka touching hata mbele ya darasa.
Hata huyo Mpenzi wako TU huwezi mfanyia hivyo.sembuse mtu uliemshitukiza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…