Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

Umenikumbusha wakati nipo undergraduate, kuna mrembo mmoja alianza mazoea na mm akanitongoza tulipofanya mapenzi tuu akaniacha, aisee siwez sahau ile kitu.
Alinifanyia ile HIT AND RUN, sikuamini macho yangu.
huyo mjinga alivuka mpaka....angetakiwa ile ile day one kabla ya wewe kukubali ajikatae
 
Khaa labda siyo mimi😂, utajaa tu kwenye kilengeo mdada na utatoa tu mzigo kiroho safi. Labda niwe sijakupenda, ila nikikupenda hutoki mshikaji wangu✔️🎯
Sikuliwa, sikujinasisha hata siku mmoja....wakaka wenyewe mnaanza kigugumizi na wenge najiondoa kabla akili haijakukaa vizuri....kesho ukiniona kama sikujui
 
No ni uamuzi na ukitaka kumwonea mtu basi lazima uhakikishe kuna siku alichemka kitoto....very fun yaan....nimeona nije na huyu mwenzangu ajaribu kukueleza anavyoumia juu yako...tumekaa wadada wawili tutakukaba mpaka ukituona baadae unajisikia aibu
Kuna wanaume hawana aibu, tena ukute ndio alikua anakupigia hesabu then ukajileta mwenyewe kwenye 18 hawezi kukuacha salama
 
Khaa labda siyo mimi😂, utajaa tu kwenye kilengeo mdada na utatoa tu mzigo kiroho safi. Labda niwe sijakupenda, ila nikikupenda hutoki mshikaji wangu✔️🎯
Uzuri muda ule unakuwa mwanaume hijajiamini, ukisema I love you....nashika shati najifanya kukufungua vifungo na kusisitiza hapahapa hamna mtoto nataka touchings hata kama mbele ya darasa....wakaka wanaanza sasa baadae...ooh nina pepa wiki ijayoooo....tulikuwa tunacheka sana
 
huyo mjinga alivuka mpaka....angetakiwa ile ile day one kabla ya wewe kukubali ajikatae
Huyo hakuwa na tabia kama zako nafikiri, ww unafanya hivo kwa sababu unapenda ile hali ya kuwaona wanaume wanaweweseka na wanajing'atang'ata...yule demu bhana alikuwa nahic ni sex addict, alikuwa anapenda sana kufanya mapenzi na alikuwa hapendagi kugandana
 
Back
Top Bottom