Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,535
- 14,840
Hakuna lolote, pamoja na jitihada unatakiwa kuwa na bahati sometimes... haya mambo yapo... sio wote wenye maisha/ hali duni/ ukosefu wa ajira hawafanyi juhudi, watu wanahangaika sana kutoboa mzee... ila mambo yanagoma.Nafikiri ukienda kwenye somo la riziki ndio unaweza zeeka umetulia unasubiri rizki.
Unajua kwamba rizki ni kama maji uwa inafata mkondo?
What if haukuzaliwa kwenye mkondo wa rizki?
Usitie huruma mzee hakuna wa kukuonea huruma dunia hii.
Nadhani ungewashauri watu wasikate tamaa badala ya kuwaona kama wana makosa.
Hivi kuna mtu anapenda kukaa tu mtaani bila shughuli ya kuingiza kipato? Acha ujuaji mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app