Kama upo mtaani muda mrefu bila kazi, tatizo ni wewe!

Pole mzee... unataka kulala ndani ukisubiri kudra au riziki?
Nyie ndio wazee wa kumlaumu Mungu na kumuona mbaguzi kumbe ni uzembe wako tu.

Ushaambiwa dunia ya kibepari endelea kutia huruma kama hujaona kila mtu mbaya machoni kwako
Nimegundua ikiwa wewe unaendelea kumtumainia Mungu akuvushe bahari ya sham kwa miujiza yake wanzako wanavuka kwa kutumia ndumba za Misri
 
Nimegundua ikiwa wewe unaendelea kumtumainia Mungu akuvushe bahari ya sham kwa miujiza yake wanzako wanavuka kwa kutumia ndumba za Misri
Sio ndumba wengine wanaogelea ilimradi wafike ww endelea kulala na kuomba
 
Chai
 
Mkuu tangu upost huu uzi maisha yamekuaje? Did post kinda same thread few months back within a week kampuni ikatangaza inafilisika.
 
Mkuu tangu upost huu uzi maisha yamekuaje? Did post kinda same thread few months back within a week kampuni ikatangaza inafilisika.
Aisee....kwamba kuna baadhi ya post zinaleta nuksi ?
 
Depends nitatumia nini kujudge.
Haya mambo bhana yanashangaza sana saa nyingine.....

Lakini hii inaonyesha maisha sio tambarare tu kuna mabonde na milima saa nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…