GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yaani Mimi kabisa nisikujue Wewe Mtu?Mkuu kama unataka kunifahamu nicheki pm tutaonana mpaka nyago kwa nyago. Usibeti unapoteza muda na nguvu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani Mimi kabisa nisikujue Wewe Mtu?Mkuu kama unataka kunifahamu nicheki pm tutaonana mpaka nyago kwa nyago. Usibeti unapoteza muda na nguvu.
Okay hongera. Wewe ni mtu noma sanaYaani Mimi kabisa nisikujue Wewe Mtu?
Nashukuru kwa 'Kuchelewa' Kulijua hili.Okay hongera. Wewe ni mtu noma sana
Pole mzee... unataka kulala ndani ukisubiri kudra au riziki?Aaaagh! Kila mtu ana riziki yake bhana! Jitihada hazishindi kudra! Wapo watu wametumia kila mbinu lakini wapiiii....
Kama Mungu amekubariki ajira,mshukuru tu kisha uwaombee na wengine awafanyie wepesi.
Ukifanikiwa usiwaone wengine kama wana makosa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana kwa sumu unayomwagia hawa wavivuSasa mkuu kwani kuwa maskini unafikiri ni ujanja ukiwa maskini utatukanwa tu...usipotukanwa na mimi utatukanwa na mabebezi usipotukanwa na mabebezi utatukanwa na masela wako mpaka ndugu zako wa damu yani hauwezi kuwa salama....Pambana usitie huruma hakuna wa kukuonea huruma.
Tengeneza package yako maisha ni yako lazima uwe mnyama.
Mkuu ongeza 🔥....wapelekee 🔥. bila shaka hawa ni wale "mamwinyi" wa zamani.Acha niwapelekee moto wazembe wazembe wanadeka kama yatima.
Dunia hii ukileta unyonge unanyooshwa tu hahahahaha.
Achana na haya mawazo bana!!🙄🙄 Kwa hiyo wasiofanikiwa kabisa mungu kawabagua? Wasiomwamini mungu nao mafanikio wantoa wap?Jamaa anashindwa kuelewa kila mtu ana muda wake wa kutoboa hapa duniani! Kila mtu mungu kampangia wakati wake wa kupeta kama haujafika huo wakati utapiga sarakasi zote ila hutafua dafu!
Unaandika kama unanifahamu vile[emoji57][emoji57]Pole mzee... unataka kulala ndani ukisubiri kudra au riziki?
Nyie ndio wazee wa kumlaumu Mungu na kumuona mbaguzi kumbe ni uzembe wako tu.
Ushaambiwa dunia ya kibepari endelea kutia huruma kama hujaona kila mtu mbaya machoni kwako
Wasiojiweza labda walemavuUsikejeli wasiojiweza, sio uungwana.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] take hm 500kNature ya maisha.
Mtu akitoboa, huwaona ambao hawajatoboa ni uzembe wao.
Kikazi cha ubank teller apo tpb bank ushaanza kukashifu watu.
Aya bhana.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] anajificha kwenye msingi sioKazi ni vita unatakiwa uwe na silaha.....kazi za kuflow zenyewe zimebaki hizi za kutembeza mabeseni mjini matokeo yake ukiona classmate unajificha kwenye msingi.
Ili uwe na kazi nzuri unatakiwa upambane.
Kuna watu hata skill ya kawaida ya kutengeneza CV kwao ni mtihani.
Mtu hata kujieleza yeye ni nani ni mtihani na anajua nikienda interview piga ua tell me about yourself siwezi acha kuulizwa.
Mr game changer , charismatic fella .. Kumbe unampata huyu jamaa anauejimwambafai kinyabe hapa ..anatuletea upopoma wake [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kwanini huu Uzi wako hujaanzisha na ile ID yako ' zoeleka ' inayoanzia na Herufi ( s ) Mkuu?
Huu Uzi wako ungependeza sana kama ungeuanzisha Kipindi kile Unafugwa hapo Sinza kabla ya Kurejea Mkoani Mji Kasoro Bahari ulipokuwa ' Choka Mbaya ' mpaka ulipopata hili Sbavu ulilonalo sasa kwa Msaada.
Bado unamiliki hilo Gari lako Bovu sana?
Endelea kutegemea kudra katika ulimwengu huu wa kibepari....siku unakuja kujua kuwa sheria zipo ili zivunjwe, umezeeka kwa kulaumu wengine baadala ujilaumu mwenyeweAaaagh! Kila mtu ana riziki yake bhana! Jitihada hazishindi kudra! Wapo watu wametumia kila mbinu lakini wapiiii....
Kama Mungu amekubariki ajira,mshukuru tu kisha uwaombee na wengine awafanyie wepesi.
Ukifanikiwa usiwaone wengine kama wana makosa.
Sent using Jamii Forums mobile app
I like ur spirit, kwel hata Mungu mwenyewe hapend vinyonge,maisha ni kupambana ya hela yote,endelea kuwakamua majipu bila ngaz watafta excuse😂,no matter what vijana tusimame imara.Acha niwapelekee moto wazembe wazembe wanadeka kama yatima.
Dunia hii ukileta unyonge unanyooshwa tu hahahahaha.
[emoji851][emoji851][emoji851] mpaka ndumba, njia chafuSi ajabu ukaanza kunilaumu mimi ndio nakukwamisha au nakukatisha tamaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Toka kwenye comfort zone pambana.
Tuma hiyo CV, tuma hiyo proposal, jinoe uwe jembe watu wakutafute, ingia front tafuta opportunities ikibidi tumia njia chafu.
Usitie huruma hakuna anaekuonea huruma sio mjomba sio bro sio dada sio rais wako. Dunia ni maisha ya upweke ukiwa nacho ni cha wote ukipigika na maisha yako peke yako.