Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Huyu mleta uzi kala maharage ya wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unajua kufuga ni passion...Huyu mleta uzi kala maharage ya wapi
KibitiHuyu mleta uzi kala maharage ya wapi
labda mkuu utusaidiee viip mayai yako unakula mwenyewe au unauza?? kama huyu jamaa kasema wapi utauza mayai ya kuku chotara au hao kuloier...yeye anajua mayai ni ya layers tu..hahahaaNa kloire kila siku anataga tofauti na kienyeji pure maana Mie nawafuga pamoja na jogoo anayewapanda ni makuchi faida naiona kaka
Ila kama mtoa mada mmoja ameahauri usiwe na biashara mmoja labda kukujibu,shamba,duka na ufuge kibiashara na sio kimzaha faida IPO mkuu
Achana na huyo mpuuzi mimi nauza mayai ya curoiler trey 1=18000/=tsh na oda zimenizidia huyo hajui kitu mwanafunzi tu huyolabda mkuu utusaidiee viip mayai yako unakula mwenyewe au unauza?? kama huyu jamaa kasema wapi utauza mayai ya kuku chotara au hao kuloier...yeye anajua mayai ni ya layers tu..hahahaa
Biashara haipunguzi umaskini??Pia elewa Chotara sio kuku wa biashara
Mpuzi ni wewe na hapa kwa akili za kushikiwa hutakaa uelewe kitu. hata kuandika Kuroiler yenyewe hujui. Hahaaaa eti unauza greib18,000/Achana na huyo mpuuzi mimi nauza mayai ya curoiler trey 1=18000/=tsh na oda zimenizidia huyo hajui kitu mwanafunzi tu huyo
Ni vigumu sana kueleweka kibongo bongoBiashara haipunguzi umaskini??
mkuu em dondosha huo mfano wa mfugaji wa kroiler 500point dhaifu bro, ina depend na how una manage kazi yako, chotara ama kuloier wanaweza kuwa biashara tena yenye tija kubwa sana, na layers ama broilers wanaweza pia kuwa biashara nzuri, kitu kuitwa biashara inategemea na how una manage kazi yako sokoni.
point ya ku note, wewe kama ni mjasilia mali, usitegemee tu kuku eti ndio iwe njia yako pekee ya kukupatia kipato, kuwa na vyanzo vingi vya ela, kuwa na shughuri zaidi ya moja..unaweza sema broilers ndio kuku wazuri kufuga ila soko likiyumba utaona ugumu na hasara yake, ama layers wakitaga chini ya kiwango utaona radha ya hasara inavyokuwa, mimi nahisi labda wewe passion yako ni layers na broilers but wapo watu wanafanya chotara au kuloiers na wana enjoy kipato chao,
fuga kuku, ingia shambani lima, nenda dukani weka bidhaa mpya, fuga samaki nk sio unakaa na biashara moja tu..hutoendelea kamwe.
nimeandika kwa kifupi ila kama hujaridhika naweza kukupa mfano wa mfugaji wa kuku chotara 500 jinsi alivyokuwa successful kuliko mfugaji wa layers 500, ndio utajua kuwa biashara ni namna unavyo manage kazi yako,
bon chance!
Mimi nafuga hao kroiler nawapenda Sabbu nawafuga kienyeji tuu Japo bado sijajikita kwenye biashara coz mambo yamekuwa mengi nikitulia nitakomaa wanafaida, kuna kipindi niliwauza wachache niliuza elf 20 kwa kila mmojaunajua kufuga ni passion...
mimi naona yeye passion yake ni layers na broilers, wapo wengine passion yao ni kufuga chotara, kanga, au bata
kuna facts nyingi sana zinazomfanya mtu afuge kitu flani, ila mjasilia mali siku zote huwa ni opportunistic, huwa tunaangalia soko lako linataka nini ndio unafanya..facts zipo nyingi sana, ila kama kitu hukipendi usikiponde kwa sbb watu wanafanikiwa kwa hichohicho unachokiponda..
tubadilike wa bongo sio tunaponda tu,
Bado sana mana hadi kwa sasa soko halina supply ya kutoshaBiashara ya kuku inaenda kuwa overexhausted. Kila mtu anataka afuge kuku tu. Where are we going to end?
Aisee ina maana kuna loophole zaidi, do you have any facts & findings to support you statement?Bado sana mana hadi kwa sasa soko halina supply ya kutosha
Good commentpoint dhaifu bro, ina depend na how una manage kazi yako, chotara ama kuloier wanaweza kuwa biashara tena yenye tija kubwa sana, na layers ama broilers wanaweza pia kuwa biashara nzuri, kitu kuitwa biashara inategemea na how una manage kazi yako sokoni.