Kama unataka kupunguza umasikini fuga kuku chotara na kama unataka kufanya biashara fuga Kisasa

Huyu mleta uzi kala maharage ya wapi
unajua kufuga ni passion...

mimi naona yeye passion yake ni layers na broilers, wapo wengine passion yao ni kufuga chotara, kanga, au bata

kuna facts nyingi sana zinazomfanya mtu afuge kitu flani, ila mjasilia mali siku zote huwa ni opportunistic, huwa tunaangalia soko lako linataka nini ndio unafanya..facts zipo nyingi sana, ila kama kitu hukipendi usikiponde kwa sbb watu wanafanikiwa kwa hichohicho unachokiponda..
tubadilike wa bongo sio tunaponda tu,
 
Ila kweli Mie nafuga kuloire wanataga tu hawawezi kuatamia hivyo natumia incubator kutotolesha vifaranga. Ila Hapana gharama saana kuwafuga.
 
Na kloire kila siku anataga tofauti na kienyeji pure maana Mie nawafuga pamoja na jogoo anayewapanda ni makuchi faida naiona kaka
Ila kama mtoa mada mmoja ameahauri usiwe na biashara mmoja labda kukujibu,shamba,duka na ufuge kibiashara na sio kimzaha faida IPO mkuu
 
  • Thanks
Reactions: YJS

labda mkuu utusaidiee viip mayai yako unakula mwenyewe au unauza?? kama huyu jamaa kasema wapi utauza mayai ya kuku chotara au hao kuloier...yeye anajua mayai ni ya layers tu..hahahaa
 
Achana na huyo mpuuzi mimi nauza mayai ya curoiler trey 1=18000/=tsh na oda zimenizidia huyo hajui kitu mwanafunzi tu huyo
 
Mpuzi ni wewe na hapa kwa akili za kushikiwa hutakaa uelewe kitu. hata kuandika Kuroiler yenyewe hujui. Hahaaaa eti unauza greib18,000/

Huwezi elewa kitu Dogo kwa akili ya kawaida
 
point dhaifu bro, ina depend na how una manage kazi yako, chotara ama kuloier wanaweza kuwa biashara tena yenye tija kubwa sana, na layers ama broilers wanaweza pia kuwa biashara nzuri, kitu kuitwa biashara inategemea na how una manage kazi yako sokoni.
point ya ku note, wewe kama ni mjasilia mali, usitegemee tu kuku eti ndio iwe njia yako pekee ya kukupatia kipato, kuwa na vyanzo vingi vya ela, kuwa na shughuri zaidi ya moja..unaweza sema broilers ndio kuku wazuri kufuga ila soko likiyumba utaona ugumu na hasara yake, ama layers wakitaga chini ya kiwango utaona radha ya hasara inavyokuwa, mimi nahisi labda wewe passion yako ni layers na broilers but wapo watu wanafanya chotara au kuloiers na wana enjoy kipato chao,
fuga kuku, ingia shambani lima, nenda dukani weka bidhaa mpya, fuga samaki nk sio unakaa na biashara moja tu..hutoendelea kamwe.
nimeandika kwa kifupi ila kama hujaridhika naweza kukupa mfano wa mfugaji wa kuku chotara 500 jinsi alivyokuwa successful kuliko mfugaji wa layers 500, ndio utajua kuwa biashara ni namna unavyo manage kazi yako,
bon chance!
mkuu em dondosha huo mfano wa mfugaji wa kroiler 500
 
Mie mayai nauza kama ya kienyeji tu kwani hao kuloirer wanapandwa na jogoo wa kienyeji ambaye ni kuchi. Halafu natumia kuku wa kienyeji pia kuatamia ndo nimepata vifaranga 10 na wengine 5 wanaatamia mayai ya kuloire
 
unajua kufuga ni passion...

mimi naona yeye passion yake ni layers na broilers, wapo wengine passion yao ni kufuga chotara, kanga, au bata

kuna facts nyingi sana zinazomfanya mtu afuge kitu flani, ila mjasilia mali siku zote huwa ni opportunistic, huwa tunaangalia soko lako linataka nini ndio unafanya..facts zipo nyingi sana, ila kama kitu hukipendi usikiponde kwa sbb watu wanafanikiwa kwa hichohicho unachokiponda..
tubadilike wa bongo sio tunaponda tu,
Mimi nafuga hao kroiler nawapenda Sabbu nawafuga kienyeji tuu Japo bado sijajikita kwenye biashara coz mambo yamekuwa mengi nikitulia nitakomaa wanafaida, kuna kipindi niliwauza wachache niliuza elf 20 kwa kila mmoja
 
Biashara ya kuku inaenda kuwa overexhausted. Kila mtu anataka afuge kuku tu. Where are we going to end?
 
  • Thanks
Reactions: YJS
Naomba mchanganuo kwa kuku chotara, Broilers na layers ili kupembua na kujua wenye faida na wenye hasara.
 
point dhaifu bro, ina depend na how una manage kazi yako, chotara ama kuloier wanaweza kuwa biashara tena yenye tija kubwa sana, na layers ama broilers wanaweza pia kuwa biashara nzuri, kitu kuitwa biashara inategemea na how una manage kazi yako sokoni.
point ya ku note, wewe kama ni mjasilia mali, usitegemee tu kuku eti ndio iwe njia yako pekee ya kukupatia kipato, kuwa na vyanzo vingi vya ela, kuwa na shughuri zaidi ya moja..unaweza sema broilers ndio kuku wazuri kufuga ila soko likiyumba utaona ugumu na hasara yake, ama layers wakitaga chini ya kiwango utaona radha ya hasara inavyokuwa, mimi nahisi labda wewe passion yako ni layers na broilers but wapo watu wanafanya chotara au kuloiers na wana enjoy kipato chao,
fuga kuku, ingia shambani lima, nenda dukani weka bidhaa mpya, fuga samaki nk sio unakaa na biashara moja tu..hutoendelea kamwe.
nimeandika kwa kifupi ila kama hujaridhika naweza kukupa mfano wa mfugaji wa kuku chotara 500 jinsi alivyokuwa successful kuliko mfugaji wa layers 500, ndio utajua kuwa biashara ni namna unavyo manage kazi yako,
bon chance!
Good comment
 
Back
Top Bottom